Nimekupata mkuu
Aksante kwa mchango wako... Ndiyo maana kwangu mimi soka imeniacha kando siku hizi... Nasikiliza zaidi music... Sina uhakika kwanini nimekosa mapenzi na gozi... Sijui ni choice mbaya ya timu nazoshabikia au namna gani.
Anyway, bado napenda kuangalia arsenal na yanga wakicheza...
Shukrani
SM
Hiyo soka ndugu yangu simon haipo tena miaka ya nyuma wakati nakua wazee waliadithia wataalam wa kuoiga mpira juuu uwanja.mzima mnasubiri kipute kirudi na jamaa timu pinzani anajibu hiyi ndo flavor wakati naanza kujua mpira kanzu na tobo unaonekana unajua mpira ndo maana kizota akisifiwa kumpiga kanze george weah japo stars tumefungwa bahati mbaya tumebakia kule wakati soka ya sasa imebadilika. Hawa matajiri they dont care anymore kukupa hiyo burudani ndo maaana they win ugly na kusema ushindi ushindi sababu soka ya sasa what counts ni points.
Inapokuja kwa ushabiki mfano mie shabiki wa simba na liverpool nipe points manake funga magoli nikitaka kuangalia soka basi nitakaa kwenye tv kama arsenal wanacheza au swansea kuangalia soka ofcoz kama man u anacheza nitaangalia nipate cha kutania mtaani na chelsea sorry wapenzi wake bado sana kuwa accepeted kama super power yes yuko special one analeta radha kwenye vyombo vya habari.
Ile soka unayopenda bwana simon ilikuwa enzi zile unaangalia mpira kila timu inamchezaji unategemea atafanya kitu ndo maana.maji maji au pamaba au coastal union au rtc kigoma ziliheshimika au unaangalia jean tigana au platin au zico au walker au leaneker hatabkama si timu yako but unategemea kitu hiki kizazi watu special si kwamba hawapo ila.mahitaji ya mchezo yamebadilika it is all about winning na unapokuta puma wanalipa hela nyingi matangazo ya balitoli hayuko tayari kuumia kuwasidelined kukosa matangazo.
On Oct 5, 2014 2:05 PM, "Simon Mkina" <smkina@gmail.com> wrote:--Sasa waungwana hebu tuulizane... Burudani ni magoli au namna gani...
Huenda kila mmoja ana mtazamo wake...
Mie sijui nikoje.... Nikienda uwanjani huangalia na kufurahia chenga, mtu akipigwa tobo, mtu akivishwa kanzu, akipigwa mtama wa kistaarabu na kipa akidaka Kama nyani... Basi kwangu burdaniiii.
Mnisamehe kwa ushabiki wangu wa burudani na sio magoli.
Simon
On Oct 5, 2014 9:36 PM, "Lusajo Mwasampeta" <sirjokissy@gmail.com> wrote:----Simon,Mpira unaouongelea wewe ni wa kufikirika sana na sio mchezo halisi!LM
Sent from my iPhoneDB,
Pamoja na magoli yao, Arsenal wameomesha mpira wa kuvutia na ndiyo maana hasa ya burudani...magoli ni utamaduni wa tamaa.... Narudia tena ni utamaduni wa tamaa... Ningalikuwa na uwezo.... Ushindi wa burudani ungepimwa kwa kiwango cha kuwaburudiaha watazamaji.Yanga nao kama Arsenal wanaonesha burudani...sasa ushindi kwangu....narudia tena...ushindi kwangu ni namna timu inavyowafurahisha watazamaji kwa umaridadi wa Pasi... Ubora wa kuonana kupokea, bila kupoteza pasi kwa Dk 7 na zaidi. Weledi wa kupiga chenga murua na zaidi sana matumizi ya akili kukaba timu pinzani
Nawasilisha
Simon
On Oct 5, 2014 6:43 PM, "'deobalile' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:----Haya wapendwa Watazamaji Mourinho amwadhili tena Wenger.Bado Man U na Liverpool. Man C waliponea tundu la sindano.Simba si muda itamwajiri Mourinho amtie adabu Maximo.BalileSent from Samsung Mobile
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment