Monday, 11 August 2014

[wanabidii] Re: JK's defence 'not helpful, lacks merit'

The Citizen on Sunday tarehe 10, mwandishi Mwasa Jingi ameandika makala nzuri sana. Aina hii ya uandishi ndio unaokosekana na hutuoni  mara kwa mara. Naweka link kwa wale watakaopenda kusoma. Ni makala nzuri sana na inaelimisha na inajemga hoja zenye mantiki.
 
Hii hapa: http://www.thecitizen.co.tz/News/JK-s-defence--not-helpful--lacks-merit-/-/1840340/2414132/-/g55i5vz/-/index.html
 
Sele

0 comments:

Post a Comment