Sunday, 18 November 2012

Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

hii kitu imekaa kimtego mtego nami natangaza mgongano wa kimaslahi.so nitakuwa silent mpaka nitakapoona structure ya ukweli inaanza kutokea.Edgar Mbega fuatilia hii kitu kwa ajili yetu,na wana mabadiliko fuatilia hii kitu.

2012/11/18 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Mngonge, Mwananchi wathibitishe sasa ili ukweli uwekwe wazi!

Date: Sun, 18 Nov 2012 12:30:31 +0300

Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
From: mngonge@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Mwanzo nilifikiri kwamba pengine mwandishi wa habari hiyo alikosea jina lakini kwa sasa naona jina halikukosewa. Tatizo ni ama yeye (Kilaini) anakana alichosema au gazeti la mwananchi limempachika maneno mdomoni. Mbona kumaliza ubishi huo ni rahisi, kinachotakiwa kufanywa na gazeti la mwananchi ni kutoa ushahidi ambao utatufanya kuliamini na kumshangaa sana mchungaji huyu wa kondoo wa Bwana.

Gazeti la Mwananchi ni gazeti linalopendwa na watu wengi hapa Tanzania kwa sababu ya kuandika habari zenye ukweli na zinazojitosheleza. Pamoja na kwamba sijafanya utafiti yawezekana linaongoza kwa kuuza nakala nyingi. Ni juu ya uongozi wa gazeti hili kujisafisha kwa kutujulisha namna walivyopata habari lalamikiwa toka kwa huyo kiongozi wa kanisa. 

2012/11/17 <nevilletz@gmail.com>
Kweli ana haki,
Kalalamika wapi na kwa nani? Kaitisha press conference au hiyo taarifa katuma wapi?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Date: Sat, 17 Nov 2012 11:19:51 +0000
To: Wanabidii Mawazo<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Ina maana Neville alikuwa hajaiona habari hii? Hoja ya msingi ni kwamba Askofu Kilaini anasema kwamba hajazungumza na chombo chochote cha habari kuhusu mambo ya chaguzi za ccm. Sasa ni kazi ya gazeti la Mwananchi kuthibitisha kweli kwamba Askofu alihojiwa na akasema hayo. Vinginevyo itabidi Gazeti la Mwananchi liombe radhi. Kwa upande mwingine, nadhani Neville amekurupuka kusema kwamba Askofu Kilaini ni kiroboto, kwani hajatuthibitishia kweli kwamba kauli iliyoandikwa na Mwanachi ni ya Askofu Kilaini. Hata hivyo, kama Kilaini anahisi kasingiziwa, ana haki ya kulalamika na kukanusha kwa kufuata njia ambazo yeye anaona zinafaa.

Date: Sat, 17 Nov 2012 18:02:49 +0700
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
From: hamisznz@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Habari ya mwananchi inayolalamikiwa ni hii hapa http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1621274/-/11ojkjk/-/index.html

2012/11/17 <nevilletz@gmail.com>
Haiwezekani Askofu asingiziwe halafu alalamike Ikulu. Taarifa rasmi ingetolewa na ofisi yake tena kwa vyombo vya habari likiwamo Mwananchi.

Kitendo cha kupitisha taarifa hiyo kwa mpigapicha wa Rais Ikulu, kinaleta mashaka makubwa sana. Viroboto, kila mahali, hadi Kanisani sasa tutamwamini nani?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Date: Sat, 17 Nov 2012 13:24:05 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

kwa vile e mail address ya Kilaini ipo hapo chini ya message ya Reginald Miruko naomba Nevilletz uwasiliane na askofu kilaini moja kwa moja kuhusu ukweli wa taarifa hiyo ya kukanusha iliyosambazwa kwa vyombo na hao watu mbalimbali tulioorodheshewa.

Nasema hivyo kwa sababu inawezekana kuna watu wa politiq wameiteka email yake na hivyo kutibua mambo. Kwa mawasiliano zaidi nakupa simu ya askofu huyo ili upate habari ya uhakika. Simu yake siyo siri sana maana yeye ni kiongozi wa kanisa na hivyo uwasiliana na waumini mbalimbali ( Mob. Phone No. 0786262836)

2012/11/17 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Meena unahangaika na nini? Huyu Kilaini aliamua kulalamika Ikulu. Nimefuatilia mawasiliano yake na Issa Michuzi, wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, Ikulu. Inaonyesha Tamko lake la kukanusha alilituma kwa Michuzi (sijui aliombwa, au alilazimishwa), na yeye Michuzi akafanya kazi ya kulisambaza kwenye vyombo vya habari na watu wengine aliowachagua kadri alivyoweza. Huenda na huyu mleta mada ambaye hajajitokeza kusema kapata wapi, alitumiwa na Michuzi, au amechukua kwenye mitandao ya kijamii. Angalia hapa chini:

From: MUHIDIN MICHUZI [issamichuzi@gmail.com]
Sent: Friday, November 16, 2012 11:35 AM
To: begumkarim@gmail.com; woindeshizza@yahoo.com; dande15us@yahoo.com; mtanzania95@yahoo.co.uk; daimanews@yahoo.com; fidelismbaze@yahoo.com; fungoomar@yahoo.com; omar.fungo1@gmail.com; guardiantz@yahoo.com; uhurunews@yahoo.com; mwananchipapers@yahoo.com; muhidinuk@yahoo.co.uk; majira2006@btl.co.tz; majira2006@yahoo.com; habarizapicha@gmail.com; fadhiliakida@gmail.com; rmwaikenda@yahoo.com; jesse.kwayu@guardian.co.tz; badijohn30@yahoo.co.uk; mpochisel@yahoo.com; rmwangulube@yahoo.com; haki.yako@gmail.com; selemaninzaro@yahoo.co.uk; gogobichi@yahoo.com; mohammedzahor@live.com; antonysiame74@yahoo.com; alumwene@gmail.com; albartjackson@yahoo.com; saidk20@yahoo.com; kalimanzila@yahoo.co.uk; zanzibarleoo@yahoo.co.uk; mbeyayetu@yahoo.com; rokanda01@gmail.com; sagatik@yahoo.com; uhurutz@yahoo.com; rokanda01@yahoo.com; makamutz@gmail.com; contentsfolder@gmail.com; mmaliwanga@vpo.go.tz; othmanmichuzi@gmail.com; muftiiy@yahoo.com; khatibsuleiman@hotmail.com; jerrykoto@yahoo.com; sskwayaya@yahoo.com; issamichuzi@gmail.com; mhamila1@gmail.com; rajabumhamila@yahoo.com; mrokim@gmail.com; francisgodwin2004@yahoo.com; zai_mzige@yahoo.com; jofreymwakibete@yahoo.com; bnkoromo@yahoo.com; johnbukuku@gmail.com; dinazubeiry@gmail.com; mamapipiro@yahoo.com; amichuzi@gmail.com; lifatash@yahoo.com; salum_mwinyi83@yahoo.com; rwasinaa@yahoo.com; mjengwamaggid@gmail.com; machellahm@yahoo.com; janejohn02@gmail.com; othmanmaulid@gmail.com; mushi@thehabari.com; farajakyarwenda@yahoo.com; josephat.lukaza@gmail.com; michietz@yahoo.com; edwardwilly2006@yahoo.com; jambonewspaper@yahoo.com; ombuguni@yahoo.co.uk; yusuf.badi@gmail.com; jubetranquilino@yahoo.com; manyerere@hotmail.com; deobalile@yahoo.com; nmwalyambi@vpo.go.tz; chaleslucas82@yahoo.com; charleslucas82@yahoo.com; majira@btl.co.tz; sautihuru@yahoo.com; alberkaw14@yahoo.com; rosemalale@yahoo.co.uk; cathbert39@gmail.com; magomba@gmail.com; magomba2004@yahoo.co.uk; saibokoblog@gmail.com; stewart@theexpress.com; kasambalastewart@gmail.com; nipashe.gazeti@gmail.com; tchilala@hotmail.com; Abdul Saiboko; Absalom Kibanda; Ansbert Ngurumo; Beda Msimbe; Benny Kisaka; Boniface Luhanga; C Mulinda; changamoto newspaper; Chris Mfinanga; Esther Mvungi; Gobulutsa; Godfrey Lutego; Grace M Majira; H Mwadini; Habari Leo; Hilary Bujiku; Ikulu Mawasiliano; Ikulu Press; Info Raia mwema; Jacqueline Liana; Jane M; Janet; Job; John Bwire; John Mapinduzi; Kiongozi gazeti; kulangwa@yahoo.com; MAELEZO; Magnus; Magori K; majira gazeti; Martin Malera; Mgaya Kingoba; mwananchipapers; Mzalendo Npaper; National Website; news editor; News Editor Nipashe; Ngunge; Nipashe gazeti; Nipe Habari; Noor Shija; Nyakati Paper; PST; Radio Uhuru; Rai; Raia Mwema; RFI Kiswahili; Said Nguba; Salvator Rweyemamu; Salvator Rweyemamu; Sarah; Stella Nyemenohi; Tafakari; Tamali VULLU; Tazama Npaper; Theodatus Muchunguzi; Yahya Charahani; ZNZ Leo; Irene; Bakari Machumu; News Thecitizen; citizen paper; Express Newspaper; Fumbuka N'kilala; Ileta; Mbaraka Islam; mbena mwanat; Mwakisyala; newsdesk@dailynews-tsn.com; Peter Nyanje; Shermax Ngahemera; The African; The Guardian; Thobias Nsungwe; zasose2007@hotmail.com; championiyetu2@gmail.com; fatmafereji@yahoo.com; bilal@bilal2010campaign.org; mkikwete@gmail.com; aminasalumali@yahoo.com; info@kikwete2010.co.tz; elly6083@gmail.com; elly6083@yahoo.co.uk; kwitemmanuel@gmail.com; team_bilal@bilal2010campaign.org; smpochi01@gmail.com; muhidinuk@gmail.com; Radio Uhuru FM; Jambo London; nipashe_gazeti@yahoo.com; Mail Delivery Subsystem; Radio East Africa FM; yvonne kamuntu; ichikaeli maro; Esther Mbussi; RADIO CLOUDS; Mlimani FM Radio; uhurunewspaper@yahoo.com; kwiteemmanuel@gmail.com; dinachahali@yahoo.com; badijohn30@gmail.com; Photo Mwananchi; joycemwak@yahoo.co; nmshija@gmail.com; khalfans2002@yahoo.com; postmaster@startv.com; Joyce Mhaville; mlimani radio UDSM; TBC NEWSROOM; joyce mwakalinga; Choice FM Radio; C.G. FM Radio; kasabe100@yahoo.com; news@thisday.co.tz; mpoki Bukuku; habariclouds@hotmail.com; newsroom@startv.com; newsroom@startvtz.com; Radio Free Afrika; Kitulo Radio; TBC RADIO; theafrican@newhabari.com; Peter Nyanje; Radio 5 Arusha; Radio Free Africa (RFA); changamotonews1@gmail.com; ykayombo@yahoo.com; banyongo@yahoo.com; TANZANIA DAIMA; mailer-daemon@messagelabs.com; salvatori9@hotmail.com; Edwin Mjwahuzi Laurent; Habari Central; Independent Television; postmaster@hotmail.com; Magic FM Radio; Daily News TNS; mailer-daemon@yahoo.co.uk; Roderick LUTEMBEKA; Radio Uhuru FM; Qiblatain FM Radio; newsroom@radiofreeafrica.com; Daily TSN; Yusuf Badi; audax mutiganzi; Juma Kengele; Maxence M. Melo; Subi; MR MATEMBELE; Chemi Kadete; tbcnewsroom1@gmail.com; davidrm@yahoo.com; fastnewstz@gmail.com
Subject: Fwd: TAMKO - STATEMENT YA ASKOFU METHOD KILAINI DHIDI YA GAZETI LA MWANANCHI

---------- Forwarded message ----------
From: Method Kilaini gm <mkilaini@gmail.com<mailto:mkilaini@gmail.com>>
Date: 2012/11/16
Subject: TAMKO - STATEMENT
To: issamichuzi@gmail.com<mailto:issamichuzi@gmail.com>

TAMKO – STATEMENT

Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya uongozi na sekretariati ya CCM. Mimi sijaongea na gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia au sababu ya kuuponda uongozi huo. Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni yake. Kama ni waugwana natumaini watasahihisha waliyoyaandika. Nasikitika sana kwa walikwazwa na hilo. Askofu Kilaini

Askofu Method Kilaini
Bukoba Catholic Diocese

e-mail: mkilaini@gmail.com<mailto:mkilaini@gmail.com>
Web: http://bukobadiocese.catholicweb.com
http://card-rugambwa.catholicweb.com<http://catholicweb.com>

2012/11/17 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Jamani sheria inasemaje kuhusu habari ya uzushi
 
Kuna chombo kimoja cha habari majuzi kiliandika kwamba katibu mkuu wizara ya nishati na madini ajiuzulu,kumbe sio kweli
 
Siku ya pili wizara ikakanusha tu basi

2012/11/17 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Ajabu kumzushia Askofu lakini ni mazoea. Mfano, gazeti linathibitisha  watu kunasana Temeke DSM lakini linaweka picha ya kutoka mtandaoni ya walionasana Kenya (Gazeti la Kisiwa) maana yake nini? Kichwa cha habari kingine na maelezo wa baadhi ya magazeti wakati  mwingine havioani kwa nini huwa wanafanya hivyo? Tamaa ya hela? Mtu unapata nafasi ya kusilikiza hotuba ya kiongozi kupitia Television au radio yote unaisikia. Kisha magazeti kesho yanaeleza vingine na kuongeza chumvi huu udaku utaisha lini? Mbona hupata mafunzo wenzetu hawa kulikoni? Ingefaa uandishi usielekee upande mmoja aidha wa kukashifu au kusifu sana uwe pia wa kuhoji sio kubeba yanayolaumu tu au kupotosha ukweli. Ukata upo wa kutaka kitu kinunuliwe hela iingie lakini kuivunja jamii na kuleta mfarakano ni impact kubwa ya vyombo vya habari. Tubadilike, tupende ukweli wenye evidence sio uzushi..

Ms Hildegarda Lucian Kiwasila,
Institute of Resource Assessment,
P.O BOx 35097 Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email: khildegarda@yahoo.co.uk
lphildegarda2009@googlemail.com
+255-22-2410144 Ext2422
+255762544553/754763803

--- On Sat, 17/11/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 17 November, 2012, 6:55

Mwananchi kama mumekosea jina ni vyema mkaomba samahani la sivyo
inabidi mdhibitishe chanzo cha habari hiyo. Kama ni kweli mumempachika
maneno mdomoni basi mujue baadhi ya wasomaji tutalikimbia gazeti lenu
kama ilivyo kwa magazeti mengine yenye habari za kizushi

2012/11/17 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:
>
> Askofu Kilaini, POLE sana kwa usumbufu ulioupata. Huenda ni maakosa ambayo hawakutegemea kuyafanya. WASAMEHE ila wanapaswa kujua kwwamba haya uongo ukipambwa vipi uyabakia uongo tu.
>
>
> ------------------------------
> On Fri, Nov 16, 2012 15:11 GMT Magiri paul wrote:
>
>>Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti ila Mwananchi kwamba
>>nimeiponda safu ya uongozi na Sekretarieti ya CCM.
>>
>>Mimi sijaongea na gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia wala
>>sababu ya kuuponda uongozo huo.
>>
>>Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni
>>yake. Kama ni waungwana, natumaini watasahihisha waliyoyaandika.
>>
>>Nasikitika sana kwa waliokwazwa na hilo.
>>
>>Askofu Method Kilaini.
>>Bukoba Catholic Diocese.
>>(anwani pepe imehifadhiwa)
>>
>>http://wotepamoja.com/archives/10520#.UKZXiDMW1XE.gmail
>>
>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

RSM

0 comments:

Post a Comment