Abdalah Hamis
Yaelekea wewe si mtanzania au ulikuwa nje ya nchi kipindi kirefu sana na hukuwa na nafasi ya kufuatilia kilichokuwa kikiendelea. Swala la muundo ni nyeti na linapigiwa kelele na wananchi wengi, kama kwako si tatizo kwa wengine ni tatizo hivyo wape nafasi walijadili kwa undani.Kati ya Sababu kubwa zilizoibua hoja ya marekebisho ya katiba ni hilo la muundo wa serikali. CCM hawakutaka marekebisho hayo walikataa kata kata kwamba hakuna haja ya kurekebisha katiba.
Kupitia waziri wa sheria na Katiba kwa wakati ule Selina Kombaine walisema katiba iliyopo inatosha hivyo tangu mwanzo wa mchakato hawakutaka marekebisho hayo. Nashangaa leo wanajifanya wao ndo pioneers wa marekebisho ya katiba. Mission yao ni kuhakikisha katiba mpya haipatikani ili waendelee kutukamua kama ng'ombe hadi watutoe damu
2014-04-18 13:19 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Unaelewa unachokisema/unasema unachokielewa?????????On Friday, April 18, 2014 12:18 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
UKAWA kutoka nje ni matokeo ya kushindwa kwa hoja wanayoisimamia.. Kwangu Mimi suala la muundo wa serikali ni dogo sana ukilinganisha na matakwa ya wananchi..
On Friday, April 18, 2014 12:13:47 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:Baada ya kugoma na kuamua kutoka nje ya bunge la katiba Dodoma kikundi cha umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) kimekutana na waandishi wa habari April 17 2014 na kuyazungumza haya yanayofata hapa chini.Profesa Ibrahim Lipumba >>> 'Tumekubaliana kwamba siku ya Jumamosi kwa pamoja Wabunge wote ambao hatuna dharura tutakua tumekwenda Zanzibar kwenye mkutano wa hadhara kuanzia saa nne asubuhi, tutaondoka na boti asubuhi saa moja kuelekea Zanzibar na tutaeleza yaliyojiri katika bunge hili maalum''Baada ya hapo tutaendelea na mikutano nchi nzima kujulisha Wananchi msimamo wetu ambao ni rahisi, uko wazi kwamba Rais aliunda tume ya katiba katika utaratibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba itayokusanya maoni ya Wananchi lakini katika yale mapendekezo ambayo yamekuja ukawa ni mjadala wa matusi, kejeli, lugha za kibaguzi na kutaja Wapemba, Waarabu, Wakongo na Wahindi, viongozi wapo na hamna aliewakanya tena ndio wanawapigia makofi
Freeman Mbowe: 'Tume iliundwa kuratibu zoezi kupata mawazo ya Wananchi kufanya utafiti ambao uliipa tume rejea maalum ya kufata, tume haikukusanya tu maoni ya Wananchi bali ilifanya pia tafiti nyingi na ilikua na timu kubwa tu ya watu makini na mahiri na ikaonekana muafaka wa muungano wa kudumu ni serikali tatu''Kinachofanyika pale bungeni ni kutulazimisha kuondoka kwenye msingi wa ile rasimu na kuzusha rasimu mpya ambayo inapendekeza mfumo wa serikali mbili, mfumo ambao haujafanyiwa utafiti na haujatolewa maoni na Wananchi, je tumeletewa nyaraka za kutosha za kujadili serikali mbili?''Ni dhahiri kama tunataka kuvunja ule msingi wa rasimu iliyoletwa na Warioba turudi kutengeneza rasimu nyingine ambayo ina mfumo wanaopendekeza wao lakini hatuwezi kupitia mgongo wa tume ya Warioba kwenye msingi wa rasimu iliyoletwa ya serikali tatu alafu tukajadili mfumo wa serikali mbili, hata wajumbe hawana mamlaka hayo''Hatuwezi kushiriki katika majadiliano yenye matusi, kejeli, dharau na kupotosha umma…. kauli zinatolewa na viongozi zinapindishwa, wabunge wa upande wetu wakitoa mawazo yao na kueleza ukweli… unageuzwa kuwa karaha, kututaka sisi tuendelee kushiriki katika udhalilishaji ule hakika hatuwezi… je tutapata tutakachokitaka?'Kuna njia nyingi za kuitafuta haki, haki inaweza kutafutwa ndani ya bunge au nje ya bunge, kazi yetu kama vyama vya siasa ni kuweka shinikizo na kujenga hoja za shinikizo, kama tumeshapeleka maoni yetu hayaheshimiwi huna busara yoyote unaweza kutumia kwenye genge la watu kama wale ambao wamekaririshwa maneno''Wao wanatulaumu sisi UKAWA tunakaa tunaweka misimamo lakini wao wanakuja ndani ya bunge kujadili mambo ambayo wamejadili wao, na wanajadili Waziri mkuu akiwa miongoni mwao'--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment