Sunday, 5 October 2014

Re: [wanabidii] BURIANI UKAWA

Kwa mtu wa media kama katabaz,kwa jinsi alivyojielezea hisia zake.....inaweza ika impy she is not diplomatic ..nahis inazua hisia za hasira zaidi kuliko kuelezea uhalisia

'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

sitanii, mimi ni muuumini wa serikali  3 daima, kuna baadhi ya maeneo sijaridhiki nayo hata kidogo lakini ndio hivo tena


On Saturday, October 4, 2014 2:55 AM, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:


Ewe Happyness Katabazi nani kakuloga?Kwa nini unajiangamiza mwenyewe?matendo yanayofanywa na watawala yatachochea hasira ya umma dhidi ya watawala na ni wazi vyombo vya dola havitaweza kuzuia umma unaodai mabadiliko
Wanaotubeza kama Katabazi tunawasamehe maana ni umbumbumbu unawasumbua

2014-10-03 19:50 GMT-07:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
Sijui niandike kuhusu alichoandika Happy au kuhusu yeye ngoja nitafute hedex kama bado inatibu maradhi ya kichwa kuuma
On Oct 3, 2014 2:17 PM, "'Sylvanus Kessy' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Katiba Mpya itapatikana kisheria. Lakini sheria hii ....mmmmmm...... napata mashaka. Kwa vyovyote vijana wengi wakipata VIROBO watapiga kura kadiri ya utashi wa mgawaji wa KIROBO!

--------------------------------------------
On Fri, 10/3/14, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] BURIANI UKAWA
 To: "Godfrey Ngupula" <ngupula@yahoo.co.uk>
 Cc: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Friday, October 3, 2014, 9:28 PM

 Godfrey, kumbuka hawa
 75 ni bara na visiwani hivyo wa tanganyika wangekuwa
 wachache zaidi.
 On Oct 3, 2014 9:24
 PM, "Ngupula GW" <ngupula@yahoo.co.uk>
 wrote:
 Binafsi sijapenda ubunge uwe na
 ukomo,huko ndio hazina ya viongozi wa kesho
 wanakopatikana..cha msingi wanachi wajifunze kuchagua
 viongozi kwa kuwapima jinsi wanavyofaa na si vinginevyo
 ...rasimu ya warioba ilisema wabunge 75 wa muungano
 tu,huwezi jua bunge la tanganyika lingekuwa na wabunge
 wangapi,pengine jumla ingekuja idadi hiyohiyo...
 Nakubaliana na uboresho wa tunu za taifa na maadili ya
 viongozi....lkn suala la maadil ni la kijamii zaid kuliko
 likikaa katika katiba...mfano,viongozi ni lazima wawe
 waadilifu...hata hivyo,iadilifu wa viongoz hutegemea
 uadilifi wa jamii husika pia...ngupula

  Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
 wrote:

 safi sana sasa ukawa waandamane nchi nzima
 kupongeza katiba mpya tena ukawa wawe mstari wa mbele
 kuipeleka kwa wananchi ili waikubali na itumike kwenye
 uchaguzi wa 2015.
 On Oct 3, 2014 8:55
 PM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
 <wanabidii@googlegroups.com>
&nbs

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment