Monday, 6 October 2014

Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Nimesha perceive sana tu.
Unafahamu kazi ya kweli ya nabii ilivyokuwa? Haikuwa kueleza yatakayokuja, hiyo ni sehemu ndogo, KAZI YA NABII ILIKUWA KUWAKUMBUSHA WATU DHAMBI ZAO---KUWAKUMBUSHA WATU AHADI ZAO NA AMRI ZA MUNGU KWAO; HAYO NDIYO WALIYOTAKIWA KUYAFANYA. Frank


On Monday, October 6, 2014 10:26 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mtu wa rohoni ajua yote,lkn yeye hatumbulikani na mtu....kama upepo uvumapo usipojulikana utokako na uendako,ndivyo ilivyo kwa mtu wa rohoni..
. ..yaani,ujumbe wa roho utambulikane na watu wa mwilini....ni sawa na mwalimu wa shule ya msingi kusahihisha mtihani wa chuo kikuu.
...nilitegemea kwa maongezi mawili matatu,nga ungeweza kipercive ni mtu wa aina gani unaongea au chat naye...but seems you have a long way to go...in this way no more chats..ngupula

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Katika Ezekiel 13 manabii wengi wa Israel walikuwa wanatabiri kwa mioyo yao wenyewe, wakifuata roho zao wenyewe na kusema mabashiri ya uwongo na kusema Bwana amesema, ila Bwana hakusema neno. Utabiri uliotoa una interest, pamoja na kwamba ume declare. Hata sasa wapo wengi wanajiita manabii lakini huwezi kusikia wakitabiri kitu wasichokuwa na interest nacho. Naamini wapo manabii wachache sana wa kweli, ila wengi ni wa uwongo wanaotabiri vitu kwa interest zao au sawa na Ezekiel 13. Nabii wa kweli basi aweke hapa jukwaani kitu Mungu alichomwambia ili wote tuupime kama kweli ni Mungu au ni maslahi binafsi. Frank


On Monday, October 6, 2014 9:09 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ni kweli kabisa...unadhani watz tunastahili adhabu?........kwa uzoefu wangu,Bwana hajawahi toa baraka isiyokuwa na utamu.. ipo neema yake kwa kila afanyalo....Mungu akikuambia hata utumbukie katika bahari kichwa chini miguu juu,utaelea tu na ufukweni utafika...binafsi nina dhamani kubwa na utawala wa nchi hii mbele za macho ya Mungu,hakika yake,sitomsema mtu yeyote kwa nafsi yangu au kwa maslahi binafsi...

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mungu alimteua Sauli kuwa mfalme wa adhabu.
 
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment