Thursday, 10 April 2014

Re: Re: [wanabidii] Ramani na mipaka ya Tanganyika (miaka 70 iliyopita)

Kiimani unamaaniha dini? Dini gani izuie muungano ambao uchafu wa ila aina upo bara na kisiwani-kunywa tende (gongo) ipo zama zote toka zamani, kuvuta bangi na sasa kuongoza kuwa mapito na maleteo ya madawa ya kulevya na wazungu wapo kusaidia walio kwenye vituo vya waathirika; ushoga upo mpaka ubakaji; wizi mpo na mpaka ujambazi wa utumia silaha; magendo ya kuingiza na kutoa mpaka karafuu na meno ya tembo; kukwepa kodi; kuua watu mpaka na kuwamwagia tindikali. Wakati wa vurugu za uchaguzi na tofauti ya vyama na hadi kuua askari; kusali misikiti tofauti kutokana na uadui kichama na mengine mengi watu kupanda meli jioni kulala bara kwa ndugu zao na kujaza meli asubuhi kurudi pemba hii ilitokea na kushuhudiwa. Binadamu wana matatizo kutokana na maumbile yao, mahitaji na matatizo ya imani za kidini, kimila etc. Unaukana muungano lakini unataka umiliki na unamiliki ardhi na mali kule unakokukana au kukukataa; kukata mikoko, uvuvi haramu wa nyavu zinazokatazwa kwenye Marine Park Mafia halafu wakazusha mapigano na police marine kutupa mabomu ya petroli na kuleta visingizio vya udini kuwa source ya ubaguzi kumbe ilikuwa ni kuvua katika core protected areas za hifadhi ya wanyamapor (Samaki) wa baharini!! Waeoa na kuzaa huku bara mpaka na wakristu na wengine wanaukoo wa watu wa madhehebu mbali mbali. Na hata ukienda makaburi ya ukoo utakuta misalaba na makaburi ya alama ya kiislamu kwa pamoja. Ipo hivi vijiji vingi Tanzania jamani na hata katika koo za machifu wa zamani na koo nyingine nyingi. Sasa hii DINI itufanye tugombane, tuuane, tuchukiane, tuvunje muungano. Lakini ikifika machafuzi (mfano enzi ile ya Sef S. Hamad) walikimbilia Uingereza (Sio Oman) kwenye nchi ya Katiba ya Kikristru; kukimbilia Msumbiji (majority wakristu kutokana na utawala wa Wareno). Na wakimbiao Vita nchi za Kiislam hata huko West and west Africa (Mali etc); Misri, Syria, Afghanistan, Pakistan na machafuko yao etc wanakimbilia nchi zenye Katiba ya Dini ya Krikristu-Australia, Spain, USA, ENgal, France, Germany-mbona tunakataa ukweli? Kama dini ni issue-serikali za nchi za Kikistru zisingekuwa zinapeleka misaada ya vyakula, majeshi, Red-Cross volunteers etc maana misaada yote inatoka huko kusaidia wakimbizi. Wasingekuwa wanawapokea makwao na kuruhusi huko ulaya misikiti kuwepo wangeipiga mabomu kama wafanyavyo wao kwa makanisa lakini haitokei hivi. Hivi wenye macho hatuoni haya? Wasingesoma hata shule za makanisa ambazo nyingi ndio zinaongoza katika ufaulu wala kutibiwa katika taasisi za afya za makanisa ambako wahonjwa wanaongezwa damu, maji, kupasuliwa, kula chakula na wanatibiwa hivyo na mapadri na masista ambao ni madaktari pamoja na wauguzi wengine-makanisa ambayo ndio yana asasi nyingi za matibabu na elimu  wajengazo kwa misaada michache na hela za sadaka kanisani za miradi ya kaniza-toa ndugu. Tunataka nini sisi waafrika jamani? tunaona wanavyouana hata huko ambako Uislamu ni asilimia 99.9% na hawana amani, miji ni maghofu, vilema kibao. issue ni Dini kweli au ubinafsi wa watu fulani fulani? Niambie unapomkuta Professor Mkude ambaye ni Padri, Rev Mogela ambaye ni Padri anafundisha University na u wa dini sio ya kikristu unasoma unafaulu nawe kuwa profesa-unaharibikiwa nini?
Dini ni issue kweli. Give me a break Alexander!!

On Tuesday, 8 April 2014, 19:22, "ekunyaranyara@yahoo.co.uk" <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Muhingo
Kuiondoa CCM madarakani ni propaganda tu. Kama msivyowaelewa CCM ndivyo na wenyewe wasivyowaelewa.
Tatizo hapa ni kutokukubali tofauti za kifikra na kudhani kwamba mawazo yako ndio sahihi tu. Hii siyo haki hata kidogo.
Kuna methali moja inasema "if you can't fight them, join them". Nakushauri ujiunge nao.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>;
To: <chipalazya@yahoo.com>; <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: Re: [wanabidii] Ramani na mipaka ya Tanganyika (miaka 70 iliyopita)
Sent: Tue, Apr 8, 2014 8:56:11 PM

Ndugu Alexander nami nilikuwa napata taabu kama wewe. Sasa shina shida tena maana nimeielewa ccm. Ili taifa hili liendelee project ya kwanza ni kuiondoa ccm ktk sura ya siasa za nchi hii

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, April 7, 2014 12:49:36 PM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] Ramani na mipaka ya Tanganyika (miaka 70 iliyopita)

Kama kuna kitu kinanipa shida kwa wiki tatu sasa kuelewa ni kwanini CCM wanashindwa kuelewa nia  njema ya mapendekezo ya tume ya katiba chini ya mzee Warioba. Utaachaje kupendekeza serikali tatu kwenye hali kamaa hii: fuata hii link. 
http://mzalendo.net/habari/kongamano-la-bwawani-jumapili-april-6.html

On Monday, April 7, 2014 9:23 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

Tanganyika Ranganyika Nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanganyika, Sifa zako ni nyingi sanaaaa. Nilalapo nakuota weweeee niamkapo ni heri mama weeee. Nchi yangu tanga nyika, Rudi sasa watotot wangu wakuoneeeee.

On Friday, April 4, 2014 5:35 PM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:

Credits: Figueiredo family

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment