Monday, 6 October 2014

Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Ngupula,
Huwezi kumfananisha mwanadamu symbolically na Yesu. Kwa mfano hakuna mwanadamu anayeweza kuwa jiwe kuu la pembeni. Ni Yesu pele yake. Wala huwezi kumwila mtu Mesia. Mesia ni Yesu pele yake. No divinity in a human being hata kama unampenda kiasi gani Edo.
Siasa ni mchezo mchafu na ni mtego mbaya sana. Kwa mtu aliyeokoka kama wewe na mimi kuwa patriot kwenye siasa ni machukizo tu mbele za Mungu. Frank


On Monday, October 6, 2014 7:35 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Frank,tunaongea kitu kimoja,nami nakuelewa kabisa...katika agano la kale tunaona wana wa israel walikunywa maji katika mwamba,na tukajifunza mwamba huo ni Yesu...katika agano jipya tunaona Yesu anambadilisha Petro jina na kumuita Kefa,maana yake ni Jiwe.....pia tunajifunza injili ya Kristo pia imejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii....kwa hiyo tukubaliane kuwa upo msingi mkuu na ipo misingi midogo...kumfananisha Lowassa na msingi wa matarajio mema ya Tanzania ijayo symbotically,sioni dhambi...
YESU aliitwa masiha wa Bwana,lkn daudi pia...leo hii kumuita mtu masiha si dhambi kwani maana ya masiha ni mpakwa mafuta wa Bwana..

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
 
Isaiah Chapter 28
28:16
Therefore thus saith the Lord GOD, Behold, I lay in ZION FOR A FOUNDATION A STONE, a tried stone, a precious corner stone, A SURE FOUNDATION: he that believeth shall not make haste.
 
Acts  Chapter 4
4:10
Be it known unto you all, and to all the people of Israel, that by the name of JESUS CHRIST OF NAZARETH, whom ye crucified, whom God raised from the dead, even by him doth this man stand here before you whole.
4:11
THIS IS THE STONE which was SET AT NOUGHT OF YOU BUILDERS, which IS BECOME THE HEAD OF THE CORNER.
4:12
NEITHER IS THERE SALVATION IN ANY OTHER: for there IS NONE OTHER NAME under heaven given among men, whereby WE MUST BE SAVED.  Materu
 
 








On Monday, October 6, 2014 5:55 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Frank,Ni nini maana ya jiwe kuu la pembeni? ....maana ya kawaida kabisa ni jiwe la msingi...kuna msingi wa mbingu na nchi na kuna msingi wa nyumba yako...itategemeana nini unamaanisha moyoni mwako....maandiko yanasema,msimuite mtu baba duniani...duh,my children call me baba,people in the church call me baba
...mara ya kwanza niliogopa.but with time nikaewa kuwa nilikuwa nime claim andiko hilo...andiko huuwa bali roho huuisha...now am happy my children call me baba..ni baba yao to their might father ..nashindwa,ntakufa.. who am i?..ngupula

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
Unachofanya sasa hivi ni kufuru, unamvika mwanadamu utukufu asiostahili. Yesu ndiye jiwe kuu la pembeni ambalo limekataliwa na wanadamu na sio Edo. Inaonyesha umeamua kumwabudu Edo kama mungu wako(your household god). You are in more danger now than you have ever been. Materu


On Monday, October 6, 2014 5:16 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ndugu Kajungu,kuna kanda moja naipenda,ya dada mmoja anaitwa Betty Lucas inasema unaona nini?wewe ulivyomjua Lowassa unasema alivyokuwa na madaraka mbona hakuwahurumia wananchi?ni je amekutuma uje useme hayo au kwa ulivyomjua?na mimi nikisema Lowassa ana huruma na mzigo na nchi hii ndivyo ninavyoona...Jesus came was a mesiah and God,some saw him kama kibaka tu anayejitafutia utukufu kwa kujilinganisha na Mungu,and they ended that way...some saw him as God and king,and they ended that way...what God has insipired you,that is yours,be that way......one day nikamwambia my wife,Lowassa is a good and humble guy,just call and talk to him,for sure utampenda na kura yako utampa...she now loves him and stand by him....I advise you Kajungu,go and tedo your research on him,you will discover Lowassa ndilo jiwe kuu la pembeni,ambalo waashi wanalikataa,lakin ndilo jiwe la msingi kwa tanzania ijayo...
Nasikia raha kuongea ninachokiamini...ngupula

Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

Ngupula
Mlikutana wapi ba Edward akakwambia machungu yake kwa wananchi?
Alivyokuwa na madaraka mbona hakuwahurumia akawa tayari kukna wanateketea na siri yake moyoni?
Acheni jamani kujivalisha majoho yasiyo yenu.
Unless uniambie kwamba amekutuma useme.

Field Marshal
On 6 Oct 2014 16:27, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bwana Mrema,umenena vema kuwa ungekuwa wewe ungeachana na ndoto ya urais...lkn uzuri ni kuwa bwana Edo sio wewe...na pia, kwako yaweza kuwa rahisi kwa kuwa huna uchungu na kero za wananchi kwa upana wake....lkn kwa yeye ari ya kuwatumikia wananchi na msukumo wa ndani yake kwa habari ya mustakabali mwema wa nchi,hawezi kaa kimya eti kwa kuwa yeye anaouwezo wa kula na kushiba...na kwa habari ya afya yake ambayo mpk sasa ni nzuri sana,sisi tunayejua kuwa ndiye mpk mafuta wa Bwana kwa tanzania yenye matumaini,tunamwombea sana...ngupula

Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:

Ni hivi karibuni niliona picha zake mweshimiwa akipiga tizi.  Nikajiuliza hizi picha za nini? Kwani ni yeye peke yake ndiye anafanya mazoezi mpaka kufika hatua ya kupigwa picha na kuziweka kwenye magazeti? Mara tukawa tunapata maandiko ya kumsifia yaliyoandikwa na Profesa.  Kuna na waandishi wengine kutoka Tanzania daima wameandika sana kutoa wasifu wake.  Hivi huyu mweshimiwa haoni anajiuza sana na hajui kuwa kuna msemo unaosema kuwa kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza chenyewe? 

Sio mbaya binadamu kupambana hasa kwa anachokiamini lakini mimi binafsi ninaona kuwa kwa mweshimiwa huyu opportunity ya kuwa raisi wa nchi hii haipo na ni kwa sababu mbili (1) CCM imemeguka wanagombana na itakuwa shida sana kwa watu wanaogombana kumuuza kwa wananchi mtu kama huyu mweshimiwa kwani Chama kinahitaji mtu ambaye hajatokana na makundi ili kuweza kukirudisha chama pamoja au kupunguza mpasuko (2) Afya yake sio nzuri kwa hiyo kuhimili mikiki ya ushindani kwenye mazingira ya sasa ndani ya Chama inataka mtu mwenye nguvu na afaya yake kamili.

Ningekuwa ni mimi ningeachana na ndoto hiyo nimshukuru Mungu kwa baraka alizompa na kuweza kufanya yote hayo aliyofanya kwa manufaa yake bina --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment