Sunday, 5 October 2014

Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Hivi kuna nini kwenye uongozi mpaka tutetee wazee au kujifanyia harakati tutrudi katika uongozi tukiwa tumezeeka, wastaafu, BP na maradhi mengine mengi yanayokuja na umri? Tunawatetea wastaafu washike uongozi kwa misingi gani?

Ili kuepuka wastaafu, vibabu na vibibi above 60 years kugombea Urais, budi kuwe na ukomo wa umri wa mtu kugombea kwa mara ya kwanza. wabunge sawa hata awe na miaka 90 mradi anapendwa, mchapakazi, anaonyesha output ya cheo/kazi yake. Lakini kutetea watu wa umri mkubwa tena waliostaafishwa kwa manufaa ya umma kuna suala hapa. Inaeleweka anaweza kuchangiwa na jamaa zake akapita maana ng'ombe mmoja ni laki 8 hadi milioni. Ni mihela na fulana nyingi, T-shirts na vivalo kadhaa ndi Africa ilivyo. Kwa nini msitetee vijana? Kwa nini hawa wastaafu na viongozi wazee wasiunde baraza la ushauri kichana na kushauri viongozi vijana na chama chao?
Hivi sasa GAP linaonekana kukosekana kwa ushauri huu viongozi kutumia majukwaa na media vibaya. Kiongozi kupita kuhutumia na kulaumu serikali jukwaani kwa kutokutekeleza miradi au kukamilisha mradi au kutoa ardhi ya serikali (former gvt estate land or general land) kwa mwekezaji sio wananchi na kutoa onyo wakati hata hajasoma investment policy wala hajakwenda TIC kujifunza kitu wala hajaijua category ya hao wakazi hapo na historia yao (maana wengine wana makwao nanauza ardhi hovyo na kuona si ipo popote kule, unawapa hawalimi, wanauza, wanahamia kwingine). Imekuwa ni kujitakasa kiuongo ili upate cheo ufiche maovu yako utetee wizi wa mali uliyokwisha kutuibia.

Kwa nini kama ni mtu shujaa, shupavu, unaetetewa na wengi kwako, kijijini nkwako, jimbo lako, lisiwe la mfano ktk maendeleo ya aina yote. Mfano-matumizi bora endelevu ya ardhi; uzalishaji mali na uboreshaji miundombinu vijijini wananchi wako kukaa kimpangilio kijijini na mihela yako ya jimbo, donors mkafanya land use planning na ikatelelezwa ktk sustainable land use; self-help ikahamasishwa na kujengesha shule za msingi na sekondari ya kata zikawa bora kulikoni na wakasoma sio kuhamahama, kuoza vichanga mapema; ngoma za kucha au kushinda kunywa pombe za choya au komoni, kangara, gongo, bangi likavutwa au ukawa mradi wa kipato? Mkajenga majosho na nywesheo; visima vya pampu au bwawa za irrigation, mifugo kwa kutumia fursa za funds zilizopo (TASAF) na misaada mingine-mfuko wa jimbo, wa local & central gvt? Huo uchapa kazi usionekane grassroots mpaka uwe Kiongozi kitaifa? Inatupa shinda wengine kuelewa kwani kule chini/jimboni ndio unapendwa, unasikilizwa vizuri kwa kiswahili au lugha ya kwenu, mzee wa mila unaogopwa na una vyeo kibao umepewa vya ulezi wa jamii.

Kwa nini jimbo lako hadi Kata na kijiji chako kuwe hovyo au kusiwe mfano angalau kimkoa (Sio kifatifa)  ila uonekane shujaa? Ushujaa wa nje ya kaya na uchapakazi wa ofisini tu nyumbani unakalia kinyesi mpaka mlangoni utashangaza watu kama ndio madai na evidence ya utendaji bora mtu aliovaa au kuvalishwa. Tutetee na kuchagua vijana wachapakazi kila tuwasaidie kufanyakazi.

Rais au kiongozi kazi yake ni kuongoza, kushauri na kufikia maamuzi baada na kushauriana na viongozi wa sekta husika. Akiamua kwa kukurupuka-itakula kwake baada ya muda mfupi. Tusiwaache walale vijijini na kutegemea maendeleo yatadondoka kama mana jangwani. Ndio zitakuwa ahadi za uongo kisha kudandia kuhamasisha maandamano ili kukwepa kuwajibika kwa mifano ya utendaji bora grassroots level jimboni kwako au ktk cheo chako kikuu.

On Sunday, 5 October 2014, 23:34, Steven Stey <parokostey@gmail.com> wrote:

Simtetei ila Jina lako tu ni muumini wa CDM hata ukeshe miaka 10  aje yeyote wa CCM bado hutokubali, basi kesheni mkiomba ndo kauli yenu
On Oct 5, 2014 11:13 PM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nico
Hayo ni mawazo yako, ukweli ni huuu Richmond huenda huijui vzr, lowasa hata mia hajala.....fuatilia Richmond ilikuaje boss
Kingine, sijui kwa nchi hii kama utaweza kumpata mtu alie safi.......Kama yupo tutajie tumjadili mkuuuuu, huyu ndie mtu anaeonekana anafaa na tafiti kibao zimemtaja kua ndiye Rais ajaye, na ana hoja zeney mashiko kwa watanzania na anauzika.......Nani else unae wewe utupe kaka  kajungu
Humu mtu akishindwa hoja anaita watu wamenun uliwa, vyovyote mtakavyotuita, cc tunatoa hoja tu, kua huyu anafaa kwa sababu ..refer maelezo ya last week alotoa kaaya hapa, very detailed and smart why lowasa deserve a presidence post now and nobody else.....hata Obama anamuuunga mkonoi..th teh

On Sunday, October 5, 2014 12:36 PM, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

Mrema

Ongeza (3) hana sifa ya kuwa rais wa watanzania aliokuwa tayari kuwaona wakilipa deni hewa la Richmond naye akaa kimya ili mradi mshiko wake unaingia mfukoni. Wasingemshtukia leo angekuwa waziri mkuu. Ameishatutumikia vya kutosha, hana jipya. Afanye mazoezi azeeke salama. Haya mashindano ya Kikwete kawa Rais lazima nami niwe hayana nafasi tena.

Field Marshal

-------- Original message --------
From Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Date: 05/10/2014 21:24 (GMT+03:00)
To wanabidii@googlegroups.com
Subject RE: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Ni hivi karibuni niliona picha zake mweshimiwa akipiga tizi.  Nikajiuliza hizi picha za nini? Kwani ni yeye peke yake ndiye anafanya mazoezi mpaka kufika hatua ya kupigwa picha na kuziweka kwenye magazeti? Mara tukawa tunapata maandiko ya kumsifia yaliyoandikwa na Profesa.  Kuna na waandishi wengine kutoka Tanzania daima wameandika sana kutoa wasifu wake.  Hivi huyu mweshimiwa haoni anajiuza sana na hajui kuwa kuna msemo unaosema kuwa kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza chenyewe? 

Sio mbaya binadamu kupambana hasa kwa anachokiamini lakini mimi binafsi ninaona kuwa kwa mweshimiwa huyu opportunity ya kuwa raisi wa nchi hii haipo na ni kwa sababu mbili (1) CCM imemeguka wanagombana na itakuwa shida sana kwa watu wanaogombana kumuuza kwa wananchi mtu kama huyu mweshimiwa kwani Chama kinahitaji mtu ambaye hajatokana na makundi ili kuweza kukirudisha chama pamoja au kupunguza mpasuko (2) Afya yake sio nzuri kwa hiyo kuhimili mikiki ya ushindani kwenye mazingira ya sasa ndani ya Chama inataka mtu mwenye nguvu na afaya yake kamili.

Ningekuwa ni mimi ningeachana na ndoto hiyo nimshukuru Mungu kwa baraka alizompa na kuweza kufanya yote hayo aliyofanya kwa manufaa yake binafsi na kwa Tanzania.

Ninawakilisha

Herment A. Mrema

Date: Sun, 5 Oct 2014 14:41:07 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
From: pasamila292000@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Kitila

Siyo lazima,ingawa dalili za kununuliwa kwamba mhusika yupo sokoni zinajionesha kwa matendo Fulani katika nyakati na matukio tofauti

2014-10-03 21:06 GMT+03:00 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ni kweli prof,kutofautiana kimawazo na mtazamo ni kitu cha kawaida lkn kutungiana majina ni dalili ya kufika mwisho wa kufikiri...ngupula

Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:

Hivi kila mwenye mawazo tofauti nawe lazima awe amenunuliwa? Tutajifunza lini watanzania kuweza kukabiliana na hoja kinzani bila kupeana majina? Kama una hoja tofauti kwa nini nawe usiandike kile tunaita 'rejoinder'? 

2014-10-03 17:30 GMT+03:00 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>:
Kwa historia ipi?  Ingekuwa kwamba hajawahi kupata fursa sawa ningeelewa.
Field Marshal
On 3 Oct 2014 13:20, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
yap, wewe unaakili kama za nyerere, ndo maaana unaona mbali, with no lowasa  hii nchi haitakaaa istawi,so naomba niwaamasishe kama tunaitakaia hii nchi mema tumpeni atawale mtu anaeweza, a visioned leader, si hawa wanasiasa uchwara wanaokimbia kujadili matatizo badala ya kutoa suluhisho la matatizo ya watanzania
Mzee angekuwepo hata asingepepesa macho, angesema namtaka Edward, aingie Ikulu kwa sasa na kwa hali ilivyo , anyooshe mambo
anaekaaaa akatae lakini ukweli ndio huo

On Thursday, October 2, 2014 7:31 AM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

wasipompitisha ccm tutapata Rais kimeooooo

On Wednesday, October 1, 2014 9:54 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Siku ukiona Huyo jamaa kauchukua urais ujue Mwamnyange anaingia magogoni kuokoa jahazi lisizame
--------------------------------------------
On Wed, 10/1/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 1, 2014, 6:39 PM

Ndugu Elisa,acha kumtumia Nyerere
kama hilizi....mwalimu alifanya mema mengi,lkn pia kuna
mengi alikosea....kama mwalim angelikuwepo
leo,angempendekeza Lowassa,kwan ana kila sifa. Kwa lowassa
ujinga mwingi mlioushuhudia  usingefanyika ...huyo
Salim,hebu msahau kabisaaaa,na ukitaka Tz imeguke,ni hapo
mawazo yako yatapofanyiwa kazi....na kwa kukuambia tu,kama
ikibidi mzanzibar,bas sio Salim ni Shein...ngupula

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
w
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment