Tuesday, 28 October 2014

Re: [wanabidii] RE:Atayenirithi atakuwa bora zaidi yangu

Do!! E.Muhingo  umemwaga ukweli!!!!




Sent from Samsung mobile

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nadhani ni kweli kuwa rais ajaye atakuwa bora kuliko aliyepo na hapo tutakuwa tunareverse trend iliyokuwepo toka Nyerere kuja kwake, yaani tulikuwa tunashuka na sasa tutaanza kupanda. nakubaliana nawe kuwa watanzania watastahili kuwa makini katika kumchagua kiongozi ajaye.
nakubaliana nawe pia kuwa tunakabiliwa na ukosefu wa uwajibikaji.
Naongeza kuwa rushwa na ufisadi ni maadui wakubwa ambao rais ajaye atabidi akabiliane nao.
Nadhani pia na rais anayeonekana kutaka kuingia kwa njia ya mtandao mkubwa kama wa rais aliyepo naye ni tatizo kubwa. Tunaona tunavyoteswa na ongezeko la mikoa na wilaya na bila kutafuna maneno ongezeko linasababushwa na viongozi kutaka kutoa shukrani kwa wapiga debe.
Ni kwa sababu hizo huenda rais ajaye hajatajwa ndani ya makala ya Ngulupa
--------------------------------------------
On Mon, 10/27/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] RE:Atayenirithi atakuwa bora zaidi yangu
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Monday, October 27, 2014, 10:05 PM
 
 Kauli tajwa hapo juu ilitolewa na Jk
 alipokuwa ziarani nchini china. Natumai mantiki haswa ya JK
 kutoa kauli hiyo sio kwa maana ya kujitweza bali ni katika
 kuwatahadharisha watz kuwa waangalie changamoto ambazo taifa
 inakabiliwa nazo na kisha waangalie mtu bora zaidi yake
 mwenye uwezo wa kupambana nazo.....kwa mtazamo
 wangu,changamoto kubwa ya taifa kwa sasa ni uwajibikaji.
 Mfano,wakati watz tukiwa million 45,ni 1.8 tu ndio wanaolipa
 kodi. Na katika hao ni wafanyakazi pekee ndio waliobebeshwa
 mzigo mkubwa wa kodi ya nchi wengi wao wakiwa waalimu.
 Makampuni makubwa makubwa mfano migodi ya madini na
 wafanyabiashara wao ni misamaha kila uchwao. wakati huo
 wafanyakazi wakiwa wamebebeshwa mzigo huo,wafaidika wa kodi
 hizo ni wanasiasa,ambao hata malaria tu hugharamikiwa 
 matibabu yao na serikali nje ya nchi...kimsingi,taifa halina
 usawa katika ugawanaji wa rasilimali za taifa na gap kati ya
 walionacho na wasiokuwa nacho linazidi kuongezeka. Utegemezi
 wa misaada nao umekuwa tatizo mama...na kimsingi miundo
 mbinu katika ukusaji wa mapato na utumiaji sahii wa mapato
 hayo,haswa vipaumbele vikiwa katika madawa,elimu,lishe nk ni
 muhimu kwelikweli...kimsingi taifa kwa sasa linahitaji
 Mtendaji..mtu wa maamuzi na mtulivu......kwa maoni yangu mtu
 bora kuliko Jk haweZ kuwa january,membe,kigwa na wa
 naofanana na hao. Bila kutafuna maneno Lowasa,Mwigulu, na
 pinda wanaweza faa....ngupula.
 
 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment