Monday, 19 November 2012

Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Ludovick,
Nakushukuru kwa busara zako. Msaidie jirani yetu Magobe pia.
Matinyi.



T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Mon, Nov 19, 2012 6:09 am


Meena taratibu.umeshaonesha kwa kila mwenye utashi wa kawaida kabisa kuwa
askofu kalikoroga.nami kwa hoja zako na heshima niliyonayo kwa
mwananchi(isipokuwa mzee makunga) nimekubali hadi sasa kuwa gazeti
linauzito zaidi kwenye mnachokisema.huyu Michuzi naona anataka kuleta shida
sasa.na pia kilaini mbona ni media friendly? suala lake ndo limekuwa kama
mzimu? kwa nini asiseme tukaelewa? of course nami najua sarakasi kidogo
hapo ndani(kanisani) juu yake na JK labda ndo maana ya mkanganyiko huu.
ILA nakomba usifikie hicho ulichokiita mkiamua "kumshughulikia" ,sasa hii
ni wishfull thinking kwamba kuna vitu mnavifahamu vibaya ila hamjaamua
kumshughulikia? hiyo haitakuwa sawa.alipaswa kuwa ameshughulikiwa
zamani.any way najua reservation yako.si unajua mambo ya KATOMA? Meena
nashauri kuwa umeeleweka nami niko upande wako hadi hapo utakapokuja
ushahidi unaoweza kutushawishi kwa uwazi namna tofauti

2012/11/19 <nevilletz@gmail.com>

> **
> Sasa ndiko kwenye haki. Yeye hajalalamika hadi sasa. Tukiamua kumshughukia
> Kilaini, itakuwa aibu.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> ------------------------------
> *From: * gm26may@gmail.com
> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> *Date: *Mon, 19 Nov 2012 10:50:56 +0000
> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
>
>
> Najaribu kusoma busara ya waandishi wanapobanwa kwenye kona bila kujali
> kama Askofu ameandika mwenyewe hiyo habari au ni propaganda!
>
> Kumbe ni raha kuwabana watu mnapohoji nyinyi ila mkibananishwa nyinyi
> majibu mepesi tu eti " aende mahakaman" badala ya kujibu hoja za msingi
>
> Kweli kazi ipo
>
> Taratibu tutafika
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> ------------------------------
> *From: * matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> *Date: *Mon, 19 Nov 2012 05:47:39 -0500
> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
>
> Mbuba,
> Mtoi yuko safi kabisa kwenye hili. Msome tena.
> Matinyi.
>
>
>
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> ----- Reply message -----
> From: "weston mbuba" <matutetz@yahoo.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> Date: Mon, Nov 19, 2012 4:10 am
>
>
> Mtoi,
> Matinyi atakuambia una hoja dhaifu. Shauri yako.
>
> --- On Sun, 11/18/12, Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> wrote:
>
>
> From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, November 18, 2012, 11:16 PM
>
>
>
> Hivi askofu Kilaini jina lake sahihi la mwanzo ni nani?
>
> 1. Methodius, au Method? (Au yote mawili ni majina yake sahihi?)
>
> 2. Na utaratibu wa maaskofu kukanusha habari wanazo ona hazija watendea
> haki ukoje? Kwa maana nani msemaji wa askofu? Ni Mpiga picha wa ikulu
> (Ikulu ndio msemaji?) Au ni yeyote aliyekuwa kwenye system kama anataka
> ku-polish maneno ya askofu?
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
>
> From: nevilletz@gmail.com
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Mon, 19 Nov 2012 07:07:38 +0000
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
>
> Kiuthibitisha nini? Siyo kazi yangu hiyo maana sitafutwi kulalamikiwa!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>
> From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 18 Nov 2012 22:32:50 -0800 (PST)
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
>
>
>
> Neville,
>
>
> Wewe unaona ugumu gani kupiga simu kwa Askofu kuthibitisha? LKK
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Monday, November 19, 2012 9:06 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
>
> Weston,
> Wewe si umeona hapa kila nikiuliza ilikotoka taarifa ya Askofu Kilaini
> hakuna anayesema. Hata walioiweka hapa hawataki kusema walikoitoa.
> Wanaufahamu mchezo mzima wa taarifa hiyo kaka!
>
> Nchi hii hatari sana. Kutumia nguvu kubwa kushughulikia vitu vidogo na
> kuacha mambo ya msingi.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 18 Nov 2012 21:48:54
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
>
>
> Tehe! Tehe! Tehe! Meena Bw acha vituko. Yaani una maana ikulu imekuwa
> msemaji wa Mhashamu Askofu Kilaini? Kwamba imekuwa ni Afisa Uhusiano wa
> Kilaini!! Au Ikulu ndo mwanasheria wa Kilaini? Na nilimsikia Mkuu wa Kaya
> akishadidisha kuwa Mhashamu kasingiziwa. Angalieni yasijekuwakuta ya
> MWANAHALISI. I miss MWANAHALISI. MWANANCHI should not go the same way as
> MWANAHALISI.  ------------------------------ On Sun, Nov 18, 2012 21:28 PST
> nevilletz@gmail.com wrote:  >Katika journalism kuomba radhi unapokosea ni
> jambo la kawaida. Sisi tunaofanya kazi ambazo ni subject to public scrutiny
> huwa hatuna cha kuficha. >  >Kama tumeandika ujinga au upuuzi kesho yake tu
> watu wanatusoma na kutwambia, tofauti na wengine ambao upuuzi au ujinga
> katika kazi zao unaweza kugundulika even after ten years tangu ufanyike,
> huku ukiwa umeishasababisha madhara makubwa kwa watu au nchi. > >Nina
> sababu za kuuliza ilikotoka Press Release ya Askofu Kilaini kwa sababu kwa
> mujibu wa
> maelezo
> yaliyopo hapa sisi ndo tumemkosea, taarifa kwamba tumemlisha maneno
> inatokea Ikulu, kweli ni sahihi? > >Mpaka leo tunapozungumza, Kilaini
> hajapiga simu Mwananchi wala kutuandikia kutulaumu kwamba alilishwa maneno.
> Hata sisi tumeona hiyo memo ikizunguka kwa mitandao. > >Ndiyo maana inakuwa
> vigumu kusema chochote, maana kwa mtu kama yeye ambaye karibu kila wiki
> huzungumza nasi, leo hii tulikuwa na sababu gani ya kumlisha maneno. >
> >Kwamba tumlishe maneno kwa hiyo story ili nini na iweje? Labda niweke wazi
> hapa, kwa policy ya MCL kosa la kumlisha mtu maneno ni la kumfukuzisha mtu
> kazi bila hata kupewa nafasi ya kujitetea. Hakuna mtu mpuuzi wa kufanya
> hilo tena kwa lead story kama ile. > >Kwa nature ya story mnavyoiona, it
> was an interview based story kwa watu mbalimbali. It is on record kwamba
> Askofu Kilaini alizungumza na sisi. Na mpaka sasa asubuhi hii hajalalamika
> kwa njia yoyote ile kwetu kwamba alilishwa maneno. > >Ndiyo maana niliuliza
> hiyo memo ya
> malalamiko ilitumwa wapi au imetokea njia ipi? Sisi kama walalamikiwa wa
> kwanza, tulipaswa kupata hiyo taarifa kutoka kwa Kilaini mwenyewe hata kama
> ingekuwa ni simu. > >Wapo watu wengi tunawakosea. Lakini hawajawahi
> kupeleka taarifa zao Ikulu kwanza ili Ikulu isambaze kwenye Blogs.  >Sent
> from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania > >-----Original
> Message----- >From: gm26may@gmail.com >Sender: wanabidii@googlegroups.com>Date: Mon, 19 Nov 2012 04:34:25  >To: <
> wanabidii@googlegroups.com> >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com>Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo > > >Nadhan kwa swala hili Nevile na
> Mwananchi yake wamechemsha > >Badala ya kututhibitishia kama kweli
> walihojiana na Kilaini na kusema aliyoyasema wanapiga blah blah > >Meena
> unakazania kutuuliza sisi kuwa Kilain alifanya press conference wap
> kukanusha lakin pia hutwambii alifanya press conference wapi kuyatamka
> hayo mliyoandika > >Kama mmekosea ombeni radhi kwani Muungwana ni vitendo
> na Mwananchi linasomwa na watu wote wakiwepo wanaoongozwa na huyo Askofu >
> >Huwezi kulazimisha kila mtu atumie njia unayotaka au kuamini wewe
> kukanusha au kutoa habari yoyote > >Asalaam Aleikhum > > > >  >Sent from my
> BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network > >-----Original
> Message----- >From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> >Sender:
> wanabidii@googlegroups.com >Date: Mon, 19 Nov 2012 07:24:20  >To: <
> wanabidii@googlegroups.com> >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com>Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo > >Ludovick , > >Hebu sema, kila
> unapo-comment kwenye hi thread unatangaza "conflict of >interest". ni zipi
> hizo? is he your mentor? Unakuwa mbogo when the bishop >is maligned, I know
> RC reveres their church leaders no matter what they >do/say > >Twambie. >
> >LL > >2012/11/19 matinyi@hotmail.com
> <matinyi@hotmail.com> > >> Ludovick, >> Shauri yako kama unamwabudu
> mwanadamu mwenzako. Kwa mujibu wa alichosema >> mwaka ule, busara zake ziko
> wapi? >> >> Matinyi. >> >> >> >> >> T-Mobile. America's First Nationwide 4G
> Network >> >> ----- Reply message ----- >> From: "Joseph Ludovick" <
> josephludovick@gmail.com> >> To: <wanabidii@googlegroups.com> >> Subject:
> [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >> Mwananchi
> Kuhusu CCM - Mwanzo >> Date: Sun, Nov 18, 2012 6:03 pm >> >> >> Matinyi
> chunga kauli yako.unaweza wewe ukawa wa hovyo kipeuo cha pili kabla >> ya
> baba askofu.japo siingilii mjadala wenyewe kwa sasa kwa sababu za >>
> conflict of interest.lakini kauli rejareja tu juu ya kilaini kama >>
> unavyomuita huyu siyo matinyi..usinitafutie kufungiwa hapa.acha huo uovyo
> >> wako.kampeti obama na sera zake za kwenye suruali zetu >> >> 2012/11/18 <
> nevilletz@gmail.com> >> >> > ** >> >> > Kuna swali nimeuliza sana tangu
> jana halijibiwi, hiyo
> taarifa ya Kilaini >> > ilitangazwa wapi? Kuna media yoyote kwa maana ya
> gazeti ilitumiwa au >> > aliyeiweka hapa aliipata wapi? >> > Sent from my
> BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania >> >
> ------------------------------ >> > *From: *matinyi@hotmail.com <
> matinyi@hotmail.com> >> > *Sender: *wanabidii@googlegroups.com >> >
> *Date: *Sun, 18 Nov 2012 12:13:24 -0500 >> >> > *To: *<
> wanabidii@googlegroups.com> >> > *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com >>
> > *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
> >> > La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > >> > Muulize mbona hakukana ile
> ya chaguo la Mungu. Siasa inamhusu nini? >> > >> > T-Mobile. America's
> First Nationwide 4G Network >> > >> > ----- Reply message ----- >> > From:
> "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> >> > To: <
> wanabidii@googlegroups.com> >> > Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini
> Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >> > Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> >
> Date: Sun, Nov 18,
> 2012 11:19 am >> > >> > >> > Matinyi, Kilaini anaweza kuwa "hovyo" kama
> unavyodai lakini je akubali tu >> > ambacho hajasema hata kama ni yeye
> hovyo? >> > >> > >> > 2012/11/18 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
> >> > >> > > Huyu mtu aitwaye Kilaini sipendi kusikia kelele zake. Hovyo
> kabisa, >> > > akahubiri kanisani kwake huko. >> > > Matinyi. >> > > >> > >
> >> > > >> > > >> > > T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network >> > >
> >> > > >> > > ----- Reply message ----- >> > > From: "Joseph Ludovick" <
> josephludovick@gmail.com> >> > > To: <wanabidii@googlegroups.com> >> > >
> Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La >> > >
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo >> > > Date: Sun, Nov 18, 2012 6:21 am >> > >
> >> > > >> > > Nilimaanisha Edgar Mbegu.samahani >> > > >> > > 2012/11/18
> Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> >> > > >> > > > hii kitu
> imekaa kimtego mtego nami natangaza mgongano wa kimaslahi.so >> > > >
> nitakuwa silent
> mpaka nitakapoona structure ya ukweli inaanza >> > > kutokea.Edgar >> > >
> > Mbega fuatilia hii kitu kwa ajili yetu,na wana mabadiliko fuatilia >> hii
> >> > > > kitu. >> > > > >> > > > >> > > > 2012/11/18 Edgar Mbegu <
> embegu@hotmail.com> >> > > > >> > > >> Mngonge, Mwananchi wathibitishe
> sasa ili ukweli uwekwe wazi! >> > > >> >> > > >>
> ------------------------------ >> > > >> > > >> Date: Sun, 18 Nov 2012
> 12:30:31 +0300 >> > > >> >> > > >> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini
> Akanusha Kuzungumza Na >> Gazeti >> > La >> > > >> Mwananchi Kuhusu CCM -
> Mwanzo >> > > >> From: mngonge@gmail.com >> > > >> To:
> wanabidii@googlegroups.com >> > > >> >> > > >> >> > > >> Mwanzo
> nilifikiri kwamba pengine mwandishi wa habari hiyo alikosea >> > jina >> >
> > >> lakini kwa sasa naona jina halikukosewa. Tatizo ni ama yeye >>
> (Kilaini) >> > > >> anakana alichosema au gazeti la mwananchi limempachika
> maneno >> mdomoni. >> > > >> Mbona kumaliza ubishi huo ni rahisi,
> kinachotakiwa kufanywa na >> gazeti >> > la >> > > >> mwananchi ni kutoa
> ushahidi ambao utatufanya kuliamini na kumshangaa >> > > sana >> > > >>
> mchungaji huyu wa kondoo wa Bwana. >> > > >> >> > > >> Gazeti la Mwananchi
> ni gazeti linalopendwa na watu wengi hapa >> Tanzania >> > > >> kwa sababu
> ya kuandika habari zenye ukweli na zinazojitosheleza. >> > Pamoja >> > > na
> >> > > >> kwamba sijafanya utafiti yawezekana linaongoza kwa kuuza nakala
> >> > nyingi.. >> > > Ni >> > > >> juu ya uongozi wa gazeti hili kujisafisha
> kwa kutujulisha namna >> > > walivyopata >> > > >> habari lalamikiwa toka
> kwa huyo kiongozi wa kanisa. >> > > >> >> > > >> 2012/11/17 <
> nevilletz@gmail.com> >> > > >> >> > > >> Kweli ana haki, >> > > >>
> Kalalamika wapi na kwa nani? Kaitisha press conference au hiyo >> taarifa
> >> > > >> katuma wapi? >> > > >> Sent from my BlackBerry® smartphone from
> Vodacom Tanzania >> > > >> ------------------------------ >> > > >> *From:
> *Edgar Mbegu
> <embegu@hotmail.com> >> > > >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com >> >
> > >> *Date: *Sat, 17 Nov 2012 11:19:51 +0000 >> > > >> *To: *Wanabidii
> Mawazo<wanabidii@googlegroups.com> >> > > >> *ReplyTo: *
> wanabidii@googlegroups.com >> > > >> *Subject: *RE: [wanabidii] Askofu
> Kilaini Akanusha Kuzungumza Na >> > Gazeti >> > > >> > > >> La Mwananchi
> Kuhusu CCM - Mwanzo >> > > >> >> > > >> >> > > >> Ina maana Neville alikuwa
> hajaiona habari hii? Hoja ya msingi ni >> > kwamba >> > > >> Askofu Kilaini
> anasema kwamba hajazungumza na chombo chochote cha >> > habari >> > > >>
> kuhusu mambo ya chaguzi za ccm. Sasa ni kazi ya gazeti la Mwananchi >> > >
> >> kuthibitisha kweli kwamba Askofu alihojiwa na akasema hayo. >>
> Vinginevyo >> > > >> itabidi Gazeti la Mwananchi liombe radhi. Kwa upande
> mwingine, >> nadhani >> > > >> Neville amekurupuka kusema kwamba Askofu
> Kilaini ni kiroboto, kwani >> > > >> hajatuthibitishia kweli kwamba kauli
> iliyoandikwa na Mwanachi ni ya >> > >

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment