Sunday, 18 November 2012

Re: [wanabidii] Mchanganuo wa gharama za uzinduzi wa Jiji la Arusha (!!??) - Mwanzo

Ndaki,

Nadhani swali lako linaweza kupata jiibu kutoka kwa waliolipwa fedhha hii. Mara nyingi vikundi hivi vyenye majina makubwa na gharama zake huwa kubbwa pia. Kwangu mimi ningekuwa na hoja kama waliolipwa fedha hhizi watakuja na hoja kwamba hawakupokea fedha hii au Mhe Nanyaro (Mhe. Diwani) aliyeshirriki maandalizi haya ya sherehe mwanzo hadi mwisho akikanusha basi hoja yako itakuwa na maana. Vingginevyo naiona kama angalizo kwa wengine wanaaoandaa sherehe kuwa makkini katika matumizi
ya fedha katika vikundi vya hamasa....


KEMS

------------------------------
On Sun, Nov 18, 2012 05:57 GMT Hosea Ndaki wrote:

>Masanja mkandamizaji diamond na fulana zilitumia mil 48! zaidi ya 50% ya
>badget nzima ya sherehe! kwani JKT aljoro na wamasai hawakutosha
>kutumbuiza? ni kigezo gani kilitumika kumlipa diamond mil 10 na jkt aljoro
>1.5 tu!
>
>2012/11/8 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>
>> 1.Kikundi cha Orijino comedy Tshs 12mil
>> 2.Msanii Diamond Tshs 10mil
>> 3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
>> 4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500
>> 5.Ununuzi wa zulia Jekundu Tshs 2,475,500
>> 6.Mapambo mnara wa Mwenge Tshs 2,500,000
>> 7.Ununuzi wa njiwa Tshs 1,620,000
>> 8.Kikundi cha ngoma ya kimasai 1,050,000
>> 9.Kikundi cha JKT oljoro Tsh 1,500,000
>> 10.Mapambo kitambaa Tshs 385,000
>> 11.Vibao vya uzinduzi(mawe)Tshs 1,980,000
>> 12.Jiwe la uzinduzi barabara za TSCP 1,840,000
>> 13.Kukodisha horn speakers 1,000,000
>> 14.Kutengeneza matangazo makubwa manne Tshs 6,400,000
>> 15.Mabango makubwa 4 ya mipakani Tshs 7,079,000
>> 16.Ufunguo wa jiji 950,000
>> Matumizi mengine….
>> http://wotepamoja.com/archives/10213#.UJusr5fZL3E.gmail
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment