Saturday, 11 October 2014

Re: [wanabidii] MV VICTORIA YAZIMA MAJINI

Hii meli ni tatizo. Mwezi wa Agosti 2014 niliipanda nikielekea Muleba. Nilipofika, wenyeji wangu walishangaa sana kwa nini nimetumia usafiri huo ambao ni hatari sana!! Wao wakasema wanasubiri yatokee ya MV Bukoba kwa MV Victoria kwa kuwa meli hiyo ni mbovu kwa muda mrefu, wameshasema sana ila wahusika hawajaipa kipaumbele. Nikawauliza kwa nini bado watu wengi wanaitumia. Wakasema ni kwa vile ni msaada mkubwa kwa wajasiriamali na watu wenye kipato cha chini.

Sasa waziri mwenye dhamana afanye maamuzi magumu ya kusimamisha safari zake ifanyiwe ukarabati mkubwa. Siasa haifai hapa.

Martin

> On Oct 11, 2014, at 23:36, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Habar zilizopo ni kuwa Meli hiyo imefika Mwanza salama jioni hii
> --------------------------------------------
> On Sat, 10/11/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] MV VICTORIA YAZIMA MAJINI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, October 11, 2014, 1:30 PM
>
> MV
> VICTORIA YAZIMA MAJINIKwa
> habari zilizopo mpaka sasa ni kwamba meli ya MV.VICTORIA
> inayofanya safari zake kati ya BUKOBA(KAGERA) na MWANZA
> katika ziwa Victoria imepata hitilafu na kuzima ikiwa
> majini,Kawaida MELI hiyo ilitakiwa kufika Mwanza saa moja
> asubuhi,lakini mpaka sasa haijafika Mwanza,Bandari ya mwanza
> ni gumzo kuhusu meli hiyo,Ingawa haijathibitishwa
> inasemekana meli hiyo imepata hitilafu tangu saa nane
> usiku,Haijafahamika ni nini kinaendelea kuhusu meli
> hiyo,ingawa kuna taarifab zinadai meli hiyo imelazimika
> kurudi Bandari ya KEMONDO,Tafadhali mwenye taarifa zaidi
> atusaidie kuondoa taharuki iliyopo sasa,Kwani zaidi ya
> Abiria mia nane(800) wamo ktk meli na Ubovu wa meli hii
> umelalamikiwa mara kadhaa.....Mwenyezi mungu atukinge na
> majanga
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment