Naona mada ilivyokuwa na ukweli ndani yake eventhough truth hurt,
naona pia watu wa kagera wanavyo jaribu kutetea,Lakini pia tujiulize
hakuna wengine wenye vigezo ni wao tuu,kama hakuna Waacheni watutawale
kila sehemu ili cc makabila madogo tuwe watawaliwa this is the commi"
situation tusishangae!
On 1/3/14, Kamala J Lutatinisibwa <jlkamala@gmail.com> wrote:
> itafikia wakati tutalalamika kwamba wabunge wote wa mkoa kagera ni wenyeji
> wa mkoa huo!!!!!
> mkalalamike basi pia ni kwa nin taasisi nyingi za elimu hasa ya juu zimejaa
> waenyeji wa kagera, Kilimanjaro na Mbeya, tufanye standardization basi na
> huko
>
>
> 2014/1/3 Magora Hassan <magorah15@gmail.com>
>
>> Lutinwa
>> kwanza tumia lugha moja unapoelezea jambo kwani unatuchanganya na
>> kiswanglish chako.
>> Pili kaa ukitambuwa kuwa hoja si kukidhi vigezo,kwani unadhani hakuna
>> watu
>> toka makabila mengine wenye vigezo?
>> Kama shida ni vigezo tu basi kuna uwezekkano wa kuwa na viongozi wa nchi
>> nzima toka kabila fulani hoja ikiwa ni kuwa na vigezo.uko kuhalalisha
>> ukabila kwa kutumia hoja dhaifu na kuwataka wote wanaongoza sekta fulani
>> kuchaguwa watu wa kabila lake kwa sababu za kukidhi vigezo.
>> Rgrds
>> Magora
>> On Jan 3, 2014 6:41 PM, "Lushengo Lutinwa" <lutinwa@gmail.com> wrote:
>>
>>> Kwanza na-declare interest, mimi ni mwenyeji wa Kagera ( Omulangira).
>>> Kwa
>>> mtu muelewa, ni vigumu kumnyooshea kidole Malinzi kwa appointment
>>> alizozifanya only citing that the majority of TFF employees are from
>>> Kagera. Nilitegemea a sensible person a-criticise appointment
>>> alizozifanya
>>> Malinzi kwa kuangalia uwezo wao, na sio wanapotokea. Upuuzi kama huu
>>> uliwahi kutolewa kuhusiana na ajira pale TRA. Lakini waliokuwa
>>> wanaropoka
>>> walikosa basis ya criticism zao baada ya kuonekana Wachaga waliopo pale
>>> wana-meet vigezo vya kuajiriwa.
>>>
>>> Yona, try to be sensible, usilete hoja za kitaahira jukwaani.
>>>
>>> Sent from Galaxy Note
>>> On 2 Jan 2014 17:27, "Mashaka Mgeta" <mgeta2000@yahoo.com> wrote:
>>>
>>>> Kama ni hivyo, basi mimi niishie KUMBUKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU
>>>> NYERERE. Siongezi.
>>>>
>>>>
>>>> On Thursday, January 2, 2014 6:17 AM, Yona Msuya
>>>> <yonamsuya@gmail.com>
>>>> wrote:
>>>> NI kwa utuki au kwa mikakati maalum, nafasi kadhaa za juu katika
>>>> Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zinashikiliwa na viongozi
>>>> wenye
>>>> asili ya mkoa wa Kagera.
>>>>
>>>> Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa TFF, Oktoba 27, 2013 kwenye
>>>> ukumbi wa NSSF Waterfront, walimchagua kwa kura nyingi Jamal Emil
>>>> Malinzi
>>>> kuwa Rais mpya kurithi kiti kilichoachwa na Leodegar Tenga aliyeachia
>>>> ngazi. Malinzi ana asili ya Kagera.
>>>>
>>>> Baada ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji, kupangwa katika kamati
>>>> ndogondogo, wiki hii Malinzi amemtangaza aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu
>>>> ya
>>>> Yanga, Mwesigwa Selestine kuwa Katibu Mkuu wa TFF akichukuwa nafasi ya
>>>> Angetile Osiah aliyesitishiwa mkataba wake kwa kupewa likizo ya malipo
>>>> hadi
>>>> mwezi huu. Mwesigwa ana asili ya Kagera.
>>>>
>>>> Aidha, Malinzi alimtangaza Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Evodius
>>>> Mtawala kuwa Mkurugenzi wa Vyama, Wanachama na Masuala ya Sheria.
>>>> Mtawala
>>>> ambaye kitaaluma ni mwanasheria, pia anatoka Kagera.
>>>>
>>>> Tofauti na Malinzi na katika kujali misingi ya utawala bora uongozi
>>>> uliopita wa Tenga uliiteua kampuni moja ya kimataifa kufanya usaili wa
>>>> watu
>>>> walioomba nafasi mbalimbali za uongozi. Lakini Malinzi 'aliunda' kamati
>>>> ya
>>>> kufikirika iliyopokea maombi na kufanya mchujo kwa kuzingatia sifa
>>>> mbalimbali ikiwemo ya elimu.
>>>>
>>>> Baadaye majina yaliyopitishwa yalipigiwa kura na Kamati ya Utendaji.
>>>> Lakini habari kutoka ndani ya TFF zinasema Rais ndiye alikuwa anapokea
>>>> maombi hayo.
>>>>
>>>> Vilevile, Malinzi amemteua Pelegrinius Rutayuga kuwa mshauri wake wa
>>>> masuala ya Ufundi. Mshauri huyu ni mwakilishi wa mkutano mkuu kutoka
>>>> mkoa
>>>> wa Kagera.
>>>>
>>>> Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati ya Mashindano itakayoshughulikia
>>>> mpira wa ufukweni ni Ahmed Mgoyi, mjumbe wa TFF kutoka Kigoma, lakini
>>>> makamu mwenyekiti ni Shaffih Dauda ambaye pia anatoka mkoani Kagera.
>>>>
>>>> Akihisi kwamba watu wanaweza kumpigia kelele kuhusu uteuzi wa viongozi
>>>> watokao eneo moja, Malinzi aliwaambia waandishi wa habari Jumanne,
>>>> "Mimi
>>>> sijali kwamba waombaji ni dini gani na wanatoka wapi bali najali sifa
>>>> na
>>>> utendaji kazi."
>>>>
>>>> Kauli hiyo ya utetezi imeanza kukosolewa na baadhi ya wajumbe wa Kamati
>>>> ya Utendaji ambao wameidokeza MAWIO kuwa hiyo ni dosari kubwa kwa
>>>> uongozi
>>>> wa Malinzi.
>>>>
>>>> Malinzi alisema kuwa mchakato wa upatikanaji wa ajira hizo ulipitia
>>>> taratibu walizoziweka na hao ndio wameonekana kuwa wanafaa kuendana na
>>>> malengo na sera za TFF.
>>>>
>>>> Alisema mchakato huo ulianza kwa watu mbalimbali kuomba nafasi hizo na
>>>> baada ya kamati ya ajira, ambayo hakutaka kuiweka wazi kwa madai kuwa
>>>> ni
>>>> kamati ya ndani ya TFF, kupitia majina ya waombaji yalipelekwa katika
>>>> Kamati ya Utendaji ya TFF ambayo ilipata washindi.
>>>>
>>>> Akifafanua, Malinzi alisema TFF ina malengo yake na Mtawala na Mwesigwa
>>>> ndio walioonekana kuendana na matakwa na hakuna kitu kingine zaidi ya
>>>> uwezo
>>>> wao na uzoefu wao uliowashawishi wajumbe kuwapa ajira hizo.
>>>>
>>>> Uteuzi mwingine wenye harufu ya asili ya Kagera ni wa wakili Julius
>>>> Lugaziya ambaye anakuwa mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya TFF. Malinzi
>>>> amemteua Melchesedeck Lutema aliyekuwa wakili wa Malinzi katika kesi
>>>> mbalimbali wakati anafanya kazi kwenye kampuni ya mwanasheria maarufu
>>>> marehemu Julius Ndyanabo kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi.
>>>>
>>>> Halafu Malinzi ameondoa masalia yote ya uongozi wa Tenga isipokuwa
>>>> Ofisa
>>>> Habari wa TFF, Boniface Wambura. Nafasi ya Mkurugenzi wa Mashindano
>>>> iliyokuwa chini ya Sadi Kawemba kwa sasa inakaimiwa na Idd Mshangama
>>>> ambaye
>>>> ni ofisa wa itifaki.
>>>>
>>>> Sunday Kayuni, aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi, ameondolewa na nafasi
>>>> yake inakaimiwa na Salum Madadi, huku Danny Msangi akishikilia kwa muda
>>>> nafasi ya Mkurugenzi wa Fedha.
>>>>
>>>> Nafasi zinazokaimiwa ni kutokana na walioomba kutokuwa na sifa
>>>> zinazohitajika na Malinzi amesema zitajazwa baadaye isipokuwa wote
>>>> walioomba awali wasijisumbue kuomba tena.
>>>>
>>>> Rais huyo wa TFF amesema waajiriwa wote mikataba yao itaanza rasmi
>>>> Januari Mosi 2014 na itakoma baada ya miaka miwili.
>>>>
>>>> Chanzo gazeti la Mawio toleo la wiki iliyopita
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>
>
> --
> kamala J Lutatinisibwa
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment