Nakuelewa sasa. Kama si Lisu kusema vile Hati isingetoka. Hati iliombwa haikupatikana. Lisu katumia gea hiyo hati imetoka.
Ni halali tumlaumu Lisu. Lakini baada ya kumlaumu tumpongeze kwa kusaidia kuletwa hati ya muungano hadharani.
Nilishamlaumu sasa nampongeza. Heko kwa tactick yako Lisu
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

On Friday, April 18, 2014 9:03 AM, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
Punguza jazba, miaka hamsini ya uongo itafikia tamati.
Lissu anajua ku weaponize lugha yake na kupata anachotaka, ndio maana hata hiyo hati imetolewa baada ya yeye kusema alichosema wakati kisheria ilipaswa kuwepo kama nyaraka muhimu muda wote wa mchakato huu.
Kama umezoea kudanganywa wewe endelea ndugu msomi Manonga.
Magiri.
Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.
On Apr 18, 2014 8:57 AM, <manonga2003@gmail.com> wrote:
-- --
Utafiti gani wa kuwatuhumu wenzio kuwa ni waongo kwa kusema uongo? Alisema hakuna hati ya Muungano, hati imetolewa sasa anasema uongo mwingine kwamba sahihi ya Karume imeghushiwa. Uongo juu ya uongo.Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Fri, 18 Apr 2014 08:45:17 +0300ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] MZEE EDWIN MTEI AMPA VIDONGE TUNDU LISSUSijaona kosa hata moja alofanya Lissu, binafsi kupitia kwake nimejifunza mengi sana.Historia ya taifa letu imefichwa mno, Lissu kafanya utafiti wa kutosha na kufikia hitimisho alilofikia.Ila kwa kuwa tumezoea kudanganywa ni lazima tutamlaani.Magiri.Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.On Apr 17, 2014 5:58 PM, "MABADILIKO CHADEMA" <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:--"Tukubali kukosolewa. Hata mwalimu alisema asiyekubali kukosolewa sio kiongozi mzuri" Mh. T. A. Lissu.--
Am told it's a statement by Mzee Mtei.
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972.
Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.
Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke:
Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao.
Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!
With all due respect to Hon. Tindu Lissu, this smacks BAD TASTE.
Edwin Mtei,
Founder Chairman of CHADEMA.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment