Wana Jamvi wote,
Napenda kuwakaribisha katika mdahalo utakaozungumzia amani. Mdahalo huu umeandalaiwa na TADIP kwa kushirikiana na KAS, utafanyika siku ya tarehe 22 mwezi November, Serena Hotel, kuanzia saa tatu asubuhi. Kwa maelezo zaidi tafadhali soma kadi ya mwaliko na ratiba ambayo imeambatanishwa katika email hii.
Karibuni wote,
Selemani Rehani
0 comments:
Post a Comment