Lakini katika mazingira ambamo Udini unaanza kuleta rabsha. Na kwa kuzingatia kuwa kumekuwa na mawazo kuwa huko nyuma uteuzi umekuwa wa udini. Japo si vuzuri kuutanguliza udini lakini vyombo vya uteuzi vitafanya kusara kuwa macho na uteuzi na ikiwezekana kujaribu kuchanganya
--- On Sat, 11/17/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote: From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM To: wanabidii@googlegroups.com Date: Saturday, November 17, 2012, 6:24 AM
Tukiongoza taasisi kwa kuangalia dini itakuwa ni balaa, maana kuna wakati fulani watu wanaohitajika wa dini husika hawapo. CCM siyo msikiti wala kanisa, kwa maana hiyo dini hakikuwa kigezo cha uongozi! Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania From: amour chamani <abachamani@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sat, 17 Nov 2012 05:54:23 -0800 (PST) To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
Ndaki, UDINI huo kwanini watu wawe wa dini moja tu tena Waislamu. Tony tetea. Walewale.
From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Saturday, November 17, 2012 3:39 PM Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
Hii sekretarieti mbona ya waislam watupu? au mie na makengeza! 2012/11/17 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> Endelea kutushangaa nasi tuendelee kukushangaa! Yeyote ambaye haoni uhusiano uliopo kati ya maisha ya mtanzania wa kawaida na vitu vinavofanywa na wanasiasa wetu anahitaji kuombewa. In fact kwangu mimi hilo pekee ni confirmation ya upeo wa mtu huyo kuwa chini ya wastani. Nachukia kusema hayo lakini ndio ukweli. On Nov 17, 2012 3:21 PM, "Bariki Mwasaga" < bmwasaga@gmail.com> wrote: Tony
Mkuu nami ni kitu ninaendelea kuwashangaa Watanzania wenzangu tunafuatilia maisha ya watu kama ndiyo yatatutoa hapa tulipo. Watanzania wa kwenye hii mitandao wamekuwa wakisema CCM haifai na kuonesha haifai wameendelea kuijadili kila iitwapo leo. CCM ikichaguana kwenye mitandao watu wanaguna kana kwamba wao ni wana - CCM. Binafsi nakubaliana na suala zima la uwajibikaji, lakini ni kwa vile mambo mengi mazuri huwa hayazungumzwi kama yanavyozungumzwa mambo mabaya hata kidogo. Kwenye sakata la pembe za ndovu kuna wahusika walitakiwa kukagua mizigo inayosafirishwa kwanini hawakushughulikiwa kama inavyopaswa? nakumbuka zamani mwaka 1995 Mhe. Kinana alifanyiwa fitna ambazo zilisababisha asigombee ubunge kwa kuonekana siyo Mtanzania, mtu ambaye alifikia ngazi ya kuwa N/Waziri wa Ulinzi na Kanali wa Jeshi akawa siyo Mtanzania ghafla. Inawezekana hata shutuma za pembe za ndovu nazo zilikuja katika mtumo ule ule tu -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment