Saturday, 19 April 2014

RE: [wanabidii] Msajili wa vyama vya siasa akiri ccm ilivunja sheria

Hapa Je ingekuwa CHADEMA?

Date: Thu, 12 May 2011 10:35:56 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Msajili wa vyama vya siasa akiri ccm ilivunja sheria
From: enviculture@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ni kweli kabisa inafaa awajibishwe.Lakini kwa kuwa hata Raisi mwenyewe alikiri kuwa kuna wabunge wa ccm waliouzia watu kadi za ccm ili wachaguliwe na ilipowekwa hadharani wakati ule walikataa maanake ni kuwa hata raisi mwnyewe hayupo madarakani kihalali ila kwa hila.Kwanini waseme baada ya kuwa madarakani?

2011/5/11 Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Katika kongamano lililofanyika ubungo plaza mei 5,lililijenga kujadili
majeraha ya uchaguzi uliopita,Msajili wa vyama vya siasa John
Tendwa,alikiri kuwa uchaguzi uliopita CCM walivunja sheria,kanuni,na
taratibu za uchaguzi,ili kuendelea kuwa madarakani.ingawa hakuwa
tayari kutaja sheria gani,ila upo ushahidi wa wazi
Kauli hii ina maana moja,amekosa sifa ya kuendelea kukalia ofisi ya
umma,Tendwa huku akijua kuwa ni kosa sheria kuvunjwa na yeye akakaa
kimya
Kukiri huku kwa msajili hakuwezi kupita hivi hivi
Nawasilisha
Nanyaro

--
www.kazibongo.blogspot.com kwa Nafasi za Kazi kila siku

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
EnviCulture(Kyela Envirocare and Cultural Tourism)
is a registered NGO based in Tanzania working on
Environmental Conservation and Cultural Tourism in Kyela Mbeya
Tanzania.
Contact:Newton Mwakabambo
Web:http://kyelaenvirocare.jimdo.com
+255 783 874104/0765 293710

--
www.kazibongo.blogspot.com kwa Nafasi za Kazi kila siku
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment