Hiyo Kampuni asili yake ni vietnam ila sina uhakika kama ni hawa au la ingawa waliwahi kutangaza kutaka kununua hisa hapa nchini , Tangazo hili hata hivyo linafanana na lingine la EGOTEL ambayo yote ni ya vietnam , hiyo egotel inapatikana www.egotel.co.tz .
-- Wiki iliyopita hao EGOTEL walitoa tangazo kama hili lakini wakasema lisitangazwe kwakuwa kuna marekebisho wanafanya , naona sasa hivi kumetokea tangazo lingine lakini jina la kampuni limebadilika .
Tuwe makini tu .
On Saturday, April 19, 2014 10:36:39 AM UTC+3, FRANK CHALAMILA wrote:
On Saturday, April 19, 2014 10:36:39 AM UTC+3, FRANK CHALAMILA wrote:
na walaaniwe kwa kuwa matapeli naingia katika maombi kuomba wapewe stahiki yaoOn Friday, April 18, 2014 9:34 PM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:
--Natoa tahadhari kama watadai pesa kwa namna yoyote ile hao ni MATAPELI, MIMI YALISHANIKUTAUkishalipa pesa kwa ajili ya kufanya hiyo CAAT TEST ndo umekuwa umeliwa hela zako na kazi hupati tena, wala kuwasikiaWatakachofanya ni kwamba kwa wale wa mikoani watakaoomba wataambiwa wako shortlisted ila kesho wanahitajika wawe kwenye interview na kama hawawezi basi wachukue au wafanye CAAT TEST kwenye kituo kinachotambulikana au inabidi ulipie kwenye kituo wanachokipendekeza wao, na kwamba hiyo test watakutumia kwa email ili ufanye onlineNdani ya moyo wangu ninawahisi kuwa ni matapeli maana hata email iliyotuma hili tangazo ni nyingine na unayotakiwa kutuma application ni nyingineJamani hawa watu naona kama matapeli,hawana headed paper zenye details zao,
hawana simu wala fax,
On Fri, Apr 18, 2014 at 7:12 PM, <ozzanne@gmail.com> wrote:Viettel Tanzania holds a national Network Facilities (NF) license for fixed line and mobile networks, and is thought to be looking to roll out a third-generation mobile network based on UMTS/W-CDMA technology. We are telecommunication Company duly established under the laws of the United Republic of Tanzania whose headquarters is located at Plot 145, Regent Estate, Migombani street, Mikocheni, P.O. Box 110230, Dar es Salaam, Tanzania.
For implementing business plan in 2014 and 2015 and our development strategy, we will hold a mass recruitment to all over the country with 617 talent and excellent candidates who are specialized in Telecommunication, Information Technology, Marketing, Business Administration, Accountant sectors…as follow: See attachments
Candidates who apply first will be interviewed first.
Kindly fill the form in the attached file and send to email: Viettelrecruitment@gmail.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment