Fred,
Mchoro mzuri kwa mwonekano lakini kinachonishangaza ni kitu kimoja:
Wanasema kwamba hii itakuwa hospitali yenye vitanda 600 na inayochukua wanafunzi wa udaktari 15,000.
Kwa haraka haraka ni hakika kwamba walimu, wauguzi, wataalamu wa maabara na wengine watakuwa zaidi ya 3,000.
Kutakuwa na watu wasiopungua 1,200 watakaokuja wanakuja kuwaona hao wagonjwa karibu kila siku.
Hivyo, haya majengo, kwa wakati wowote ule, yatakuwa na watu wasiopungua 20,000, ukiongeza na wengine ambao sijawataja.
Kwa hiyo tunazungumzia uwezekano wa kuwa na magari mangapi katika maendeleo ya sasa?
Ninaamini kwa maendeleo ya sasa ya watu binafsi nchini Tanzania na ukuaji wa daraja la kati, watu 20,000 kwenye hospitali wanaweza kuwa na magari walau 2,000. Hata kama ni pungufu zaidi, haitapungua 1,000.
SWALI: Hayo magari yatawekwa wapi?
Huku kwa wenzetu ukiwa na watu 20,000, hao wanafunzi 15,000 wangekuwa na magari walau 3,000, na hao wagonjwa 600 wangeweza kuwa na magari 100, na watu wao magari mengine walau 600, na wafanyakazi wote, kila mmoja kuanzia na mfagiaji gari moja. Kwa hiyo wao wangeweka sehemu ya kuegeshea magari walau 5,000, kwa uchache. Je, sisi hatuwezi hata magari 500?
Ni tatizo la kufikiri tu. Ndilo tatizo la uwanja mpya wa Taifa ambapo ikifika saa ya kupumzika, vyoo vinajaa watu kiasi kwamba wengine wanaamua kukojolea kuta na milango.
Kwa nini akili zetu hazipanuki na kufikiri? Yaani muundo mbinu mkubwa namna hii hauna eneo la kuegesha magari walau 500?
Matinyi.
Date: Mon, 26 Nov 2012 06:33:08 -0800
From: fredrick197958@yahoo.com
Subject: [Mabadiliko] Fw: Muhimbili University New Campus
To: wanabidii@googlegroups.com; TAFESAssociates@yahoogroups.com
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group, send email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

Wapendwa huu mjengo wa quality!
Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam ambayo ni sehemu ya Hospitali kuu ya Muhimbili inajengwa kwenye eneo la ekari 3800 kwa ajili ya kutolea mafunzo kwa wanafunzi wa udaktari na huduma za Afya wapatao 15,000 kwa mwaka, na pia itakua sehemu ya kutolea matibabu ya maradhi yote makuu na ya kawaida nchini.
Ujenzi wa Hospitali hii, ambayo pesa ya ujenzi wake imeshapatikana, unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa kukamilika miaka miwili baada ya ujenzi kuanza. Tayari wataalamu na wafanyakazi wanaotarajiwa kufanya kazi katika kampasi ya Mloganzila wameshaanza mafunzo ndani na nje ya nchi. Mara hospitali hiyo kubwa na ya kisasa itakapokamilika itakua na uwezo wa vitanda vya kulaza wagonjwa mia sita (600). Hii ni mojawapo ya juhudi za serikali ya awamu ya nne katika kuhakikisha nchi inaondokana na adha ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.

Visit a youtube site for more audiovisual
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=DLzsq3JiUYA --
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group, send email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
0 comments:
Post a Comment