Sunday, 18 November 2012

Re: [wanabidii] Taarifa ya habari ya TBC inatia kichefuchefu

Hii ni TBCCM na kimsingi tuna mgogoro nayo na kwangu nimeiscramble haiwezekani kufunguka kabisa

2012/11/18 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Juda,
 
Usituharibie Kiswahili: Kwa nini uiite "kamati tendaji" wakati lugha safi inaeleweka kwamba ni "kamati ya utendaji"?
 
Zaidi ya hapo sina ugomvi na maoni yako kuhusu hii maiti inayoitwa TBC sijui TBC1.
 
Matinyi.
 
> Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya habari ya TBC inatia kichefuchefu
> To: wanabidii@googlegroups.com
> From: jsemali2002@yahoo.co.uk
> Date: Sun, 18 Nov 2012 19:01:55 +0000

>
> Kwa wadau wote wa maendeleo,
>
> Leo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mwaka huu kuangalia TBC kwa karibu miaka mi-2 ilopita. Niliacha kuangalia TBC mara baada ya kuanza kuboronga toka aondoke "Jembe Ulaya" Tido Mhando.
>
> Leo, wameanza taarifa dk 10 baada ya saa 2 kamili, huku msomaji akiwa hajiamini na akipata kigugumizi mithili ya mtuhumiwa mahakamani. Nimeumia kwamba habari imeanza kwa ajali ya Dodoma, kilichofuatia ni taarifa za sherehe za CCM kuwapongeza viongozi wao wa kamati tendaji.
>
>
> Habari ikasimama (hawakuwa wamejiandaa kwa kushindwa kuonyesha shamrashamra za CCM), wakatoa matangazo ya biashara ndipo wakarudia téna taarifa 2 za ajali na CCM. Baada ya hapo wakaleta habari za michezo. Nikiwa nahasira na kichefuchefu, ndipo lucsyo akaleta habari hii.
>
> Kwakweli kama taifa lazima tuangalie mustakabali wetu na tujue kwamba siasa zitatumaliza. TBC wamekumbatia kuipaka mafuta serekali na CCM, matokeo yake wanaharibu.
>
> Ziko taasisi nyingi ambazo zimekufa zinazohitaji rehema za Mungu.
>
> Lengai Oldoinyo kwenye makala yake ya leo kwamba "CCM IMEBAKA NCHI YETU" amemaliza kila kitu ambacho kilistahili kuwekwa kwenye ujumbe huu.
>
>
> Mwenye macho haambiwi tazama.
>
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: lucsyo@gmail.com
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 18 Nov 2012 17:03:28
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] Taarifa ya habari ya TBC inatia kichefuchefu
>
> Wadau nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa kuangalia taarifa za habari kutoka katika television yetu ta taifa (TBC), ila siku zinavyokwenda nimepoteza mapenzi kabisa na station hii, yaani kwanza maandalizi hakuna, inavyoonekana hawa watu hawafanyi kazi kabisa hata ile ya kufanya utafiti wa habari, imekua idhaa isiokuwa na mvuto hata kidgo. TBC badilikeni pls, mnaniboa sana.
>
>
> Regards,
> Lucas
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment