Ngupula,
Endelea kutoa maneno ya hekima mpaka wenzio waelewe.Wamelala sana mpaka nchi karibia inaingia kwenye mfumo Islam.
Matinyi upo!
Walewale.
From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, November 18, 2012 12:38 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
Tatizo moja la wakristo ni kuwa twaitafuta ishara na hekima wakati waislam wanatafuta wokovu. Wokovu wao ni kuondokana na wanachokiita mfumo kristo. Na agenda hizi sio siri,zinazungumzwa waziwazi kila uchao. agenda ya Jk ni kuhakikisha kila mgombea potential wa 2015 ni muislam na kama mkristo basi awe kanyaboya tu kama akina membe au alivyokuwa malecela. Maandilizi ni kuwa first trial ni kuleta mgombea kutoka zanzibar,ndio akina husein mwinyi na wenzake.second trial ni kuleta mgombea mwanamke,ndio akina asha migiro. And,last trial ndio akina Membe.Binafsi namfananisha Membe na Malecela.Bwana Malecela alikuwa tayari kupokea hela kutoka kokote hata kwa shetani.Na,kimsingi alishakubali hata tz kujiunga na OIC.Ni kudra za Nyerere ndizo zilizotuokoa.Hapa nilipo najiuliza sana,ndio huyu Membe aliyefanya kila linalowezekana kuhakikisha mahakama ya kadhi inakuwa ktk mfumo wa serikali na tanzania inajiunga na oic. Akashindwa kwa nguvu za maaskofu ambao nao
wanadhoofishwa kila uchao. Atashindwa vipi kumalizia kazi aliyoianza atapokuwa raisi?kwa waislam agenda ni moja,walipo waislam wengi ni lazma ashinde muislam. Na,kwa kuwa wakristo wanatafuta ishara na hekima,basi hata penye wakristo wengi waislam watashinda tu.Ngupula
------------------------------
On Sat, Nov 17, 2012 10:44 PM EET ELISA MUHINGO wrote:
>Kuna mtu anaweza kutaja jina la Husein Mwinnyi kugombea urais hata kwa kutania??? sidhani
>
>--- On Sat, 11/17/12, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:
>
>
>From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Saturday, November 17, 2012, 11:00 AM
>
>
>hili swala la waislamu wenghi kwa sekretariati siyo bahati mbaya,na itakuwa hivyo kamati kuu.lengo ni kupitisha mgombea wa ccm mwislamu.si mnajua majina ya wapendwa wa mkuu?. Hussein Mwinyi,asha migiro
>
>
>2012/11/17 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>
>
>
>
>
>Lakini katika mazingira ambamo Udini unaanza kuleta rabsha. Na kwa kuzingatia kuwa kumekuwa na mawazo kuwa huko nyuma uteuzi umekuwa wa udini. Japo si vuzuri kuutanguliza udini lakini vyombo vya uteuzi vitafanya kusara kuwa macho na uteuzi na ikiwezekana kujaribu kuchanganya
>
>--- On Sat, 11/17/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:
>
>
>From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
>
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Saturday, November 17, 2012, 6:24 AM
>
>
>
>
>
>Tukiongoza taasisi kwa kuangalia dini itakuwa ni balaa, maana kuna wakati fulani watu wanaohitajika wa dini husika hawapo. CCM siyo msikiti wala kanisa, kwa maana hiyo dini hakikuwa kigezo cha uongozi!
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>
>From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Sat, 17 Nov 2012 05:54:23 -0800 (PST)
>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>
>
>Ndaki,
>UDINI huo kwanini watu wawe wa dini moja tu tena Waislamu.
>Tony tetea.
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Saturday, November 17, 2012 3:39 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>
>
>Hii sekretarieti mbona ya waislam watupu? au mie na makengeza!
>
>
>2012/11/17 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>
>
>Endelea kutushangaa nasi tuendelee kukushangaa! Yeyote ambaye haoni uhusiano uliopo kati ya maisha ya mtanzania wa kawaida na vitu vinavofanywa na wanasiasa wetu anahitaji kuombewa. In fact kwangu mimi hilo pekee ni confirmation ya upeo wa mtu huyo kuwa chini ya wastani.
>Nachukia kusema hayo lakini ndio ukweli.
>
>
>On Nov 17, 2012 3:21 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>
>Tony
>
>Mkuu nami ni kitu ninaendelea kuwashangaa Watanzania wenzangu tunafuatilia maisha ya watu kama ndiyo yatatutoa hapa tulipo. Watanzania wa kwenye hii mitandao wamekuwa wakisema CCM haifai na kuonesha haifai wameendelea kuijadili kila iitwapo leo. CCM ikichaguana kwenye mitandao watu wanaguna kana kwamba wao ni wana - CCM. Binafsi nakubaliana na suala zima la uwajibikaji, lakini ni kwa vile mambo mengi mazuri huwa hayazungumzwi kama yanavyozungumzwa mambo mabaya hata kidogo. Kwenye sakata la pembe za ndovu kuna wahusika walitakiwa kukagua mizigo inayosafirishwa kwanini hawakushughulikiwa kama inavyopaswa? nakumbuka zamani mwaka 1995 Mhe. Kinana alifanyiwa fitna ambazo zilisababisha asigombee ubunge kwa kuonekana siyo Mtanzania, mtu ambaye alifikia ngazi ya kuwa N/Waziri wa Ulinzi na Kanali wa Jeshi akawa siyo Mtanzania ghafla. Inawezekana hata shutuma za pembe za ndovu nazo zilikuja katika mtumo ule ule tu
>
>
>
>
>2012/11/17 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>
>
>Bariki,
>
>
>Hapa kweli kumejaa watu wa ajabu sana! Akili ni nywele kila mtu ana zake. Hivi kuwa tajiri ni kitu gani? Nijuavyo mie nikiwa na shs mia moja, mwenye elfu moja ataniona mie maskini! Mambo ya kujadili watu na uwezo wao wa ki-vitu nadhani inaonyesha tulivyo na wivu na kushindwa kwa maisha, ni maisha ya kizamani sana. Pia kwa kinana kuwa na kampuni ya clearing haina maana yeye anajua kila kitu wateja wake wanachokisafirisha! Ni shallow thinking tu, kudadabisha mtu kwa fikra finyu hizo. Hiyo kampuni ina wafanyakazi zaidi ya mia moja, ni limited liability entity! Yeye kama Kinana, hana control ya kujua shughuli zote!
>Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>
>
>From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Sat, 17 Nov 2012 14:47:00 +0300
>To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>
>Usajili wa Kampuni kwani lazima uisajili kwa mabilioni ndiyo iwe kampuni kubwa?
>
>
>
>
>2012/11/17 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
>
>Amour
>Anamiliki hisa 7,500 @ 1000 = 7,500,000 na mwingine Rahma hussein hisa 2,500 @ 1000 = 2,500,000 jumla ni 10,000,000
>Mbona hesabu ziko wazi Chamani
>
>
>
>
>2012/11/17 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>
>
>
>
>Rehani,
>Kinana anasajili kampuni ya mtaji wa 10,000/=.Hebu pitia tena makablasha yako naona kama ni kiasi kidogo sana.
>
>
>
>
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>
>
>From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Cc: mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>Sent: Friday, November 16, 2012 10:26 AM
>Subject: RE: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
>
>
>
>
>Wandugu,
>
>KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM, Abdulrahman Kinana, imefahamika.
>Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa Sharaf Shipping Company iliyosajiliwa Dar es Salaam.
>Mshirika mwenzake katika kampuni hiyo, Rahma Hussen anamiliki hisa 2,500 zenye thamani ya shilingi 1,000 kila moja.
>Kwamujibu wa taarifa za usajili, wamiliki wote wawili, Kinana na Rahma wanapatikana kwa S.L.P 10910, Kiwanja Na. 403 Mtaa wa Tosamaganga, Msasani Peninsular, Dar es Salaam.
>Nyaraka zilizopo katika ofisi ya Wakala wa Usajili wa Makampuni na Biashara (BRELA), zinaonyesha kuwa kampuni ya Kinana ilisajiliwa Oktoba 2003 na kupewa hati Na. 47221.
>Sakata la kukamatwa kwa nyara hizo za serikali zilizosafirishwa na kampuni ya Sharaf Shipping Agency liliibuliwa bungeni kwa mara ya kwanza na mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.
>Hati ya kusafirisha makontena hayo mawili yaliyokuwa yamesheheni pembe za ndovu ilisainiwa na mfanyakazi mwenye asili ya India wa kampuni hiyo Samir Hemani.
>Nyaraka zote zilionyesha kuwa kilichokuwa ndani ni plastiki zilizorudufiwa, wakati baada ya makontena kukamatwa, walikuta yamesheheni pembe za ndovu.
>Taarifa zinasema kibali cha kusafirishwa kontena hilo kilisainiwa 13 Novemba 2008 na Meneja wa Fedha na Utawala wa Kampuni hiyo.
>Wakati Hemani anasaini nyaraka hizo, kibali chake cha kuishi nchini tayari kilikuwa kimeshaisha. Kibali cha Hemani kiliisha 7 Mei 2008.
>Makontena yalikamtwa nchini China yakisafirishwa kwenda Hong Kong.
>Akichangia makadirio ya bajeti ya wizara ya Maliasili na Utalii ya mwaka 2009/2010, Kilango alisema utafiti wake umeonyesha kuwa makontena hayo yalipitia bandari ya Dar es Salaam na nyaraka zinaonyesha ndani kulikuwa na plastiki.
>Kilango alisema nchi zinazoongoza kwa kupokea nyara kutoka Tanzania ni Phillipines, China, Singapore na Hong Kong.
>Kutokana na kutopatikana kwa Kinana juzi kuzungumzia suala hilo, haikufahamika iwapo kampuni ya spika huyo wa zamani wa Afrika Mashariki au yeye mwenyewe, walijua kilichokuwamo katika makontena hayo.
>Lakini afisa mwandamizi katika wizara ya Viwanda na Biashara alisema kazi ya kukagua kilichomo kwenye kontena linalosafirishwa si ya wakala wa meli kwani wenye mamlaka na idhini ya kufanya hivyo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
>Alisema wanaowajibika kusitisha mzigo kusafirishwa pindi wanapoutilia mashaka ni TRA.
>"TRA ndio wanakagua na baada ya kujiridhisha kama kilichomo ndani ndicho kilichotamkwa kwenye nyaraka na ni halali, ndipo wanaweka muhuri (seal) wa mwisho," alisema afisa huyo.
>"Ukitamka kwa mfano, kuwa katika nyaraka ndani ya
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment