Wakuu mnaochangia hii mada,nimewasoma sana, lakini naona sasa mnakoenda siko, hebu jadili mada acheni kujadili maisha ya watu, mtu kumiliki mali ama kampuni ni kitu gani katika ulimwengu wa leo? hebu rudini katika mada bwana.
--- On Sat, 11/17/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote: From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM To: wanabidii@googlegroups.com Date: Saturday, November 17, 2012, 4:29 AM
Endelea kutushangaa nasi tuendelee kukushangaa! Yeyote ambaye haoni uhusiano uliopo kati ya maisha ya mtanzania wa kawaida na vitu vinavofanywa na wanasiasa wetu anahitaji kuombewa. In fact kwangu mimi hilo pekee ni confirmation ya upeo wa mtu huyo kuwa chini ya wastani. Nachukia kusema hayo lakini ndio ukweli. On Nov 17, 2012 3:21 PM, "Bariki Mwasaga" < bmwasaga@gmail.com> wrote: Tony
Mkuu nami ni kitu ninaendelea kuwashangaa Watanzania wenzangu tunafuatilia maisha ya watu kama ndiyo yatatutoa hapa tulipo. Watanzania wa kwenye hii mitandao wamekuwa wakisema CCM haifai na kuonesha haifai wameendelea kuijadili kila iitwapo leo. CCM ikichaguana kwenye mitandao watu wanaguna kana kwamba wao ni wana - CCM. Binafsi nakubaliana na suala zima la uwajibikaji, lakini ni kwa vile mambo mengi mazuri huwa hayazungumzwi kama yanavyozungumzwa mambo mabaya hata kidogo. Kwenye sakata la pembe za ndovu kuna wahusika walitakiwa kukagua mizigo inayosafirishwa kwanini hawakushughulikiwa kama inavyopaswa? nakumbuka zamani mwaka 1995 Mhe. Kinana alifanyiwa fitna ambazo zilisababisha asigombee ubunge kwa kuonekana siyo Mtanzania, mtu ambaye alifikia ngazi ya kuwa N/Waziri wa Ulinzi na Kanali wa Jeshi akawa siyo Mtanzania ghafla. Inawezekana hata shutuma za pembe za ndovu nazo zilikuja katika mtumo ule ule tu -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment