Friday, 18 April 2014

Re: [wanabidii] ndugu Lukuvi ana matatizo gani? Angalia attachment

MBONA LUKUVI ANASOMEKA VIZURI TU. KAWAIDA YA WASAKA TONGE NDO HIYO, HUWA HAWANA HOJA BALI LOLOTE ANALOONA LITAFAA KUMFURAHISHA ANAYEMPA TONGE NDO ZURI. MANENO YANAYOTOKA MDOMONI MWA WATU KAMA LUKUVI, NAPE, MWIGULU NA WENGINEO NI YA KUSAKA TONGE, BINAFSI BAADA YA KUELEWA HILO HUWA SIPOTEZI MUDA KUSIKILIZA HOJA ZAO, NI WA KUPUUZA TU


2014-04-17 23:34 GMT+03:00 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>:
Hao wanaotaka kuandamana kinyume cha Tundu Lisu eti kamtukana na kumdhalilisha Nyerere nawashangaa sana. CCM hawamuenzi Nyerere kwa chochote maana wao daima wanaimba wimbo wa kijamaa na kucheza kibepari. CCM wanamtumia Nyerere kama ngao yao huku wakichukua vyao mapema. Wote tunaona nepotism ilivyotamalaki ndani ya CCM, hayo maandamano lengo lake nikutaka kupoteza aliyo ibia Lissu. 
On Thursday, April 17, 2014 9:05 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Wanabidii.
Nimemuona Ndugu Lukuvi Katika taarifa ya habari ITV saa mbili leo akijaribu kujibu hoja kuhusiana na Tamko lake kuwa Jeshi litaipindua serikali kama tutaunda mfumo serikali wa tatu.

Bila kufuatia neno neno kwa nimemsikia akisema kuwa rasimu ya ya pili tume ya Katiba imetoa vyanzo vya mapato visivyojitosheleza kwa hiyo kitakachoweza kutokea ni Jeshi 'KUAMUA'

Yeye anaamini kuwa hakuna njia au pendekezo kuboresha HAPO, ila ni kuwa tuachane na mfumo huo maana Jeshi linaweza kupindua NCHI.

Simuelewi kwa hiyo nafikiri ana matatizo labda akidhibitisha kinyume.

Kwa mawazo yangu pendekezo la mapato kutojitosheleza Jibu lake ni kupendekeza njia nyingine ya kuongeza mapato.
Lakini kwa kwa nini mawazo mengine sioni asione kuwa serikali itashindwa kuunda baraza la mawaziri 50 Badala yake watakuwa 12 hivyo serikali itakuwa Ndogo na kwa hiyo mapato yatatosha.

Lakini tatizo Kubwa Katika usemi wake ni kusema Maneno ya kulichochea Jeshi. Hivi Sahihi ni wa kwa kiongozi ngazi yake kusema neno kama hilo. kiongozi wa serikali iliyomfungulia Kibamba kesi kwa kusema neno dogo kuliko alilosema Lukuvi?

Kwa nini asiseme wafanyakazi wa kuu serikali watakosa mishahara? kwa nini asiseme Rais atapunguza kufikia safari mara safari mbili ya alizosafiri Nyerere Katika miaka 24 aliyokaa Ikulu.

Mahala pengine alipobolonga Ndugu yangu ni kusema CUF na CHADEMA 'wameishagawana' NCHI. CUF 'wamepewa' Zanzibar na CHADEMA 'wamegawiwa' tanganyika na CCM imebakiziwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Kwa nini kama CCM haiitaki isiache kugombea? Hivi serikali Hizi zinagawiwa hivyo? mwenye Uwezo wa kugawa serikali Hizi ni nani kati ya CUF, CCM CHADEMA na?
Mimi sikumuelewa. Humu niliwahi kumtaja Lukuvi kama mtu mtaratibu anayeweza kuongoza NCHI kama hii Rais. Nilikuwa nimekosea sana.
Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba. Tunaamini wananchi hawategemei kupewa (kama ambavyo Martin Luther King anasema Katika kiambatanisho Hicho) Lakini sitegemei CCM iwapelekee watanzania kudai Katiba kama wanaMsumbiji walivyofanya kwa Msaada wa Tanzania na CCm yenyewe. Hapana. Waturuhusu kistaarabu Kupata Katiba tuitakayo Tunataka Katiba kama tulivyoieleza Tume na Namini majeshi yetu yataitumikia Katiba hiyo.

Elisa Muhingo
-
Send emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email Kwenda wanabidii + unsubscribe@googlegroups.com Utapata email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal Consequences of his or her postings, and HENCE statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies did you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message BECAUSE YOU ARE subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii + unsubscribe@googlegroups.com . For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
 


 








--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment