De kleison,usitoke povu bure.mi mpinzani mwenziyo.sisemi waliobaki
wana point,na hyo haimaanishi walioondoka wanayo.
Mimi kwanza zamani tu,nilihoji busara za wapinzani kuendelea pale
madai yao karibu yote yalipotupwa na raisi. Wajumbe wote wa bunge siyo
halali wakiwemo wao.
201 tuliona wengi ni ccm hvo theluthi mbili wanayo. Ccm wakatoa
msimamo ambao dhahiri wajumbe wengi wakitoka ccm ndo wenye wengi
bungeni. Kujiliwadha ikaja hii ya kura ya siri. Mimi nikasema kura iwe
wazi tu tujuwe nani ni nani nikaitwa mamluki.
Wapinzani eti wakabaki kutegemea zanzbar wakidhani lao
moja.wameshtuka kuona ccm zanzbar hadharani wameungana na ccm yao.na
hakuna cha ajabu hapo.
Lema na mkosamali walisema mapema wakasutwa. Kwa kweli mwenye akili
ndogo yeyote alishaona ktwa ccm watadomimate.sasa ilikuwaje hao
intelectuals wasione? Halafu nyienyie mkiwashangilia cku hzo
mnawashangilia tena leo. Mmekuwa bendera fuata upepo.
On 4/17/14, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
> Ludo, Manonga,
> Kila siku tunalalamikia miji yetu michafu kumbe pale getini kwako kuna
> jalala pori pembeni ya geti!!!
>
> Mnaanza kuhoji hizo za siku 10 sikatai, lakini mara ngapi mnahudhuria vikao
> vya serikali za mitaa kujua mapato na matumizi? Usikute hata budget zao
> hamjui.
>
> Mnaona tofauti gani kwa hawa waliotoka na wale waliobaki ndani ila
> wanajadili utumbo usio na msaada wowote!! Ni yale yale "..if your presence
> cant add value on my life, then your absence doesnt make any
> difference...."
> Nani mnaona anatumia posho vibaya hapo? Kwa nini kama limetuuma tusisimame
> pamoja tukasema woote mnafanya utumbo hapo mjengoni? Badala yake
> tunawatolea macho ukawa!! Tunalalamika posho ya siku 10 kumbe UKAWA
> waliotoka nje ni afadhali, na hao waliobaki ndani ni potelea mbali!!
>
> Mnasukumwa na emotions zaidi naona.
>
> "...by citizenship am a Tanzanian, nationality African..."
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment