Sunday, 18 November 2012

Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM

piga hesabu tu sekretariat wengi waislamu,kamati kuu wengi waislamu,unafikiri nini kinakuja

2012/11/18 mngonge <mngonge@gmail.com>
Dear colleagues

Kupitia blog hii nimeweza kuyajua mengi hasa hasa mambo yanayohusiana
na udini nchini Tanzania. Michango inayotolewa hapa jukwaani inatosha
kufahamu kwamba swala la udini linakotupeleka si pazuri.

Binafsi siamini kwamba walioteua sekretariati ya CCM walitumia kigezo
cha dini ili kuwachagua wajumbe. Kama hicho ndo kilikuwa kigezo badala
ya CV au utendaji uliotukuka basi huo ni msiba mkubwa kwa CCM pamoja
na watanzania wote.

Mimi sijali kama sekretariati imejaa waislam, wapagani au wakristu
wengi la hasha, ninachokijali ni kuwepo na uwazi katika vigezo
vilivyotumika ili ambaye hakuchaguliwa ajuwe kwamba aliyeteuliwa ana
kitu cha ziada alichomzidi. Kwa vyovyote vile kama uwezo wa kiuongozi
ndo kilikuwa kigezo basi chama kiko imara na kitakuwa salama maana
walioteuliwa wana macho na akili za kupanga mikakati na mipango
madhubuti ya kukiendeleza chama. Kama zoezi limezungukwa na hisia za
udini huo ni mpasuko mkubwa sana pengine kuliko mipasuko yote
iliyowahi kuikumba CCM na kwamba walioteuliwa badala ya kukifufua
chama ndo kwanza watakipeleka kaburini kwa mazishi.

Kwa michango ya hii nawashauri ndugu zangu waislam waangalie upya
dhana yao ya kulalamika kila kuchao kuhusu nafasi sawa kimadaraka kwa
kuzingatia dini. Jambo hilo halina mantiki yoyote tofauti na
kupandikiza chuki miongoni mwa watanzania. Tuache kuwa wazembe wa
kufikiri kwa kuliangalia kila jambo kwa mtazamo wa udini.
Wakichaguliwa watu kuongoza taasisi au kuajiriwa tuangalie uwezo wa
mtu na la kutanguliza ni utanzania wala si udini. Kwa mtindo wa
kulalamikia swala la udini sasa naona na wakristu wameambukizwa
uganjwa huo na kuufanya kama wimbo wa taifa

2012/11/18 amour chamani <abachamani@yahoo.com>:
> Ngupula,
> Endelea kutoa maneno ya hekima mpaka wenzio waelewe.Wamelala sana mpaka nchi
> karibia inaingia kwenye mfumo Islam.
> Matinyi upo!
>
>
>
>
> Walewale.
>
> ________________________________
> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Sunday, November 18, 2012 12:38 AM
>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>
>
>
>
>
> Tatizo moja la wakristo ni kuwa twaitafuta ishara na hekima wakati waislam
> wanatafuta wokovu. Wokovu wao ni kuondokana na wanachokiita mfumo kristo. Na
> agenda hizi sio siri,zinazungumzwa waziwazi kila uchao. agenda ya Jk ni
> kuhakikisha kila mgombea potential wa 2015 ni muislam na kama mkristo basi
> awe kanyaboya tu kama akina membe au alivyokuwa malecela. Maandilizi ni kuwa
> first trial ni kuleta mgombea kutoka zanzibar,ndio akina husein mwinyi na
> wenzake.second trial ni kuleta mgombea mwanamke,ndio akina asha migiro.
> And,last trial ndio akina Membe.Binafsi namfananisha Membe na Malecela.Bwana
> Malecela alikuwa tayari kupokea hela kutoka kokote hata kwa
> shetani.Na,kimsingi alishakubali hata tz kujiunga na OIC.Ni kudra za Nyerere
> ndizo zilizotuokoa.Hapa nilipo najiuliza sana,ndio huyu Membe aliyefanya
> kila linalowezekana kuhakikisha mahakama ya kadhi inakuwa ktk mfumo wa
> serikali na tanzania inajiunga na oic. Akashindwa kwa nguvu za maaskofu
> ambao nao
> wanadhoofishwa kila uchao. Atashindwa vipi kumalizia kazi aliyoianza
> atapokuwa raisi?kwa waislam agenda ni moja,walipo waislam wengi ni lazma
> ashinde muislam. Na,kwa kuwa wakristo wanatafuta ishara na hekima,basi hata
> penye wakristo wengi waislam watashinda tu.Ngupula
> ------------------------------
> On Sat, Nov 17, 2012 10:44 PM EET ELISA MUHINGO wrote:
>
>>Kuna mtu anaweza kutaja jina la Husein Mwinnyi kugombea urais hata kwa
>> kutania??? sidhani
>>
>>--- On Sat, 11/17/12, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Saturday, November 17, 2012, 11:00 AM
>>
>>
>>hili swala la waislamu wenghi kwa sekretariati siyo bahati mbaya,na itakuwa
>> hivyo kamati kuu.lengo ni kupitisha mgombea wa ccm mwislamu.si mnajua majina
>> ya wapendwa wa mkuu?. Hussein Mwinyi,asha migiro
>>
>>
>>2012/11/17 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>
>>
>>
>>
>>
>>Lakini katika mazingira ambamo Udini unaanza kuleta rabsha. Na kwa
>> kuzingatia kuwa kumekuwa na mawazo kuwa huko nyuma uteuzi umekuwa wa udini.
>> Japo si vuzuri kuutanguliza udini lakini vyombo vya uteuzi vitafanya kusara
>> kuwa macho na uteuzi na ikiwezekana kujaribu kuchanganya
>>
>>--- On Sat, 11/17/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
>>
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Saturday, November 17, 2012, 6:24 AM
>>
>>
>>
>>
>>
>>Tukiongoza taasisi kwa kuangalia dini itakuwa ni balaa, maana kuna wakati
>> fulani watu wanaohitajika wa dini husika hawapo. CCM siyo msikiti wala
>> kanisa, kwa maana hiyo dini hakikuwa kigezo cha uongozi!
>>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>>
>>From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Sat, 17 Nov 2012 05:54:23 -0800 (PST)
>>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>>
>>
>>Ndaki,
>>UDINI huo kwanini watu wawe wa dini moja tu tena Waislamu.
>>Tony tetea.
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Saturday, November 17, 2012 3:39 PM
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>>
>>
>>Hii sekretarieti mbona ya waislam watupu? au mie na makengeza!
>>
>>
>>2012/11/17 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>
>>
>>Endelea kutushangaa nasi tuendelee kukushangaa! Yeyote ambaye haoni
>> uhusiano uliopo kati ya maisha ya mtanzania wa kawaida na vitu vinavofanywa
>> na wanasiasa wetu anahitaji kuombewa. In fact kwangu mimi hilo pekee ni
>> confirmation ya upeo wa mtu huyo kuwa chini ya wastani.
>>Nachukia kusema hayo lakini ndio ukweli.
>>
>>
>>On Nov 17, 2012 3:21 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>>
>>Tony
>>
>>Mkuu nami ni kitu ninaendelea kuwashangaa Watanzania wenzangu tunafuatilia
>> maisha ya watu kama ndiyo yatatutoa hapa tulipo. Watanzania wa kwenye hii
>> mitandao wamekuwa wakisema CCM haifai na kuonesha haifai wameendelea
>> kuijadili kila iitwapo leo. CCM ikichaguana kwenye mitandao watu wanaguna
>> kana kwamba wao ni wana - CCM. Binafsi nakubaliana na suala zima la
>> uwajibikaji, lakini ni kwa vile mambo mengi mazuri huwa hayazungumzwi kama
>> yanavyozungumzwa mambo mabaya hata kidogo. Kwenye sakata la pembe za ndovu
>> kuna wahusika walitakiwa kukagua mizigo inayosafirishwa kwanini
>> hawakushughulikiwa kama inavyopaswa? nakumbuka zamani mwaka 1995 Mhe. Kinana
>> alifanyiwa fitna ambazo zilisababisha asigombee ubunge kwa kuonekana siyo
>> Mtanzania, mtu ambaye alifikia ngazi ya kuwa N/Waziri wa Ulinzi na Kanali wa
>> Jeshi akawa siyo Mtanzania ghafla. Inawezekana hata shutuma za pembe za
>> ndovu nazo zilikuja katika mtumo ule ule tu
>>
>>
>>
>>
>>2012/11/17 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>
>>
>>Bariki,
>>
>>
>>Hapa kweli kumejaa watu wa ajabu sana! Akili ni nywele kila mtu ana zake.
>> Hivi kuwa tajiri ni kitu gani? Nijuavyo mie nikiwa na shs mia moja, mwenye
>> elfu moja ataniona mie maskini! Mambo ya kujadili watu na uwezo wao wa
>> ki-vitu nadhani inaonyesha tulivyo na wivu na kushindwa kwa maisha, ni
>> maisha ya kizamani sana. Pia kwa kinana kuwa na kampuni ya clearing haina
>> maana yeye anajua kila kitu wateja wake wanachokisafirisha! Ni shallow
>> thinking tu, kudadabisha mtu kwa fikra finyu hizo. Hiyo kampuni ina
>> wafanyakazi zaidi ya mia moja, ni limited liability entity! Yeye kama
>> Kinana, hana control ya kujua shughuli zote!
>>Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>>Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>>
>>
>>From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Sat, 17 Nov 2012 14:47:00 +0300
>>To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>>
>>Usajili wa Kampuni kwani lazima uisajili kwa mabilioni ndiyo iwe kampuni
>> kubwa?
>>
>>
>>
>>
>>2012/11/17 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
>>
>>Amour
>>Anamiliki hisa 7,500 @ 1000 = 7,500,000 na mwingine Rahma hussein hisa
>> 2,500 @ 1000 = 2,500,000 jumla ni 10,000,000
>>Mbona hesabu ziko wazi Chamani
>>
>>
>>
>>
>>2012/11/17 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>
>>
>>
>>
>>Rehani,
>>Kinana anasajili kampuni ya mtaji wa 10,000/=.Hebu pitia tena makablasha
>> yako naona kama ni kiasi kidogo sana.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Cc: mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>Sent: Friday, November 16, 2012 10:26 AM
>>Subject: RE: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>>
>>
>>
>>
>>Wandugu,
>>
>>KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo
>> ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC)
>> ya CCM, Abdulrahman Kinana, imefahamika.
>>Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za
>> kampuni hiyo inayoitwa Sharaf Shipping Company iliyosajiliwa Dar es Salaam.
>>Mshirika mwenzake katika kampuni hiyo, Rahma Hussen anamiliki hisa 2,500
>> zenye thamani ya shilingi 1,000 kila moja.
>>Kwamujibu wa taarifa za usajili, wamiliki wote wawili, Kinana na Rahma
>> wanapatikana kwa S.L.P 10910, Kiwanja Na. 403 Mtaa wa Tosamaganga, Msasani
>> Peninsular, Dar es Salaam.
>>Nyaraka zilizopo katika ofisi ya Wakala wa Usajili wa Makampuni na Biashara
>> (BRELA), zinaonyesha kuwa kampuni ya Kinana ilisajiliwa Oktoba 2003 na
>> kupewa hati Na. 47221.
>>Sakata la kukamatwa kwa nyara hizo za serikali zilizosafirishwa na kampuni
>> ya Sharaf Shipping Agency liliibuliwa bungeni kwa mara ya kwanza na mbunge
>> wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.
>>Hati ya kusafirisha makontena hayo mawili yaliyokuwa yamesheheni pembe za
>> ndovu ilisainiwa na mfanyakazi mwenye asili ya India wa kampuni hiyo Samir
>> Hemani.
>>Nyaraka zote zilionyesha kuwa kilichokuwa ndani ni plastiki zilizorudufiwa,
>> wakati baada ya makontena kukamatwa, walikuta yamesheheni pembe za ndovu.
>>Taarifa zinasema kibali cha kusafirishwa kontena hilo kilisainiwa 13
>> Novemba 2008 na Meneja wa Fedha na Utawala wa Kampuni hiyo.
>>Wakati Hemani anasaini nyaraka hizo, kibali chake cha kuishi nchini tayari
>> kilikuwa kimeshaisha. Kibali cha Hemani kiliisha 7 Mei 2008.
>>Makontena yalikamtwa nchini China yakisafirishwa kwenda Hong Kong.
>>Akichangia makadirio ya bajeti ya wizara ya Maliasili na Utalii ya mwaka
>> 2009/2010, Kilango alisema utafiti wake umeonyesha kuwa makontena hayo
>> yalipitia bandari ya Dar es Salaam na nyaraka zinaonyesha ndani kulikuwa na
>> plastiki.
>>Kilango alisema nchi zinazoongoza kwa kupokea nyara kutoka Tanzania ni
>> Phillipines, China, Singapore na Hong Kong.
>>Kutokana na kutopatikana kwa Kinana juzi kuzungumzia suala hilo,
>> haikufahamika iwapo kampuni ya spika huyo wa zamani wa Afrika Mashariki au
>> yeye mwenyewe, walijua kilichokuwamo katika makontena hayo.
>>Lakini afisa mwandamizi katika wizara ya Viwanda na Biashara alisema kazi
>> ya kukagua kilichomo kwenye kontena linalosafirishwa si ya wakala wa meli
>> kwani wenye mamlaka na idhini ya kufanya hivyo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania
>> (TRA).
>>Alisema wanaowajibika kusitisha mzigo kusafirishwa pindi wanapoutilia
>> mashaka ni TRA.
>>"TRA ndio wanakagua na baada ya kujiridhisha kama kilichomo ndani ndicho
>> kilichotamkwa kwenye nyaraka na ni halali, ndipo wanaweka muhuri (seal) wa
>> mwisho," alisema afisa huyo.
>>"Ukitamka kwa mfano, kuwa katika nyaraka ndani ya
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment