Tuesday, 20 November 2012

Re: [wanabidii] Re: Mwaliko - Maendeleo

I will attend. proceed with other arrangements
 
With regards
 
Jombo A. Odeny

From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, November 19, 2012 1:21 PM
Subject: [wanabidii] Re: Mwaliko - Maendeleo
Wana Jamvi wote,Napenda kuwakaribisha katika mdahalo utakaozungumzia amani. Mdahalo huu umeandalaiwa na TADIP kwa kushirikiana na KAS, utafanyika siku ya tarehe 22 mwezi November, Serena Hotel, kuanzia saa tatu asubuhi. Kwa maelezo zaidi tafadhali soma kadi ya mwaliko na ratiba ambayo imeambatanishwa katika email hii.Karibuni wote,Selemani Rehani

-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment