Neville,
Kama Mwananchi imetuhumiwa kuandika habari za uongo, basi watoke wathibitishe kuwa walichokiandika sio uongo ili kulinda heshima ya taasisi yao ambayo inaheshimika kote.
Sent wirelessly from my iPhone on the Airtel Network
Nimesema hivi, tunaomba chanzo cha taarifa ya Askofu Kilaini. Maana kwetu kama gazeti ambalo linalalamikiwa haijafika.
Wala hajapiga simu kulalamika kwamba amelishwa maneno. Ndo maana naomba aliyeweka hiyo post atwambie origination ya hiyo taarifa. Sisemi kwamba siyo ya kweli, bali alikoitoa.
Kwamba ilikuwa Press Conference, aliandika yeye binafsi, alizungumza na chombo kimojawapo cha habari au ni kitu gani? Then hapo tutaanza mjadala.Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom TanzaniaFrom: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Sat, 17 Nov 2012 09:08:50 +0000 (GMT)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo--
Ajabu kumzushia Askofu lakini ni mazoea. Mfano, gazeti linathibitisha watu kunasana Temeke DSM lakini linaweka picha ya kutoka mtandaoni ya walionasana Kenya (Gazeti la Kisiwa) maana yake nini? Kichwa cha habari kingine na maelezo wa baadhi ya magazeti wakati mwingine havioani kwa nini huwa wanafanya hivyo? Tamaa ya hela? Mtu unapata nafasi ya kusilikiza hotuba ya kiongozi kupitia Television au radio yote unaisikia. Kisha magazeti kesho yanaeleza vingine na kuongeza chumvi huu udaku utaisha lini? Mbona hupata mafunzo wenzetu hawa kulikoni? Ingefaa uandishi usielekee upande mmoja aidha wa kukashifu au kusifu sana uwe pia wa kuhoji sio kubeba yanayolaumu tu au kupotosha ukweli. Ukata upo wa kutaka kitu kinunuliwe hela iingie lakini kuivunja jamii na kuleta mfarakano ni impact kubwa ya vyombo vya habari. Tubadilike, tupende ukweli wenye evidence sio uzushi..
Ms Hildegarda Lucian Kiwasila,
Institute of Resource Assessment,
P.O BOx 35097 Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email: khildegarda@yahoo.co.uk
lphildegarda2009@googlemail.com
+255-22-2410144 Ext2422
+255762544553/754763803
--- On Sat, 17/11/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 17 November, 2012, 6:55Mwananchi kama mumekosea jina ni vyema mkaomba samahani la sivyo
inabidi mdhibitishe chanzo cha habari hiyo. Kama ni kweli mumempachika
maneno mdomoni basi mujue baadhi ya wasomaji tutalikimbia gazeti lenu
kama ilivyo kwa magazeti mengine yenye habari za kizushi
2012/11/17 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:
>
> Askofu Kilaini, POLE sana kwa usumbufu ulioupata. Huenda ni maakosa ambayo hawakutegemea kuyafanya. WASAMEHE ila wanapaswa kujua kwwamba haya uongo ukipambwa vipi uyabakia uongo tu.
>
>
> ------------------------------
> On Fri, Nov 16, 2012 15:11 GMT Magiri paul wrote:
>
>>Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti ila Mwananchi kwamba
>>nimeiponda safu ya uongozi na Sekretarieti ya CCM.
>>
>>Mimi sijaongea na gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia wala
>>sababu ya kuuponda uongozo huo.
>>
>>Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni
>>yake. Kama ni waungwana, natumaini watasahihisha waliyoyaandika.
>>
>>Nasikitika sana kwa waliokwazwa na hilo.
>>
>>Askofu Method Kilaini.
>>Bukoba Catholic Diocese.
>>(anwani pepe imehifadhiwa)
>>
>>http://wotepamoja.com/archives/10520#.UKZXiDMW1XE.gmail
>>
>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment