Kuna kipindi shule za binafsi kupitia umoja wao tamangosco waliomba serikali iwapatie ruzuku angalau shs elfu 10 kwa mtoto kwa mwaka ili waweze kushusha ada na kuipunguzia serikali mzigo kwa kiasi fulani lakini hili wazo lilipotezewa kiaina. sasa kusomesha watoto bure hata ambao hawahitaji huo ni ulimbukeni tu. Hawa jamaa wangeweza kukaa na sekta binafsi na kuangalia ni kwa namna gani wanaweza shirikiana kuwapatia watoto elimu iliyobora badala ya kuwa washindani wa sekta binafsi katika elimu.
Hakuna maana mtoto anasoma bure halafu anafeli then anaanza kusoma QT tena katika mazingira magumu na ghali, kwanini wasikae na sekta binafsi wakaona ni jinsi gani watashirikisha sekta binafsi katika kuboresha elimu na kuwezesha watanzania kumudu. Hebu tizama madarasa ya ngumbalu yanavyozagaa mjini. Wapo mabinti wananyoyesha kwanza ndo wanaenda QT class wakitoka darasani waende gengeni kuuza samaki na nyanya wapate pesa za kujikimu. Huyo mtoto sijui utamweleza nini kuhusu elimu ya bure ambayo imemzidishia ugumu wa maisha tu.
Miaka ya sabini mwanzoni mkoa wa mwanza ulikuwa na shule tatu tu za sekondari na wanafunzi hawakuzidi 160 mkoa mzima, mtoto akifaulu inabidi umtoroshe usiku asijerogwa kwa wivu hivyo shule zilikuwa na mahitaji muhimu yote kwani zilikuwa chache. sasa hivi mkoa unashule zaidi ya arobaini za sekondari za serikali na wanafunzi zaidi ya elfu ishirini, hapa bila kushirikisha wananchi (shule binafsi) kubeba mzigo huu elimu bora itakuwa kitendawili.
Yapo matatizo ya Walimu, zimekuwepo asasi za fedha kuwapatia walimu mikopo mikubwa zaidi ya uwezo wao na kuwakata makato makubwa ikiwemo kuchukua mshahara wote wa mwalimu tena bila huruma na wanapolalamika wanahamishwa au kusimamishwa kazi, sasa siajabu kumkuta mwalimu kwenye kijiwe cha bodaboda akisubiri abiria wakati wa kazi. Kule Muleba tunakumbuka kisa cha DC mnali kukuta makoti ya kuendeshea bodaboda yametundikwa darasani mwl akipigiwa simu na mteja anaacha vipindi anasepa.
Walimu wa kike nao kutwa nzima wanatafuta tenda za kupika kwenye harusi na kupamba, wanakaa kwenye vikao vya harusi hadi saa tisa na kudandia lift kurudi majumbani tena wamekuwa wahanga wa vibaka na majambazi. sasa hata kama tukitoa elimu bure bila kuangalia mazingira ya mwalimu nayo ni kazi bure tu.
Kimsingi sekta ya elimu ni pana na inahitaji kutizamwa kwa mapana pia, sio suala la kisiasa na porojo za majukwaani hivyo linahitaji kuangaliwa kwa umakini. Tunahitaji mtu aje angalau na thesis kama sio research kamili. Nakumbuka mzee makweta alikuja na hoja watakaofeli fom fo washitakiwe kwa uzembe na kulisababishia hasara taifa watoto wengi walitoroka shule kwa kuhofia kwenda jela.
2012/11/20 weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Tony wewe ni kichwa kwa hoja zenye mashiko. Ila katika hoja hii ndugu yangu , umechemka. Huwezi kulinganisha shule za sasa na tulizosoma enzi zetu. Au nikukumbushe kidogo mambo yalivyokuwa? Kweli wataka nikukumbushe ili uone tafauti zake? Nadhani umekumbuka. Wakumbushe basi na wenzako juu ya shule za bure ulizosoma na ubora uliokuwapo katika shule hizo. Kisha linganisha na shule za leo, ziwe za bweni za serikali au za kata.
--- On Tue, 11/20/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: CCM WAMEANZA KUIGA SERA ZA CHADEMA.
Date: Tuesday, November 20, 2012, 2:23 AM
Mngonge!
Ni kweli unalolisema, lakini pia wewe umepata elimu kwa shule hizohizo, na wengi wenu hapa ingawa mnaikandia leo baada ya kujipima, kujitafakari na kuridhika na hali!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 20 Nov 2012 12:41:23
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: CCM WAMEANZA KUIGA SERA ZA CHADEMA.
kama elimu ya bure ndo hiyo inayotolewa kwenye shule zetu, yenye ubora
tunaoujua bila mabadiliko basi kweli vya bure ni ghali. Tutafakari na
kuchukua hatua
2012/11/20 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>:
> Ezekiel,
>
> Acha wadanganyane! Kuna methali inayosema: usimwamshe aliyelala, akiamka utalala wewe! Ccm sasa wameamka, watu wasianze kulialia hapa; mara "eti wanaiga sera za sijui chama gani" mara "hao wanakurupuka...etc..!
>
> Kwani kuna hati milki ya mawazo ya sera za kisiasa? Kama ipo, waombe protection basi tujue! Nijuavyo mie, ni you copy and adapt to suit your tactical and strategic needs. The sleeping giant is now awakening, beware of moves that will suffocate small fishes in the pond of politics!
> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>
> -----Original Message-----
> From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 20 Nov 2012 07:43:59
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] RE: CCM WAMEANZA KUIGA SERA ZA CHADEMA.
>
>
>
>
> Auae kwa upanga hakika yake naye atakufa kwa upanga. Ndugu yangu ukijiandaa kuzomea jiandae nawe kuzomewa.
> Tena wewe utaumia sana kwa kuwa unaomba hapa hutakipata kamwe. Ni watu waliochoka kufikiri kama wewe wana mtizamo finyu kama huu kwamba CCM haipendwi.
> Subiri kimbunga 2015 utabakia na LABDA.
> SIKUTISHII ILA SUBIRI UONE KITAKACHOTOKEA 2015. Mnajipa matumaini ya bure huku mkitukana bila kufikiri matokeo ya matusi yenu yanawaathiri vipi wananchi.
>
> KEMS.
>
> ------------------------------
> On Tue, Nov 20, 2012 06:44 GMT GILL DAVID wrote:
>
>>
>>
>>Katika mkutano wa
>>kampeni za CCM uliofanyika Novemba 10, 2010 katika Kata ya Mchangimbore katika
>>Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, nawakumbusha Watanzania wote na tegeni macho
>>na masikio yenu, Rais Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa CCM Taifa alisema nanukuu
>>"Serikali haiwezi kutoa huduma za jamii
>>bure" na kwamba lazima wananchi wachangie. Narudia tena "Serikali haiwezi kutoa huduma za jamii
>>bure" na kwamba lazima wananchi wachangie. Kaeni sawa maana narudia tena "Serikali haiwezi kutoa huduma za jamii
>>bure" na kwamba lazima wananchi wachangie.
>>
>>Naendelea kunukuu
>>usemi wa Mwenyekiti wa CCM Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete "Nimebahatika kukaa
>>serikalini muda mrefu hiyo sera ya bure tulijaribu na ikatushinda na wakati huo
>>Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, tulikaa naye tukaona hilo haliwezekani tukaamua tubadilishe sasa
>>nawashangaa wenzetu wanawadanganya eti watatoa Elimu bure." Mbona nyie wote
>>mlisomeshwa bure mnachopinga ni kitu gani jamani nyie vihiyo wa CCM.
>>
>>Kwa
>>upande wake Dk Slaa akiwa mjini Arusha katika moja ya mikutano yake alisema
>>kwamba CCM walikuwa wakipinga sera ya elimu bure hadi sekondari kutokana na
>>kulea Wezi, Wabadhirifu na kuthamini anasa kuliko maendeleo kwa wananchi. Leo
>>hii wameona maji yamezidi unga, Watanzania wamejua na kushuhudia wanaibiwa Kodi
>>zao, Madini yao, Wanyama wao, Misitu yao, Samaki wao, Ardhi yao, Ndugu Nape
>>Mnauye anataka kudanganya umma wa Watanzania tena wasomi kuliko yeye kuwa eti
>>"ELIMU BURE" ni sera ya chama chake cha CCM. Hivi huwaga nyie CCM mnapotoa matamshi
>>yenu huwa hamrudii kuzisoma hotuba zenu mliziwahi kutoa kwa Watanzania.
>>
>>
>>
>>CCM
>>mkitaka msimame kwenye majukwaa hapa Tanzania na watu wawaamini sasa hivi kama
>>wanavyoweaamini CHADEMA inabidi mrudishe kwanza mali za umma mlizikwiba, fedha
>>za umma mlizoficha ulaya, mfute mikataba ya hovyo kabisa ya madini mliyowekeana
>>na wawekezaji, muwatoe Wazungu wote mliowamilikisha ardhi ya Watanzania,
>>Muwafukuze wawekezaji wote mliowapa vitalu vya kuua na kuuza wanyam wetu, na
>>mrudishe elimu ya Watanzania iwe sawa kwa wote. Kwa kifupi mkubali kuwa
>>masikini kama walivyo Watanzania.
>>
>>
>>
>>Kusema
>>kweli nyie CCM sasa hivi kushindana na CHADEMA ni ndoto za Alinacha au
>>Abunuasi. Watanzania hawana imani na nyie tena. Kama
>>kwenye uchaguzi wenu tu wa chama mnatumia mabilioni kuhonga nani anawaamini
>>tena kuwakabidhi nchi. Kama mnawavunjia watu
>>nyumba zao na kuwaacha wanalala nje nani tena ana imani na nyie. Kama mnawauzia hata wagonjwa wa ukimwi dawa bandia nani
>>ana imani na nyie tena. Kama fedha za misaada
>>ndizo mnaingiza kwenye uchaguzi na kuzitumia kwa rushwa nani tena anawaamini.
>>Anayeiamini CCM sasa hivi ana kasoro za akili. Aende akapime Mirembe.
>>
>>
>>
>>Mwisho
>>na kila Mtanzania anielewe. CCM wakitaka Watanzania wawaamini warudishe mali zote za
>>umma wanazomiliki na wahakikishe wanajitoa kwenye biashara wanazofanya na
>>wawekezaji. Viongozi wa CCM ndio wauza mafuta, Viongozi wa CCM ndio wenye
>>Mabenki, Viongozi wa CCM ndio wenye mahoteli makubwa makubwa, Viongozi wa CCM
>>ndio wenye mashamba makubwa makubwa, Viongozi wa CCM ndio wenye mashamba ya
>>mifugo, Viongozi wa CCM ndio wenye makampuni ya kuagiza magari, Viongozi wa CCM
>>ndio wenye viwanda vikubwa vikubwa. Viongozi wa CCM ndio waliowadanganya
>>Watanzania kuwa Serekali haiwezi kufanya biashara ili wafanye wao. Wakadiriki
>>kuviua viwanda vyote nchini kikiwepo cha Matairi kule Arusha. Mimi nilishangaa.
>>Magari yalivyo mengi Tanzania
>>unadiriki kukiua kiwanda uagize tairi Kenya.
>>
>>
>>
>>Eee
>>Uwiiiiiii, narudia tena Watanzania Eeeeee Uwiiiiiiii Rushwa, Rushwa, Rushwa
>>haitatoka Tanzania
>>bila kukitoa chama tawala cha CCM madarakani. Misaada inakuja toka nje
>>haiwafikii Watanzania kisa eti wanakiimarisha chama kishinde uchaguzi mwaka
>>2015. CCM wako madarakani kuhakikisha wanashinda kwenye chaguzi mbalimbali
>>lakini sio kuhudumia Watanzania. Mimi nawaambia CCM sasa hivi Tanzania hakuna
>>mjinga. Tena mahali mliharibu kuwekana nyie na wake zenu, na watoto wenu
>>madarakani. CHADEMA tunawapa kura za "NDIO" mwaka 2015 nchi nzima na zungukeni
>>kuwaamsha Watanzania wanaosubiri kupata maisha bora wakiwa ndani ya CCM. Msibishane
>>majukwaani wala bungeni na hawa wajinga tangazeni sera zenu muwakomboe
>>Watanzania kama alivyofanya Kamanda Robert Mugabe wa Zimbabwe. Ukitegemea kupata maisha
>>bora ukiwa chini ya utawala wa CCM utasubiri sana. Tunawasubiri majukwaani tuwazomeeee!!
>>
>>Mkereketwa
>>
>>Galliard
>>David
>>
>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment