Tuesday, 22 April 2014

Re: [wanabidii]

 Mpendwa Jovin,
 
Mungu akutie nguvu katika pito kubwa la kuondokewa na baba yako mzazi! Ni sala na dua yetu kuwa hiki kitakuwa kipindi cha kuileta familia pamoja ili kutazama mbele mkiyaenzi aliyowaachia baba yenu! "The LORD gave and the LORD has taken may his name be praised".
 
Nico
On Tuesday, 22 April 2014, 9:50, "'Jovi kamuntu <jbifabusha@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nasikitika kuwajulisha kuwa Baba ya mzazi Mzee Bifabusha Babeiha amefariki dunia leo saa 2 asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Marehemu alikuwa na umri wa miaka 85+. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihidimiwe. Amina

Jovin Bifabusha

DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment