weak analysis/interpretation
Cell: +255 784 769 481 Skype: Zephaniah N.N. Mugittu No matter how high one is talented , business acumen still a necessity "Poverty is a result of attitude ..."
--- On Tue, 20/11/12, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote: From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> Subject: [wanabidii] M4C KUIKABILI CHADEMA 2015 To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Tuesday, 20 November, 2012, 13:41
Chukua Hii Gari imepita njiani ina mabango ya M4C watu wanashangilia wananyoosha vidole juu . Baada ya muda gari ina mabango ya CHADEMA watu wamekaa kimya kama vile hakuna kitu . Hii ina maana gani kwetu ? Maana yake ifikapo mwaka 2015 tunapoingia kwenye uchaguzi mkuu watu wataangalia M4C ilipo ili waipigie kura sio CHADEMA . CHADEMA hawajajifunza kwa CUF na kauli yao ya jino kwa jino ambayo ifikapo uchaguzi watu wanasahau yote . Maisha yangu yote pamoja na mapungufu ya CCM sijawahi kuona wakija na kauli mbiu zinazozidi nguvu chama chenyewe kama CUF ilivyozidiwa nguvu na Ngangara ,CHADEMA inavyozidiwa Nguvu na M4C Tukae mkao wa kula mwaka 2015 Watu wataangalia M4C -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment