Ndugu Juma Mzuri
Kwa kiasi fulani nakubaliana na hoja yako lakini kwa mtu anayezijua
siasa za Tanzania na ambaye ni neutral ( si mlengo wa kushoto wala
kulia) atakwambia ni mapema muno kubashiri hali itakavyokuwa katika
uchaguzi wa 2015.
Upepo wa kisiasa hapa kwetu waweza kuvuma kuelekea popote hauna
uelekeo maalumu ni kama ulivyosema kwamba siku si nyingi watu wakiona
gari ina mabango ya M4C wanashangilia kwa kunyoosha vodole juu lakini
leo kimya. Ina maana ata huyo unayeona ana nguvu leo kesho mambo
yanaweza kuwa hivyo hivyo wakamkimbia na kurudi kwa mwingine.
Tanzania siyo Amerika, uelewe watu wana njaa na wala hatuwezi kujua
nani atawapa chakula au matumaini ya chakula hapa mbeleni. Huwezi
kubenki kwa watu kama hao na kuwategemea kwamba 2015 watakuwa upande
wako sahau ilo mzee
2012/11/20 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
> Chukua Hii
>
> Gari imepita njiani ina mabango ya M4C watu wanashangilia wananyoosha
> vidole juu .
>
> Baada ya muda gari ina mabango ya CHADEMA watu wamekaa kimya kama vile
> hakuna kitu .
>
> Hii ina maana gani kwetu ?
>
> Maana yake ifikapo mwaka 2015 tunapoingia kwenye uchaguzi mkuu watu
> wataangalia M4C ilipo ili waipigie kura sio CHADEMA .
>
> CHADEMA hawajajifunza kwa CUF na kauli yao ya jino kwa jino ambayo
> ifikapo uchaguzi watu wanasahau yote .
>
> Maisha yangu yote pamoja na mapungufu ya CCM sijawahi kuona wakija na
> kauli mbiu zinazozidi nguvu chama chenyewe kama CUF ilivyozidiwa
> nguvu na Ngangara ,CHADEMA inavyozidiwa Nguvu na M4C
>
> Tukae mkao wa kula mwaka 2015 Watu wataangalia M4C
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment