Makene.
Umeweka sawasawa kisu kwenye mfupa! Yaani kama wewe ni muwindaji wa ndege utakuwa umelenga shabaha kabla hujapiga.
Naomba kuongezea mambo machache kwenye hoja yako lakini pia kwa uangalifu mkubwa kukwepa mtego ulio ukwepa wa udini na ukabila. Wenye kujadili dini na ukabila ni watu waliofilisika mawazo na wana ukame wa maono uliopigwa pazia mchana wa jua kali.
Mchakato wa kupeleka CHASO kwenye vyuo hususani mkoani kilimanjaro niliushiriki kikamilifu sana na na ground yake Deo Munishi ambaye ni katibu wa Bavicha kwa sasa by then akiwa mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Kilimanjaro anajua vizuri juhudi tulizo fanya hadi kulifanikisha hilo, na hata tawi la chuo kikuu cha Mwenge nili play part kwa kiasi kikubwa sana kulianzisha (kuasisi) kwa maana ya kuandaa fomu za usajili wa wanachama ili kutambua wanachama hai wenye kadi na na wasio kuwa hai.
Niliyafanya haya nikiwa si mzaliwa wa kilimanjaro na wote nilioshirikiana nao hawajawahi kunibagua kwa dini yangu maana siwa dini yao.
Kutokana na swala la muda tukakubaliana viongozi wa Chaso wasiwe wanafunzi wa mwaka wa tatu maana wao watakuwa na muda mchache kufanya harakati za chama. tukakubaliana kuwa mwaka wa pili ni muafaka sana maana atakuwa anayajua mazingira ya chuo vizuri na atakuwa amejifunza mambo mengi ya uendashaji wa chama kwa kufuata mazingira ya siasa za vyuo. Tukafanya uchaguzi wa kumtafuta muwakilishi wa chaso kwa upande wa tawi la Mwenge, huyu hukuwa mchaga namkumbuka kwa jina la pili alikuwa akiitwa Malifeza (kama sikosei ni mtu kutoka Iringa). Tukafanya uchaguzi wa tawi mwenyekiti alikuwa anatokea Kigoma hakuwa mchaga, katibu wake alikuwa dada mmoja (sikumbuki alitokea wapi maana haikuwa hoja).
Nimeeleza haya machache ili muweze kuona ground ya kilicholetwa na watu wenye nia ya kuona nchi hii inakuwa vipandevipande kwa udini na ukabila.
Matatizo tuliyokuwa nayo huku mitiani sio dini wala ukabila! Hata ccm wenyewe wanajua kuwa hatusumbuliwi na udini au ukabila lakini wanatumia ujinga wa watu wachache kupandikiza mbegu mbaya inayoligawa taifa.
Wenye kina kifupi cha maono wemekuwa wepesi kubebwa na kubebeka na hao ndiyo mtaji wa kudumu wa ccm.
Nimeshangazwa na Tony PT na Dr Kafumu niliowaona kuwa ni watu makini kushadadia uwongo na umbeya wenye kuligawa taifa vipande vipande. Nimewashangaa sana!
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 21 Nov 2012 03:42:20 -0800 (PST)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
Hapa hakuna hoja, intelijensia za CCM zipo kazini tu kuchota mawazo ya watu!!!!! Uchaguzi ukikaribia tutasikia zaidi ya haya! Mara huyu mke wake alimchumbia baa, mara, ooh kaiba mke wa mtu,mara ooh, huyu anatoka wapi, n.k.! Hii haitawasaidia. Watanzania badala ya kushabikia yanayo tuunganisha, tunakalia udini, ukabila, ukanda nk.! Iam always objective Kama sekretarieti ya CCM wengi ni waislamu, so what?? kwani kuna kiongozi wa CCM aliyepigiwa kura na msikiti au uamsho??? Viongozi wengine wamepita kwa kura 100%, je ukumbi ulijaa dini moja wakati wa kupiga kura?? Mtu akipata nafasi kwa uwezo wake, kwanini uhangaike na dini au kabila lake?? Na kama hao vijana viongozi wa CHADEMA vyuoni wanatoka huko mnakodai, so what?? Waliomba wangapi na wakakoseshwa kutokana na sababu za kikabila??? Acheni kupandikiza migawanyiko isiyo na msingi,haimsaidii yeyote kati yetu!!! Mwl.Mbanyi --- On Tue, 11/20/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, November 20, 2012, 10:34 PM
LK, Sijasema hivo na naelewa wewe ni mpenda mijadala tu na umepungukiwa ushabiki wa siasa. Nakuaminia. Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network. Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell. From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Tue, 20 Nov 2012 22:32:04 -0800 (PST) To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
Tony, ila mimi si CHADEMA! LKK
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, November 21, 2012 9:15 AM Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
Paul, Wewe pia unatoka huko huko, hivyo unapungukiwa uwezo wa kuwaza kwa uhuru zaidi! Ni wale wale! Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network. Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell. From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Tue, 20 Nov 2012 22:08:01 -0800 To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
Nitakubaliana na dhana ya ukabila iwapo kuna watu wa makabila mengine waligombea wakaenguliwa kwa makusudi au kwa hila Vinginevyop wote mnaoshabikia ukabila ni uvivu wa kufikiri na chuki za kikanda,jambo ambalo halitatusaidia kabisa Kujadili tu majina hakutoshi,ila mleta mada aende mbele zaidi kuonesha ushahidi wa nilichokiandika katika sentensi ya kwanza
2012/11/20 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> LK, Hivi unafahamu wanaopenda kujiingiza kwenye siasa wengi wao ni vilaza shuleni? Fuatilia utakubaliana na observation hizi! Na kwa taarifa zenu, nimeambiwa kuwa hapakuwa na uchaguzi isipokuwa hao wameteuliwa tu. Uchaguzi Chadema haupo kwa makatibu, wanateuliwa kama ccm inavyofanya! Huo ni uteuzi toka senta. Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network. Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell. Date: Tue, 20 Nov 2012 20:00:12 -0800 (PST) Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
gm26 nakuunga mkono kabisa. Ule ulikuwa uchaguzi, watu wakajinadi na wakachaguliwa, hakuna Uchagga hapo, ila uwezo. Nahisi hata ukiingia darasani, utakuta kitaaluma wanaongoza hao hao, hapo sijui utasemaje? Sasa wenye nia mbaya na CHADEMA watalitumia hili kukipaka chama matope kuwa ni cha Wachagga, lakini wenye akili inabidi wauone ukweli huu. LKK
Kama Chaguzi zilifanyika, watu wakagombea kisha wakashinda sioni tatizo Ile Secretariate ya Chama fulan waliteuliwa na hata waliopigiwa kura zilikuwa ni zile za " NDIYO" - Ndio ni Yeye "HAPANA" - Hapana mwingine ila yeye Mwisho wa siku mtu anashindwa kwa asilimia 100 kisha wakitoka nje ya ukumbi malalamiko na vijembe vinaanza Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network Date: Tue, 20 Nov 2012 19:57:36 +0000 (GMT) Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
| mfumo wa CHADEMA unajulikana mi nawashangaa mnaohangaika na hawa jamaa, Chaga people imetawala hii chama, nini vyuo vikuu, nendeni mkapekenyue makao makuu sambamba na vijana walio front katika masuala yao, mtashangaa! Hebu tutafuteni ugali wa kila siku achaneni na haya mambo bhana! yapo mengi ya kujali katika jamii hii inayotuzunguka mi nadhani cha msingi hapa ni kutafuta shekeli kwa kwenda mbele, lakini tukianza kutazama fulani ana cheo gani sehemu fulani, tutaumizana roho bure. Kwa sababu ukiingia kwa kina utakumbana na mambo lukuki yanayochusha, inafika mahali mtu unajiuliza hivi kwanini huyu ana mnyooshea kidole mwenzake wakati yeye na huyo anayenyooshewa kidole ni bora huyu anayenyooshewa kuliko yeye. --- On Tue, 20/11/12, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote: From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, 20 November, 2012, 19:47
Sasa kama Wasukuma na wanyamwezi, Wajita na Wakurya na wengineo hawana interest tuseme je? Wachaga wako aggressive bhana, hongereni sana chagga boys/girls. Vin
2012/11/20 Peter Kafumu <kafumu@yahoo.com> Kama majina hayakuchakachuliwa huu ni ukabila uliokithiti na ni hatari kwa nchi... On 20 Nov 2012, at 19:42, "Tony PT" < tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote: > Juma, > > Duuuh! Matawi yote viongozi wa Chadema ni Wachagga? Kama ni hivyo, basi hongereni sana! Maana juzi tuliambiwa secretariat ya ccm ni waislam, leo haya tenaaaa! > > Mungu Ibariki Tanzania. > Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network. > Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell. > > -----Original Message----- > From: Juma Mzuri < jumamzuri@gmail.com> > Sender: wanabidii@googlegroups.com> Date: Tue, 20 Nov 2012 06:28:58 > To: Wanabidii< wanabidii@googlegroups.com> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com> Subject: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU > > (i) University of Dodoma maarufu kama UDOM ni ELISANTE MUSHI., > > (ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni JAMES KIMARO. > > (iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni JOHN KIMARIO. > > (iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni ELIBARIKI MUSHI. > > (v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni FRANCIS TAIRO. > > (vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) ni ABSOLOM TEMBA. > > (vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) ni JAMES URIO. > > (viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JURDAN UNIVERSITY ni ESTER MASAWE. > > (ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST JOHN) ni GEORGE KIMAMBO. > > http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/356625-safu-ya-uongozi-chadema-vyuo-vikuu-ni-hii-2.html> > -- > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com> > Kujiondoa Tuma Email kwenda > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > > Disclaimer: > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > > > -- > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com> > Kujiondoa Tuma Email kwenda > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > > Disclaimer: > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > > -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
| -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0718 637905
0786 806028
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment