Monday, 19 November 2012

Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula

Mbanyi,


Hayo maneno unayoyasema ni ubashiri usio sahihi! Wakati anakubali kuwa Makamu, alitoa masharti ya kukubali kwake na Kiti kilikubali kutekeleza hiyo reform! KM+ Makamu+Nape+Mwigulu ndilo jukumu walilopewa.

Utabiri wa haraka unaoufanya inawezekana ukaufuta hivi karibuni. Usije weyee ukavunjika moyo na kurudi au kuingia kwenye kijani pia!

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 19 Nov 2012 02:58:47 -0800 (PST)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula


Nimemwona Mhe. Mangula akiahidi kuwa CCM itakuwa safi baada ya muda mfupi! Kwamba wala rushwa, wapokea rushwa na wapambe wao wote watatimuliwa nje ya CCM!!
Pamoja na utumishi wake uliotukuka, nampa tahadhari kwani mbwembwe kama hizo tulishawahi kuzisikia kwa Mhe. Nape wakati wa falsafa iliyofeli ya kuvua gamba!!
Halafu, lazima Mangula akumbuke kuwa yeye si mwana mtandao, na akijua hilo, awe tayari aidha kukaa kimya au atekeleze aliyoahidi kwa gharama za kurudi kulima nyanya any time!!
Akiwagusa wazee wa mtandao hatasalimika, hilo alijue bila kificho! CCM anayoitangaza Mangula, haipo tena "ilikufa" na Nyerere! Hii ya sasa inatumia nembo na bendera ya "ile
ya zamani" lakini haipo akilini mwa watu wanaomzunguka!!! Ni mtazamo tu!!

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment