Wednesday, 16 April 2014

Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!

Ludo, Manonga,
Kila siku tunalalamikia miji yetu michafu kumbe pale getini kwako kuna jalala pori pembeni ya geti!!!

Mnaanza kuhoji hizo za siku 10 sikatai, lakini mara ngapi mnahudhuria vikao vya serikali za mitaa kujua mapato na matumizi? Usikute hata budget zao hamjui.

Mnaona tofauti gani kwa hawa waliotoka na wale waliobaki ndani ila wanajadili utumbo usio na msaada wowote!! Ni yale yale "..if your presence cant add value on my life, then your absence doesnt make any difference...."
Nani mnaona anatumia posho vibaya hapo? Kwa nini kama limetuuma tusisimame pamoja tukasema woote mnafanya utumbo hapo mjengoni? Badala yake tunawatolea macho ukawa!! Tunalalamika posho ya siku 10 kumbe UKAWA waliotoka nje ni afadhali, na hao waliobaki ndani ni potelea mbali!!

Mnasukumwa na emotions zaidi naona.

"...by citizenship am a Tanzanian, nationality African..."

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment