Friday, 16 November 2012

Re: [wanabidii] Marehemu Mzee Karume ana haki ya kuitwa BABA wa TAIFA la Tanzania – Mansoor Yussuf Himid - Mwanzo

Hatuwezi kuwa na Baba wa Taifa wawili. Kwa kuwa Zanzibar iliolewa, Abeid Amani Karume inabidi aitwe Mama wa Taifa. Kwa kuwa baba kuitwa mama haipendezi, ni bora tukampotezea - tuendelee kumsoma kwenye vitabu tu.

Mt. B;
Bukoba Municipal,

Tanzania - East Africa.

--- On Fri, 11/16/12, Victor Mwita <victormwita@gmail.com> wrote:

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Marehemu Mzee Karume ana haki ya kuitwa BABA wa TAIFA la Tanzania – Mansoor Yussuf Himid - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, November 16, 2012, 4:29 AM

Ni sawa akitajwa naye kama Baba wa Taifa. Issue ni namna ya kuanza huo mjadala ili apate heshima yake. Maana huwezi kuitaja Tanzania bila kumtaja Abeid Amani Karume kama tunavyomtaja Julius Kambarage Nyerere. I can see the logic ya Himid japo katika mambo mengine hasa kuhusu Muungano wa Mkataba sikubaliani naye maana hata yeye haelewei huo muungano wa mkataba ni kitu gani na unafanyaje kazi na ni wapi kuna kitu kama hicho

2012/11/16 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Hapa hapazungumwi U-Zanzibari ama Upemba na Uunguja bali Tanzania. Mbona suala liko wazi waliochanganya udongo pale alikuwa JKN na AAK sasa akipewa hiyo hadhi ni stahili kabisa ndiyo maana BOT wamewaweka hawa wawili kwenye sarafu na noti zetu. Unaposema charity begins at home kwani asili ya Karume wapi? yaliyo ya wazi wacha yaendelee kuwa wazi.

Kama ingekuwa hoja ni suala la Mapinduzi ya Zanzibar basi tungeyaongelea kwa muktadha huo

2012/11/16 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Mansoor Yussuf Himid

Tukitaka kumpa Karume hadhi ya kuwa baba wa taifa tuanze hapa, 1,
kukubali Zanzibar si nchi/taifa linalojitegemea (kama mnavyotaka
kujidai) bali ni taifa dogo lililoungana na Tanganyika kutengeneza
taifa moja la Tanzania. 2, Mwasisi wa mapinduzi ni nani na yalifanywa
na nani? hapa tuiweke historia vizur kama alikuwa Okello na lilikuwa
wazo lake ama lilikuwa wazo la KARUME?

Naunga mkono wazo lako, ni zuri na lenye nia njema ya kuirekebisha
historia ya Tanzania vizur tu, Ila nashauri baadhi ya hatua
zichukuliwe na kupimwa.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Victor Caleb Mwita
Ministry of Livestock and Fisheries Development
P.O. Box 9152
Dar Es Salaam
Tel: 0766750673, 0789142275

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment