| Mimi nilipigiwa simu usiku wa saa tano mwezi uliopita na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Herman. Akanitaja kwa jina na cheo changu kwenye ofisi yetu! Akadai kuwa kuna mtu wamemkamata baada ya kuwa anawazungusha kuwatafutia kazi, eti kwa kunitumia mimi!! Nilipomwuliza huyo mtu anaitwa nani, akadai anaitwa Reuben. Nikamweleza kuwa mimi sihusiki na taratibu za ajira ofisini kwetu. Na kama tunataka kuajiri tuna "outsource" process nzima! Akadai kesho yake niende nimuone huyo anayetumia jina langu kuwahadaa kuwatafutia kazi. Nikamwambia, no! Badala yake nikamshauri kesho yake asubuhi amlete ofisini kwetu, na nikamwambia kuwa watakuta tumeshawaandaa polisi ili wamhoji na kuchukua hatua zaidi! Baada ya hapo nikajaribu kutafuta jina halisi la mmiliki wa namba ya simu ile kwa kutumia M-Pesa nikakuta anaitwa Safari(jina pili nalihifadhi). Nikampigia hapo hapo nakumwuliza tena jina lake akarudia kuwa anaitwa Herman. Nilipomwuliza Safari ni nani? Akakata simu! Baadae akanitumia sms, akinipa namba nyingine ya simu akieleza kuwa nimpigie mwenye namba hiyo kwani ndiye angekuja na mtuhumiwa kesho yake! Nikamweleza mimi simpigii na badala yake, yeye afanye hivo na kumwelekeza ofisini kwetu ili aje kesho yake asubuhi!! Nilipofika ofisini asubuhi,nikajisalimisha kwa bosi wetu na kumpa mkanda mzima wa usiku! Pale pale, bosi wangu akaniambia hao ni matapeli, na kwa kuwa nimewaeleza kuwa utawaanda polisi, kamwe hawawezi kuja!! Na kweli, watu hao hawakutokea na simu zote mbili nilizopewa hazipatikani mpaka leo!!!
--- On Wed, 11/21/12, GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> wrote:
From: GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Fw: JIADHALI NA UTAPELI HUU To: wanabidii@googlegroups.com Date: Wednesday, November 21, 2012, 1:07 AM
Kwangu mimi walijaribu watu hawa wakakwama, hawatrudi tena kwangu 2012/11/21 Mark Okello <abneroumaokello@gmail.com> Mimi walinijaribu wakagonga mwamba!
Umeweza kutoa taarifa sahihi kabisa sasa mimi kwa bahati mbaya mmoja wao alitokea kuwa baba mwenye nyumba wangu wa zamani anaishi Kimara baada ya kuhama kwake alijaribu kunitapeli kwa mtindo huo actually alikuwa wa kwanza kunijaribu!
Wa pili naye alikuja kwa gia hiyo hiyo ya kutaka dawa ya mifugo but nilikuwa smart nikamzidi uwezo ila hawako wengu kaka ni mtu mmoja tu sema anabadilisha lugha na lafudhi kama ulivyoweza kueleza! Kwangu alikiri kwamba hakuna cha Mkenya, Mzungu wala profesa ni mtu mmoja na anakuwa na simu nyingi tofauti zote nne yeye ndo anakuwa anaongea. Nikiri kwamba he is very smart kwasababu usipokuwa makini huwezi kujua kama unaongea na mtu mmoja.
Nilipomshinda ujanja alikiri na kuniomba kupotezea ila nilifika pale polisi oysterbay kuripoti anagalau nilitaka pia kushirikiana na jeshi la polisi kuwakamata but walisema kwamba utatumia muda mwingi sana bila mafanikio coz huyo jamaa anakuwa alert sana!
Kila mmoja ajihadhari! On 21 November 2012 10:26, vincent nyerere <vincent_nye@yahoo.co.uk> wrote:
--- On Tue, 20/11/12, oliver mwikila <olimwikila@yahoo.com> wrote: From: oliver mwikila <olimwikila@yahoo.com> Subject: JIADHALI NA UTAPELI HUU To: "mhe joshua nassari" <jsh.samwel@gmail.com>, "mhe kasulumbayi sylvester" <skasulumbayi@yahoo.com>, "Sanford Kway" <skway2006@yahoo.co.uk>, "Erasto ndeuka" <erasto.ndeuka@kas.de>, "denis rugaimukamu" <denrugas@yahoo.com>, "ezekiah wenje" <mcwenje@yahoo.com>, "mhe mchungaji msigwa" <aabctz@yahoo.com>, "ALVIN WILLY" <acwm12@yahoo.com>, "jonathan mndeme" <kinenkejw84@gmail.com>, "vincent Nyerere" <vincent_nye@yahoo.co.uk> Date: Tuesday, 20 November, 2012, 9:03
NDG ZANGU,
Naomba mpitie doc hii niliyo attach ili muone matapeli ambavyo wanatumia muda kubuni jinsi ya kuiba badala ya kutafuta njia mbadala ya kuzalisha kihalali.
Oliver
--- On Tue, 11/20/12, Masonga E <masongae@yahoo.com> wrote: From: Masonga E <masongae@yahoo.com> Subject: To: johnmrema@yahoo.com, olimwikila@yahoo.com, onembuya@yahoo.com, "Zubeda Sakuru" <zuusakuru@gmail.com>, ananpaschal@yahoo.com, benlihawa@gmail.com, bonamdamu@gmail.com, bonamdamu@yahoo.com, chrismgani@yahoo.com, "Desiderius Mdamu" <desimdamu@yahoo.com>, dpmwanyika@gmail.com, emdende@gmail.com, ikandaya@camfed.org, ilfute@yahoo.com, kazimotoedward@yahoo.com, "Nyagawa Lutondwe" <lutondwe@gmail.com>, magowazamda@yahoo.co.uk, "Mattay Patrice" <maqrapc@yahoo.co.uk>, masongae@gmail.com, mhemaj@yahoo.com, mmeta.abdalah95@gmail.com, nathanielmwamfupe@yahoo.com, njoringa@gmai.com, paulsixfrid@yahoo.com, rehemailomo@yahoo.com, "Allan Wandelage" <Scorpnose@hotmail.com>, "Jonathan Mndeme" <kinenkejw84@gmail.com>, "TUMAINI MAKENE" <makene_84@yahoo.com>, "John Mnyika" <mnyika@yahoo.com>, "Emmanuel Masonga" <nchimbie@yahoo.com>, "Shadrak HEALTH" <solekitimu@yahoo.com>, zittokabwe@gmail.com Cc: onembuya@yahoo.com Date: Tuesday, November 20, 2012, 12:10 AM
|
| -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- I've heard more than enough well-constructed speeches from different high profile figures accompanied with nothing tangible. I take actions and nothing else, get off my way if you know you're not a man/woman of actions before we collide at the junction of actions and politics!! Okello
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com DELL LATITUDE D 620 & D30 80 GB HardDisk CORE 2 DUO 2.0 GHZ CPU 2 GB RAM DVD/CD - RW WINDOWS 7 /WINDOWS XP WIRELESS , BLUE TOOTH . TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY CALL : 0718 637905 0786 806028 Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
0 comments:
Post a Comment