Tuesday, 22 April 2014

[wanabidii]

Nasikitika kuwajulisha kuwa Baba ya mzazi Mzee Bifabusha Babeiha amefariki dunia leo saa 2 asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Marehemu alikuwa na umri wa miaka 85+. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihidimiwe. Amina

Jovin Bifabusha

DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200

0 comments:

Post a Comment