Jikumbushe basi
From: kisonzo@live.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] HIVI NI SAHIHI?
Date: Thu, 12 May 2011 07:03:51 +0200
Nimekuelewa but, naona haina tofauti na Mbunge ambaye ni mjumbe wa Bodi ya kamapuni fulani halafu tumtegemee achangie fairly bungeni kuhusu madudu yanayofanywa na kampuni ambayo yeye ni mjumbe.
> Date: Wed, 11 May 2011 17:57:01 -0500
> Subject: Re: [wanabidii] HIVI NI SAHIHI?
> From: ngonzy@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ukiangalia kwa haraka haraka waweza sema si sahihi kwa wao kuwa na
> ungozi vilabuni ila unapofahamu kuwa vilabu vya michezo vinatakiwa
> kuongozwa na wadau wamichezo ambapo mwandishi wa habari za michezo ni
> mdao unafuta shaka lako. Kwa mwandishi anaejua taaluma yake inataka
> afanye nini hatasita kutuhabarisha japo ataumiza upande fulani kwa
> kusema ukweli wake.
>
> On 5/11/11, alex kisonzo <kisonzo@live.com> wrote:
> >
> > Hivi karibuni umezuka mtindo wa baadhi ya waandishi wa habari hasa za
> > michezo kugombea/kutafuta/kupata nafasi za uongozi katika club mbalimbali za
> > hapa nchini. Nakumbuka Maulid Kitenge aliwahi kuwa msemaji wa Twiga Sport
> > (Kabla haijafa), sasa hivi Ibrahim Masoud (Maestro) wa Clouds FM naye ana
> > madaraka huko Simba. Yupo pia mchezaji wa Yanga wa zamani ambaye pia huwa
> > namsikia Clouds akichambua soka naye nasikia ana madaraka huko Yanga. Swali
> > langu ni kwamba, hivi ni sahihi hawa watu wa habari za michezo kushika
> > madaraka kama hayo? Naangalia majukumu waliyonayo ya kuwajuza wananchi kile
> > kilichotokea bila kuelemea upande wowote. Mfano, wao wakaingia kwenye
> > migogoro katika club zao, ni nani atatutaarifu na kuhoji kiundani wakati
> > yeye mwenyewe ndiyo mhusika. Hivi Ibrahim Masoud au mwingine yeyote anaweza
> > kutamka wazi kuwa mwenye matatizo ni mchezaji fulani wa wa timu anayoiongoza
> > huku akijua wazi kutamka kwake kunaweza kuwa ushahidi wa mchezaji huyo
> > kufungiwa?
> >
> > Nilikuwepo!
> >
> > --
> > www.kazibongo.blogspot.com kwa Nafasi za Kazi kila siku
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
>
> --
> www.kazibongo.blogspot.com kwa Nafasi za Kazi kila siku
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
www.kazibongo.blogspot.com kwa Nafasi za Kazi kila siku
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment