LR
Mwanzoni uipoanza kuonekana hapa ulikuwa mchambuzi mzuri wa mambo. Niliamua kukuheshimu na bila unafiki nilikuweka hadi sasa nimekuweka katka orodha ya watu wenye mtizamo wa mbele kwa kiasi fulani katika muono wa mambo ya kitaifa na kimataifa katika msitakabali wa nchi yetu.
Lakini katiks hoja hii kama wewe huoni ukabila naomba niseme umeamua kufumba macho ili msimamo ambao umeanza kuuchukua katika mambo haya usije anza kuliwa na mchwa.
Narudia nakuheshimu sana, mimi ni msomaji sana wa hoja zako. Binafsi sina uwezo wa kujenga hoja kama nyie mnavyoweza. Mmejaliwa ns MUNGU wetu sasa hebu tumieni hali hiyo kutusaidia bila kuangalis maslahi fulani kwamba chama chenu kigachafuka. Msipotaka kuona hilo wananchi wataliona Oktoba 2015.
KEMS.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0718 637905
0786 806028
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment