Kitila huo ndio unapaswa kuwa msimamo sahihi sio ohh wakenya watatupora ardhi au ajira zetu. On Sunday, December 1, 2013, kitila mkumbo wrote: Hii inatia moyo sana. Tunaweza. Tatizo kuna viongozi ambao wanatia watu unyonge bila sababu zozote. Hatuna sababu kuogopa Jumuiya yetu ya Afrika Masharika. Watu wetu wana uwezo kabisa wa kushindana wakipewa mtizamo sahihi. Kitila From: matinyi <matinyi@hotmail.com>...
Saturday, 30 November 2013
[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC
Read More :- "[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC"
Re: [wanabidii] Man gets 10 years for sleeping with a Goat !!!!
You are vegetarian. Good for your health keep it up. Indeed you can't sleep with goat. On Dec 1, 2013 7:37 AM, "denis Matanda" <denis.matanda@gmail.com> wrote: Kama unavyosema Maurice ni ujinga mtupu na ukosefu wa matumizi ya common sense. Siungi mkono vitendo vya kikatili dhidi ya wanyama na hiyo inahusisha kuwachinja! Fikiria ulimwengu ambao wanyama wataishi kwa amani bila hofu ya kuingiliwa au kuchinjwa na binadamu!...
Re: [wanabidii] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC
Ama hakika, hizi ni habari njema mno. Pongezi nyingi sana kwake kijana. T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network.------ Original message ------From: matinyi Date: 30/11/2013 19:51To: wanabidii@googlegroups.com;mabadilikotanzania@googlegroups.com;Subject:[wanabidii] Mtoto Mtanzania ashinda insha EACPeter Robert Kilave, mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Tushikamane...
Re: [wanabidii] Man gets 10 years for sleeping with a Goat !!!!
No! A man can not "sleep" with a goat! On 29 November 2013 22:34, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote: Now this is the kind of news that embarrasses me about our judicial system. A man who sleeps with a goat does not belong in prison. That is a sick man who needs psychiatric treatment; or at best, a woman. Spending hundreds of thousands of shillings on this guy over a 10-yr period is a waste of taxpayers' money,...
Re: [wanabidii] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC
Walio wengi wanakatishwa tamaa na mazingira ikiwa ni pamoja na jamaa na jamii inayowazunguka On Nov 30, 2013 9:07 PM, "Phares Magesa" <magesa@tanzaniaports.com> wrote: Nachukua nafasi hii kumpongeza sana kijana Peter kwa ushindi huo mzuri na wa kujivunia.Pia nawapongeza wazazi, walimu na walezi wa Peter kwa malezi mazuri ya kijana huyo.Penye nia siku zote pana njia, watanzania tujenge tabia ya kuthubutu na kushiriki katika...
Re: [wanabidii] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC
Hizi ni habari njema kwa Watanzania Rgrds Magora On Nov 30, 2013 9:07 PM, "Phares Magesa" <magesa@tanzaniaports.com> wrote: Nachukua nafasi hii kumpongeza sana kijana Peter kwa ushindi huo mzuri na wa kujivunia.Pia nawapongeza wazazi, walimu na walezi wa Peter kwa malezi mazuri ya kijana huyo.Penye nia siku zote pana njia, watanzania tujenge tabia ya kuthubutu na kushiriki katika mambo mbalimbali makubwa hususani ya...
Re: [wanabidii] Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa
CHAMBUENI KAMA KARANGA ILI TUPATE MAWAZI WATAKAO SAINI MIKATABA MIZURI 2015
On 30/11/2013, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
> CHADEMA, toeni taka ili mchele ubaki pekee tayari kwa mapishi 2015. Ni
> afadhali mfike 2 wa ukweli.
>
>
> 2013/11/30 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
>
>> Heko Golugwa
>> On Nov 30, 2013 6:50 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:
>>
>>>...
Re: [wanabidii] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC
Nachukua nafasi hii kumpongeza sana kijana Peter kwa ushindi huo mzuri na wa kujivunia.Pia nawapongeza wazazi, walimu na walezi wa Peter kwa malezi mazuri ya kijana huyo.Penye nia siku zote pana njia, watanzania tujenge tabia ya kuthubutu na kushiriki katika mambo mbalimbali makubwa hususani ya kimataifa ili kuongeza nafasi ya nchi yetu kujitangaza nje ya mipaka yetu.Wapo watanzania wachache huwa wanajitokeza kushiriki katika...
Re: [wanabidii] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC
Nachukua nafasi hii kumpongeza sana kijana Robert kwa ushindi huo mzuri na wa kujivunia.Pia nawapongeza wazazi, walimu na walezi wa Robert kwa malezi mazuri ya kijana huyo.Penye nia siku zote pana njia, watanzania tujenge tabia ya kuthubutu na kushiriki katika mambo mbalimbali makubwa hususani ya kimataifa ili kuongeza nafasi ya nchi yetu kujitangaza nje ya mipaka yetu.Wapo watanzania wachache huwa wanajitokeza kushiriki katika...
Re: [wanabidii] Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa
CHADEMA, toeni taka ili mchele ubaki pekee tayari kwa mapishi 2015. Ni afadhali mfike 2 wa ukweli. 2013/11/30 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> Heko Golugwa On Nov 30, 2013 6:50 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote: Amani haitarudi ila kwa makali ya upanga. Magiri. Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi. On Nov 30, 2013 6:44 PM, "MABADILIKO CHADEMA" <mabadilikochadema@gmail.com>...
Re: [wanabidii] TAARIFA YA KUJIUZURU KWA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA LINDI
Back kidogo tutajua kama wangwe kifo chake kilipangwa au ni ajali On Nov 30, 2013 8:21 PM, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote: Actually, amechelewa sana. Alitakiwa awe amejiondoa muda mfupi baada ya kujiunga Chadema.2013/11/30 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> sishangai jamani chadema walitaka wenyewe, yetu...
Re: [wanabidii] TAARIFA YA KUJIUZURU KWA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA LINDI
Actually, amechelewa sana. Alitakiwa awe amejiondoa muda mfupi baada ya kujiunga Chadema.2013/11/30 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> sishangai jamani chadema walitaka wenyewe, yetu macho mengi yataibuka ya ukweli na uongo....hapa tayar mgogoro umeleta mambo...ni kukosekana kwa ustahamilifu tu ndio kinacholeta haya sasa kushika...
Subscribe to:
Posts (Atom)