Hamna cha UKAWA
Thanks.
On Apr 22, 2014 11:05 AM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
-- --Kutuletea vitu ambavyo hatuv ioni wakati vipo tunavyoviona nao ni uharibifu mwingine.
UKAWA wanachokisema tunakiona. na si kukiona tu ila wao wamesikiliza watu wenye busara wanasemaje. habari za Maalim kwenda uingereza na kusaidiwa na wanaUsalama wa nchi fulani kukutana na sultani na kuwa na mpango wa kulimega Taifa la Tanzania kwa kumrudisha sultani linaweza kushughulikiwa na Usalama wa taifa wa Tanzania na vyombo vingine vya ulinzi. hatutegemei mtu mwenye akili awaombe watanzania kutowasikiliza UKAWA kwa sababu hiyo.
Tunasubiri kusikia maalim amebebwa anachunguzwa nasi tutawaunga Mkono. Wajumbe wengine wa UKAWA wataendelea kutetea tunachokiona. Naamini maadui wa Muungano wako nchini humu. Tunakula nao tunalala nao. Wako wanaosema Serikali moja kwa maana ya kutaka kuvunja muungano. wako wanaosema serikali mbili wakiwa na uhakika utavunja muungano na wapo wanaosema serikali tatu wakiwa na maana ya kuuvunja. muungano utalindwa na watanzania na si idani ya serikali. Tunatarajia kuwa na viongozi wanaoupenda muungano. Tunataka mfumo unaoondoa kero wenyewe wala si mPENZIO YA VIONGOZI. Habari za Maalim na Sultani wape usalama wa taifa.
On Monday, April 21, 2014 6:42 PM, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:
UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI--
: Sultan Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka Bara wameanza kushtukia kwamba wanatumika kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto zao za kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye kwa sasa anaishi Uingereza tangu alipotimka Zanzibar 12 Januari, 1964. Miaka ya karibuni, wakati mchakato wa Katiba unanukia Maalim alifanya safari kadhaa nchini Uingereza ambapo alikutana mara kadhaa na Sultan (kwa msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha (kifedha na ushauri) mchakato mzima wa kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha Zanzibar na kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu na kupitia hapo Sultan atatua ndani ili kuendelea kutawala na kubadirisha mifumo yote ya kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo wa Arabuni. hiyo yote ni harakati za sultan ikiwa pamoja na misaada ya kifedha wanayopata ili kufanikisha azma yao
TANZANIA KWANZA UDUMU MUUNGANO NA WAASISI WAKE
NAKUPENDA TANZANIA YANGU NA NAUKUBALI MUUNGAN
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment