Ludo
Hata wewe wanaweza kukuibia aise,usifanye utani
2012/11/20 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:
> wanaoibiwa kwa mtindo huu ni wale washirikina
>
>
> 2012/11/20 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
>>
>>
>> Tatizo hili linaweza kushughulikiwa kwa kushirikiana na makampuni ya simu.
>> Tulipoelekezwa kusajili laini kwa kupeleka vitambulisho, nilidhani usajili
>> holela wa simu ungekoma. Lakini kumbe bado kuna mapungufu makubwa!
>> Huwezi kuelewa kwamba mpaka sasa simu bado zinatumika kwa uhalifu kama huo
>> na bado ule wa zamani wa kutumia simu kumtukana mtu na baadaye
>> kutupa/kuficha laini bado unaendelea. Najua kwamba hata vitambulisho vyaweza
>> kughushiwa, lakini angalau mhuni huyo ahangaike kughushi kitambulisho kuliko
>> kupata laini ya simu kirahisi namna hiyo na kufanya uhalifu!
>> > Date: Tue, 20 Nov 2012 12:33:04 +0300
>> > Subject: Re: [wanabidii] Fwd: HALI SASA INATISHA CHUKUA TAHADHARI
>> > From: mngonge@gmail.com
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> >
>> > Tunatakiwa kuwa waangalifu sana kwa yeyote anayejifanya kutufahamu.
>> > Wezi na matapeli wanaotumia mtindo wa sample nao uanza kwa kujenga
>> > mazingira ya kukufahamu siku nyingi. Jamani hiyo inteligensia ya mzee
>> > Mwema iko wapi? Tafuta hawa washenzi mkawatie mbaroni wanasumbua na
>> > kuhatarisha maisha ya watanzania
>> >
>> > On Tue, Nov 20, 2012 at 12:00 PM, Kilasara Fratern
>> > <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
>> > >
>> > >
>> > > ---------- Forwarded message ----------
>> > > From: Victor Mbombo <vmbombo@msd.or.tz>
>> > > Date: Tue, Nov 20, 2012 at 11:15 AM
>> > > Subject: Fwd: HALI SASA INATISHA CHUKUA TAHADHARI
>> > > To: franznangela@yahoo.com
>> > > Cc: filbert <assey@yahoo.com>, kilasara fratern
>> > > <kilasara.fratern@gmail.com>, charles1nolasco@yahoo.com,
>> > > songuo_shayo@yahoo.com, NEEMA NDOSSA <neyndossa@yahoo.com>
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > ________________________________
>> > > From: "Dia Kingu" <dkingu@msd.or.tz>
>> > > To: "All MSD Staff" <msdstaff@msd.or.tz>
>> > > Sent: Tuesday, 20 November, 2012 7:36:04 AM
>> > > Subject: Fwd: HALI SASA INATISHA CHUKUA TAHADHARI
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > ________________________________
>> > > From: "Dustan Makamba" <dustan.makamba@tanesco.co.tz>
>> > > To: dkingu@msd.or.tz
>> > > Sent: Monday, November 19, 2012 5:58:48 PM
>> > > Subject: FW: HALI SASA INATISHA CHUKUA TAHADHARI
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni
>> > > akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo
>> > > akapigiwa
>> > > simu na mtu asiyemfahamu akajitambulisha kwamba yeye ni daktari wa
>> > > lugaro
>> > > hosp na kumuulizia habari za mwanae ambae alishawahi kwenda kumtibu
>> > > pale na
>> > > chakushangaza zaidi akataja mpaka aina na rangi ya nguo aliyovaa siku
>> > > ile
>> > > alipokwenda hapo hospitali na yote yalikuwa kweli. Na zaidi akamwambia
>> > > najua
>> > > sasa hivi unaelekea chuo buguruni na kweli ilikuwa hivyo, lakini
>> > > mwishoni
>> > > akamweleza kwamba kuna mambo anataka kujua kujua kuhusu hicho chuo
>> > > hivyo nae
>> > > anaelekea huko hivyo akifika tu atamtafuta. Kwa muda wote huo huyo
>> > > dada
>> > > hakuweza kabisa kumkumbuka ila akajipa moyo kwamba yamkini huyo mtu
>> > > atakuwa
>> > > anamfahamu vizuri.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Baada ya kutoka chuo akiwa na wenzake watatu akawa anawasimulia habari
>> > > za
>> > > huyo mtu ndipo simu yake ikaita,kupokea yule mtu akamwambia nakuona
>> > > uko na
>> > > wenzio wawili mnavuka barabara na kumueleza jinsi alivyovaa sasa
>> > > wenzie
>> > > wakasema huyo mtu anakufahamu haiwezekani hapa tupo watatu kweli na
>> > > ameweza
>> > > kukutambua. Kisha huyo mtu akamwelekeza mahali alipo ambapo haikuwa
>> > > mbali na
>> > > barabara.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Lakini alipomtazama hakumfahamu kabisa, basi akampa mkono kumsalimia,
>> > > baada
>> > > ya hapo hakujitambua na zaidi alijikuta yuko maeneo ya chuo kikuu cha
>> > > DSM
>> > > akiwa hoi. Kuangalia simu na kila kitu chake kilikuwa salama na
>> > > hakufanyiwa
>> > > kitu chochote, kwa bahati kulikuwa kuna ndugu yake anasoma chuo hivyo
>> > > akawasiliana nae ili kupata msaada ikabidi awahishwe mwananyamala hosp
>> > > lakini ikaonekana sumu iliyotumika ni kali na dawa yake wanayo regency
>> > > hosp,hivyo akawahishwa regency na kupata matibabu.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Baada ya ufahamu kumrudia akakuta mtu huyo kachukua pesa zote kwenye
>> > > mpesa,tigo pesa na bank ( NMB na CRDB) kiasi cha milioni 3, hivyo
>> > > inawezekana walipompa sumu alitaja password pasipo kujijua.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Na bank walipotazama kwenye ATM Camera waliona picha ya huyo mtu na
>> > > yeye
>> > > alimkumbuka vizuri, lakini polisi Kijitonyama wakakiri kwamba kesi
>> > > hizo sasa
>> > > hivi zimetokea mara nyingi na huo mtandao ni mkubwa, walipoenda kwenye
>> > > usajili wa simu walikuta ni huyo huyo na jina lake ndilo
>> > > alilojitambulisha.Ingawa polisi wameshindwa kumkamata.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Akiwa kituo cha polisi mara huyo mtu akampigia simu akimwambia ''kumbe
>> > > wewe
>> > > ni muoga sana tutakurudishia pesa zako''. Sasa kumbe wanachofanya
>> > > wanakuambia'' tutafutie mtu ambae unahisi ana pesa kuliko hizi halafu
>> > > tukifanikiwa tutarudisha pesa zako'' hivyo inawezekana nae kuna mtu
>> > > anaemjua
>> > > alifanyiwa hivyo akaamua kumtaja yeye.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > HIVYO NI KUOMBA MUNGU NA KUWA WAANGALIFU
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Fedister Agrey,
>> > >
>> > > Petroleum Engineer,
>> > >
>> > > Tanzania Petroleum Development Corporation,
>> > >
>> > > BMW Tower/Azikiwe street,
>> > >
>> > > P.O.Box 2774,
>> > >
>> > > Dar es Salaam,Tanzania
>> > >
>> > > Email:fedister@yahoo.com
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Important Notice:
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > The National Bank of Commerce Limited is a registered Commercial Bank
>> > > in the
>> > > United Republic of Tanzania.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > This e-mail and any files transmitted with it are confidential and
>> > > intended
>> > > for the use of the individual or entity to whom they are addressed.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Please note that there are terms and conditions and some important
>> > > restrictions, qualifications and disclaimers ("the Disclaimer") that
>> > > apply
>> > > to this email. To read this click on the following address or copy
>> > > into your
>> > > Internet browser:
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > http://www.nbctz.com/disclaimer/email
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > The Disclaimer forms part of the content of this email.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > ________________________________
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > DISCLAIMER: This e-mail and any attachments are proprietary to
>> > > TANZANIA
>> > > REVENUE AUTHORITY.Any unauthorized use or interception is illegal. The
>> > > views
>> > > and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated
>> > > as
>> > > being those of TANZANIA REVENUE AUTHORITY. This e-mail is only
>> > > addressed to
>> > > the addressee and TANZANIA REVENUE AUTHORITY shall not be responsible
>> > > for
>> > > any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail
>> > > is
>> > > not addressed to you, you may not copy, print, distribute or disclose
>> > > the
>> > > contents to anyone nor act on its contents. If you received this in
>> > > error,
>> > > please inform the sender and delete this e-mail from your computer.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Standard Bank email disclaimer and confidentiality note
>> > >
>> > > Please go to
>> > > http://www.standardbank.co.za/site/homepage/emaildisclaimer.html to
>> > > read our
>> > > email disclaimer and confidentiality note. Kindly email
>> > > disclaimer@standardbank.co.za (no content or subject line necessary)
>> > > if you
>> > > cannot view that page and we will email our email disclaimer and
>> > > confidentiality note to you.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > ________________________________
>> > > This email and any attachments may contain confidential information
>> > > for
>> > > intended recipient only. If you have received this email in error
>> > > please
>> > > notify the sender. Note that any copying, disclosure or distribution
>> > > of the
>> > > message is strictly prohibited. Email recipient(s) should check this
>> > > email
>> > > and any attachments for viruses. Tanesco will not be liable for any
>> > > damage
>> > > caused by virus.
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > ________________________________
>> > >
>> > > Scanned by MSD MailMarshal
>> > >
>> > > DISCLAIMER: This e-mail and any attachments are proprietary to MSD.Any
>> > > unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions
>> > > expressed are those of the sender, unless clearly stated as being
>> > > those of
>> > > MSD. This e-mail is only addressed to the addressee and MSD shall not
>> > > be
>> > > responsible for any further publication of the contents of this
>> > > e-mail.
>> > >
>> > > ________________________________
>> > >
>> > > Save the environment and print this e-mail only if you really need to.
>> > >
>> > > ________________________________
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > --
>> > > Fratern Kilasara,
>> > > P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
>> > > Dar es Salaam - Tanzania.
>> > > Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22
>> > > 2775591
>> > > Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
>> > > Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
>> > >
>> > > --
>> > > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> > >
>> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > > ukishatuma
>> > >
>> > > Disclaimer:
>> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > > legal
>> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > > must be
>> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > > agree to
>> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > >
>> > >
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment