Tunashukuru kwa ratiba lakini kama umekosea mwaka naona umeandika
2013" sijui kama nitakuwa sahihi
On 1/4/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> *TAREHE 4/ 01/ 2013*
>
>
> - MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIA KUWASILI UWANJA WA NDEGE WA JULIUS
> NYERERE TERMINAL II, SAA7: 00 MCHANA. BAADA YA KUWASILI UTAPELEKWA
> NYUMBANI
> KWA MAREHEMU MIKOCHENI B.
>
> - SAA 11:00 JIONI MWILI UTAPELEKWA HOSPITALI YA LUGALO.
>
>
> *TAREHE 5/ 01/ 2013*
>
>
> - SAA 3:00 HADI SAA 4:00 ASUBUHI:- CHAKULA NYUMBANI KWA MAREHEMU.
>
> - SAA 4:30 ASUBUHI :- MWILI KUWASILI NYUMBANI MIKOCHENI B.
>
> - SAA 5:30 HADI SAA 8:00 MWILI UTAPELEKWA UKUMBI WA KARIMJEE KWA AJILI
> YA SHUGHULI ZA IBADA NA HESHIMA ZA MWISHO.
>
> - SAA 8:10 MWILI UTAPELEKWA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE TERMINAL
> I.
>
> - SAA 10:00 MWILI UNATARAJIA KUWASILI IRINGA UWANJA WA NDULI NA KUAGWA
> KATIKA UKUMBI WA SIASA NI KILIMO-IRINGA
> - SAA 11:30 JIONI MWILI UTASAFIRISHWA KUELEKEA KIJIJI CHA MAGUNGA.
>
>
> *TAREHE 6/ 01/ 2013 *
>
> - SAA 6:00 MCHANA SHUGHULI ZA MAZISHI KIJIJINI KWA MAREHEMU MAGUNGA.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment