Msemo Sisi wote ni watu wazima tena wenye utambuzi kidogo wa maambo angarau hata kidogo. Vurugu zinazotokea katika kampaini zote ni za.kutengenezwa ili kuweka mazingira ya kuonewa huruma. Hii ni mbinu ambayo tayari wananchi wengi wameifahamu na wala haiwezi tena kuharibu kura zaoo. Mbinu nyingine ya kujiteka na kisha kusingizia kuwa wametekwa na CCM nayo pia imepitwa na wakati ndiyo maana watu wanaiangalia na kuiacha kama ilivyo. Mbinu ambayo inajulikana lakini bado inaachwa iendelee ni ya propaganda inayopigwa na vyombo vya habari. Wao wanasema waweka.agenda. Vyombo vingi vya habari wamelalia upande wa.waapinzani huku wananchi wakibakia wanawashangaa kwa vile wao wamebakia na CCM na vyombo vya habari kulalia upinzani kwa kujua au kutojua. Ni makosa, ninavyofikiri mimi, kulazimisha ukweli usionekane wakati uko wazi. Kuwawekea wananchi maneno mdomoni wakati hawajasema na.wala.hawako hivyo ni kukosa uaminifu kwaa watu unaotaka kuwaongoza. Kwa kifupi nionavyo mimi changamoto za vurugu na kutumia nguvu kunakooonekana katika kampaini za chaguzi mbalimbali ni za kutengenezwa, yaani siyo halisi. Wenye macho tumeona kama hujaona tukumegee kidogo. |
From: Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Bunge la Katiba: Kamati, Wenyeviti na Makamu
Sent: Wed, Mar 26, 2014 8:49:29 AM
Nadhani ukipima kuwa ninapendwa hii ni ngumu mimi ni muumin lakini napenda haki.Je haki ipi sasa kwamba waliojiandikisha kupiga kura ni zaidi ya Elfu sabini kisha hata thelathini haikufika na vurugu kibao na kutumia nguvu kisha useme unapendwa na ku refer Kalenga .Hapana.jamani tupende haki kwani siku moja tutaulizwa je mtu anayependwa anatumia manguvu.Kama kweli bado tunapendwa naamin bado watanzania wana imani na Chama chetu cha CCM lakini hebu tutumie haki.Hebu tutende haki kama mume hakupendi hata kama utatumianguvu dawa nk bado haisaidii kwani sio matakwa ya wengi.Kama kweli waliopo bungeni wanatudanganya siku moja watahukumiwa kwa kuwahujumu watanzania. Na naamin kama hatutaki kubadilika dunia itatulazimisha kubadilika.2014-03-26 11:23 GMT+03:00 ekunyaranyara@yahoo.co.uk <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:
-- "In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment