Matinyi,
Nimekuelewa vizuri, usihangaike.
Hayo ni mawazo yako ambayo nayaheshimu, ingawa si lazima niyakubali.
Yaani, viongozi wa dini wasipewe nafasi ya kutoa maoni yao juu ya masuala ya kijamii.
Jambo ambalo mimi sikubaliani nalo kwani hata kama wakifuatwa fuatwa na kisha kutoa maoni yao, si lazima uyafuate.
Juu ya hoja kwamba mambo yanayohusu wanasheria, tunawaendea wanasheria, na ya wanamichezo tunawaendea wanamichezo n.k. mara ngapi humu katika jukwaa kunakuwa na mijadala ya kidini? Je, wale wote wanaoianzisha na kuishiriki mijadala hiyo katika jukwaa hili ni viongozi wa dini?
Mimi nadhani kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake iwe katika michezo, siasa, dini, sheria n.k ali mradi ana hoja anayoisimamia na anaweza kuitetea na kuithibitisha kwa kutumia facts. Na mjadala uhusu hoja aliyoitoa na si vinginevyo kama vile "mbona alishawahi kusema Kikwete ni chaguo la Mungu" n.k (kama kweli aliwahi kusema hivyo!).
Tanzania ya leo unayoisema, inahitaji mchango wa kila raia wa nchi hii ili ijengwe: inahitaji mchango wa wanasiasa, waandishi wa habari, wanasheria, viongozi wa dini n.k. Hakuna aliye muhimu kuliko mwingine. Halafu kauli yako kwamba "katika imani, akili haipewi nafasi" inahitaji ufafanuzi. Mimi nilidhani kwamba mtu anahitaji akili vile vile ili kuijua imani yake?
Mwisho, naungana na wewe kwamba mjadala umefika mbali mno. Na mimi niseme juu ya mjadala huu kwamba "kaditama nimefika, kalamu chini naweka".
From: matinyi@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Mon, 19 Nov 2012 19:15:43 +0000
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Edgar,
Awali mjadala ulimhusu Askofu Kilaini na yaliyomkuta. Tumeujadili sana.
Baada ya hapo nikajadili dhana nzima ya kuwaamini, kuwafuatafuata, kuwasikiliza, kuwapa nafasi kubwa, n.k. viongozi wa dini bila kuitaja dini wala kiongozi yeyote huku msisitizo ukiwa nchini mwetu, siyo Tibet au Kusini, n.k.
Wewe unatakaje? Sioni mantiki ya ushauri wako hapa; unataka kusemaje? Fuatilia mchango wangu uone jinsi nilivyohama kutoka kwenye suala la kiongozi mmoja hadi kwenye dhana nzima ya viongozi wa dini za siasa za nchi zetu. Ukishindwa si uache tu!
Mimi bado nipo pale pale - kwamba viongozi wa dini wasipewe nafasi hii inayoibuka nchini mwetu Tanzania hivi sasa kwa manufaa ya Tanzania yetu ya leo na ya kesho. Waachwe huko kwenye ibada zao. Hebu fikiria, kama tukiwa na jambo la michezo tunakwenda kwa wanamichezo; tukiwa na suala la sheria tunakwenda kwa wanasheria; sielewi kwa nini tukiwa na jambo la SIASA eti twende kwa viongozi wa DINI???!!! halafu tukiwa na suala la IMANI tutakwenda kwa wanasiasa?
Si vema kuwapa nafasi hii kwa sababu wao wanapozungumza wanazungumza kwa hadhira yao na papo hapo wanakuja na maneno kama "mungu amenituma" au "chaguo la mungu" au "mungu anasema . . . ." wakati ni maoni yao na mengine ni usanii mtupu na ushahidi upo.
Ni kufilisika kisiasa, kiitikadi na kiakili kwa jamii na viongozi wake ndiko kunakotufikisha hapa. Waatalamu wanasema pia, vyombo vya habari huakisi jamii vinavyoitumikia. Mifano ya akina Tutu na wenzake haiingii kwenye hili ninalolizungumzia. Ni kweli kwamba vyombo vya habari vinaweza kuiyumbisha jamii lakini walau tuna mwanya wa kutumia akili kwenye suala la vyombo vya habari kuliko kwenye imani ambako akili haipewi nafasi. Ni hatari!
Matinyi.
From: embegu@hotmail.com

Date: Mon, 19 Nov 2012 17:01:14 +0000

Hujawahi kusikia kwamba mapinduzi huanzia katika vidau vya wino? (waandishi).
Huamini kwamba vurugu za kidini zinazoendelea sasa hivi nchini kwetu zimechochewa, kwa kiasi kikubwa, na vyombo vya habari (waandishi) wanaoandika na kutangaza habari za uongo zinazoamsha chuki na jazba miongoni mwa watu wanaoamua baadaye kufanya uhalifu dhidi ya makundi mengine ya kiimani? Nadhani turudi katika busara ya kawaida tu kwamba hakuna mtu aliye na ukweli wote. Hivyo, si vyema kutoka na sweeping statements au haste generalizations kama vile "tusiwaendekeze viongozi wa dini" au "viongozi wa dini ni hatari" tukasahau mchango wao uliotukuka katika masuala ya kijamii n.k. Namfikiria Desmond Tutu, yule wa Tibet na hata wengine wengi tu ndani na nje ya nchi yetu. Kama vile si vyema kutumia vigezo vya waandishi wa habari wachache wanaotumia taaluma yao kutetea uovu na kujenga chuki tukawasahau wengine, ambao duniani kote, na hata hapa nchini kwetu wamemwaga damu yao kwa kutetea ukweli. Hoja ipo mezani, ijadiliwe kama hoja, pasipo jazba, mihemko, prejudices, haste generalizations na chuki binafsi. Kwa bahati mbaya huyu ndiye mdudu anayesumbua majukwaa haya ya kijamii: kujadili watu badala ya hoja. Na ndiyo maana Bwana mmoja alitoa vitisho vya "kumshughulikia" Kilaini na akaelekea kuungwa mkono na baadhi yetu.Tujadili hoja, tuachane na watu. Ni kitu kigumu kweli, lakini kinawezekana.
From: matinyi@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Mon, 19 Nov 2012 16:32:57 +0000

Nilisema kwamba tatizo letu Watanzania, mojawapo, ni kuona kwamba kitendo cha kufikiri ni kama adhabu kali.
Sasa angalia hoja yangu, ni kwamba viongozi wa dini wana hatari kwa sababu ya IMANI inayowekwa kwao na NGUVU wanazopewa na waumini wao. Ndiyo maana wakiona kwamba kuna dalili ya ubishi wanasema kwamba wametumwa na Mungu lakini ukweli ni kwamba huwa wanatoa maoni yao binafsi kwa busara zao, ushabiki, maslahi, na hata uhuni. Ushahidi upo.
Waandishi wa habari wanatumia imani gani?
Waandishi wa habari huandika na hawamlazimishimtu kuwaamini na pia wao kwa wao hucharurana na wasomaji tukapata uelekeo. Hatuna imani kwa waandishi wa habari na ndio maana wao si HATARI kwetu. Hawa viongozi wa dini ni HATARI kwa sababu watu wanaweza kuacha kufikiri na kisha kuwafuata hata pale pasipostahili.
Tujenge taifa la Watanzania wenye fikra, maamuzi na uchaguzi na siyo taifa la watu wanaosubiri shehe ama askofu kasema nini.
Matinyi.
From: embegu@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Mon, 19 Nov 2012 16:16:44 +0000

Ni kama wengine wanavyowapuuza waandishi wa habari! Nao si watu wa kuebdekezwa.
From: rugambwa@hotmail.com

Date: Mon, 19 Nov 2012 16:06:06 +0000

Meena
una uhakika kuwa yeye Askofu Kilaini ndo kasema hayo?
Date: Mon, 19 Nov 2012 18:58:56 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
From: nevilletz@gmail.com

Viongozi wa dini ni opinion makers na hatuwezi kuwadharau maana wanaongoza maelfu ya watu. kwahiyo kuna mambo ni vyema kuwapa fursa ili maoni yao yasikike. Sasa imekuwa ni bahati mbaya kwamba katika mazingira kama haya ya sasa unaweza kuamua kuwaweka kando, jambo ambalo hata hivyo sidhani kwamba ni afya katika mustakabali mzima wa uhusu wa kutoa maoni katika nchi.
2012/11/19 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Askofu Kilaini aliwahi kuzungumza na "Mungu" mwaka 2005 na kisha mungu akampa maagizo ya kuwapa Watanzania. Ilipofika mwaka 2010 waandishi wa habari kwa niaba ya Watanzania wakaenda tena kutaka kusikia mara hii mungu amemwambia nini na iwapo mungu huyo bado anaushikilia ule usemi wake wa mwaka 2005. Wote tunajua kwamba Askofu aliwakimbia waandishi ama kwa maneno mengine na mungu naye alikimbia. Alishindwa kujieleza.
Sijui tuna mshipa gani wa kumwamini leo hii katika mazingira yalikokaa kimkandamkanda namna hii?
Inahitaji roho ngumu kweli kweli kumwelewa katika hili la sasa na kisha kumwamini. Mimi niwapa pongezi mliochagua kumwamini na kimsingi hapo ndipo ninapoiona hatari ya taifa letu kwa siku zijazo. Kwamba kufikiri inataka kuwa kama adhabu kwa sababu za kishabiki tu.
Lakini haya pia ni matokeo ya kuwa na viongozi dhaifu wanaojibanza kwenye viongozi wa dini na udini. Kwa nini wanasiasa wetu wanataka kusemwa vema ama kubebwa na viongozi wa dini? Ili iweje? Je, wamefilisika kisiasa, kiitikadi na kiakili kwa hiyo wanatumia hisia zisizokuwa na maswali ili kujijengea uhalali wa kisiasa?
Kwa nini pia waandishi wanawakumbatia hawa viongozi wa dini ambao ni wanadamu kama siye na pengine (kutokana na kujiingiza kwao kwenye siasa) ni watu wa hovyo kuliko siye tunaodunda mitaani?!
Tuendeleeni tu kuchezea misingi ya taifa letu; iko siku tutajuta. Viongozi wa dini siyo watu wa kuwaendekeza namna hii. Waulizeni Wanyarwanda na Wasudani.
Tusicheze miziki ya viongozi wachovu.
Matinyi.
CC: wanabidii@googlegroups.com
From: makene_84@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Mon, 19 Nov 2012 18:21:19 +0300
To: wanabidii@googlegroups.com
Ngurumo, Meena na Miruko noted seriously. Kaka Kulangwa umeingia kwenye mjadala ukaamua kutetea unachoamini au unachokijua lakini ukakwepa kabisa kutetea kilichosahihi hata kama hukuwa ukikiamini kabla, kutokana na mtiririko wa hoja hapa, yaani defending the first position instead of defending the better/ best position then ukaaga.Hii kitu kitaaluma inapaswa kuchukuliwa with very serious note. Maana hapa lazima tujue, kama alivyosema Meena, kwa nini kuna matumizi makubwa kushughulikia jambo dogo! Hii kitu kina makandokando mengi ambayo kwa kweli yanaibua maswali fikirishi sana kama walivyohoji akina Meena, Miruko na wengine lakini wanaotetea akina Kilaini, hawajibu maswali hayo ya msingi, badala yake wanakuja na kutetea wanachojua nusu nusu au chote, kisha wanakimbia.
Sent from my iPadNdugu zangu,Ubishi wa nini? Mara tu nilipoona tamko la Askofu likitokea Ikulu, nilitia shaka. Nilipohoji sababu za Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu kufanya kazi ya Idara ya Itikadi na Uenezi CCM, nikahoji na sababu za Askofu Kilaini kulalamikia gazeti la Mwananchi kupitia Ikulu badala ya kuwasiliana na mhariri aw gazeti husika, Salva alijibu haraka haraka, kwamba sijafanya utafiti wa taarifa nilizonazo. Ilikuwa Ijumaa alasiri. Leo nimesoma kauli ya Meena nikapata mwanga. Baada ya kuisoma hii, naona wanaomshambulia Meena muisome hii upya. Hii hapa:"Katika journalism kuomba radhi unapokosea ni jambo la kawaida. Sisi tunaofanya kazi ambazo ni subject to public scrutiny huwa hatuna cha kuficha.
Kama tumeandika ujinga au upuuzi kesho yake tu watu wanatusoma na kutwambia, tofauti na wengine ambao upuuzi au ujinga katika kazi zao unaweza kugundulika even after ten years tangu ufanyike, huku ukiwa umeishasababisha madhara makubwa kwa watu au nchi.
Nina sababu za kuuliza ilikotoka Press Release ya Askofu Kilaini kwa sababu kwa mujibu wa maelezo yaliyopo hapa sisi ndo tumemkosea, taarifa kwamba tumemlisha maneno inatokea Ikulu, kweli ni sahihi?
Mpaka leo tunapozungumza, Kilaini hajapiga simu Mwananchi wala kutuandikia kutulaumu kwamba alilishwa maneno. Hata sisi tumeona hiyo memo ikizunguka kwa mitandao.
Ndiyo maana inakuwa vigumu kusema chochote, maana kwa mtu kama yeye ambaye karibu kila wiki huzungumza nasi, leo hii tulikuwa na sababu gani ya kumlisha maneno.
Kwamba tumlishe maneno kwa hiyo story ili nini na iweje? Labda niweke wazi hapa, kwa policy ya MCL kosa la kumlisha mtu maneno ni la kumfukuzisha mtu kazi bila hata kupewa nafasi ya kujitetea. Hakuna mtu mpuuzi wa kufanya hilo tena kwa lead story kama ile.
Kwa nature ya story mnavyoiona, it was an interview based story kwa watu mbalimbali. It is on record kwamba Askofu Kilaini alizungumza na sisi. Na mpaka sasa asubuhi hii hajalalamika kwa njia yoyote ile kwetu kwamba alilishwa maneno.
Ndiyo maana niliuliza hiyo memo ya malalamiko ilitumwa wapi au imetokea njia ipi? Sisi kama walalamikiwa wa kwanza, tulipaswa kupata hiyo taarifa kutoka kwa Kilaini mwenyewe hata kama ingekuwa ni simu.
Wapo watu wengi tunawakosea. Lakini hawajawahi kupeleka taarifa zao Ikulu kwanza ili Ikulu isambaze kwenye Blogs."Source: Wanabidi
Sent from my iPadSikutaka kuingia katika malumbano haya ambayo sioni msingi wake, lakini kimenishtua sasa kuna watu wanaandika eti habari hii pamoja na kusambazwa iliandikwa na "gazeti la Serikali-Habari Leo, pengine na Uhuru". Tatizo ni nini? Mtu kukanusha kulishwa maneno si habari? Je aliyeandika habari hiyo ni mtukufu kiasi gani? Tuache ushabiki hata kama huko ndiko tunakopatia ugali. na tustajke kuoneshana hapa kwamba kuna magazeti matukufu yasiyokosea na au ni untouchables. Tuache hiyo na tusubiri kama kweli taarifa ile haikuwa ya Kilaini atasema mwenyewe, lakini asilishwe maneno tena. Ciao.
From: Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, November 19, 2012 3:03 PM
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Mbegu,
Point noted, hapo nimekulisha maneno. Samahani.
Pili, Kwa ujumla, hapa naona wengi wanalitazama suala hili kama limebebwa na Neville Meena peke yake, hili ni suala la kitaasisi wakati uanachama wa mabadiliko ni wa mtu binafsi.
Tatu, Mhariri yeyote makini wakati wote amefungua milango yote ya mawasiliano kusubiri habari, feedback na complaints za wasomaji wake. Hata Baraza la Habari wanashauri kabla ya kufikisha malalamiko kwao dhidi ya chochombo cha habari kwanza uwasiliane na chombo kilichokukosea. Hata Mahakamani, huo ndio utaratibu lazima uwasilishe demand note kwa chombo husika, ikieleza malalamiko yako na unachotaka chombo cha habari kikufanyie. Ukiamua kutumia utaratibu unaotaka, kama anavyoeleza Fr. Mbegu,...ama kupitia mlango ikulu, au kwenye blog au rais akakukanushia mkutanoni.... huo kwa wengi wetu ni utaratibu mpya.
Naamini, kwa Mwananchi nafasi hiyo bado ipo kwa habari hii, na hata kwa nyingine kwa sababu ndio utaratibu.
2012/11/19 <nevilletz@gmail.com>
Kupitia Michuzi Blog? Duh kiboko!Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Mon, 19 Nov 2012 11:34:55 +0000To: Wanabidii Mawazo<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - MwanzoMiruko mimi sijasema kwamba Askofu apigiwe simu.
Mimi nasema, ana uhuru wa kulalamika kwa kufuata njia ambazo yeye anaona zinafaa.
Date: Mon, 19 Nov 2012 14:26:40 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
From: rsmiruko@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Mjadala umefika patamu. chekundu, cheusi kimeonekana. Kwa mtazamo binafsi, sikubaliani na akina Fr. Edgar Mbegu na Kagaruki, wanaoshauri Askofu Kilaini apigiwe simu, ili aulizwe, "Askofu, eti ni kweli umekanusha?". Hii ni sawa na leading question kwa jambo ambalo angelitakiwa kulimaliza siku ile habari ilipochapishwa. Badala ya kuandika email Ikulu, angeandika kwa mhariri, address zote ziko gazetini, pia namba za simu zipo angeweza kupiga...
Matokeo yake, hata ile email iliyosambazwa na Ikulu kwa watu kibao, kwa magazeti imechapishwa tu na gazeti la Serikali, Habari Leo, labda na Uhuru (sikulisoma)...wengine wametazama chanzo chake na kushtuka.
2012/11/19 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Meena taratibu.umeshaonesha kwa kila mwenye utashi wa kawaida kabisa kuwa askofu kalikoroga.nami kwa hoja zako na heshima niliyonayo kwa mwananchi(isipokuwa mzee makunga) nimekubali hadi sasa kuwa gazeti linauzito zaidi kwenye mnachokisema.huyu Michuzi naona anataka kuleta shida sasa.na pia kilaini mbona ni media friendly? suala lake ndo limekuwa kama mzimu? kwa nini asiseme tukaelewa? of course nami najua sarakasi kidogo hapo ndani(kanisani) juu yake na JK labda ndo maana ya mkanganyiko huu.ILA nakomba usifikie hicho ulichokiita mkiamua "kumshughulikia" ,sasa hii ni wishfull thinking kwamba kuna vitu mnavifahamu vibaya ila hamjaamua kumshughulikia? hiyo haitakuwa sawa.alipaswa kuwa ameshughulikiwa zamani.any way najua reservation yako.si unajua mambo ya KATOMA? Meena nashauri kuwa umeeleweka nami niko upande wako hadi hapo utakapokuja ushahidi unaoweza kutushawishi kwa uwazi namna tofauti2012/11/19 <nevilletz@gmail.com>
Sasa ndiko kwenye haki. Yeye hajalalamika hadi sasa. Tukiamua kumshughukia Kilaini, itakuwa aibu.Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: gm26may@gmail.comSender: wanabidii@googlegroups.comDate: Mon, 19 Nov 2012 10:50:56 +0000ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Najaribu kusoma busara ya waandishi wanapobanwa kwenye kona bila kujali kama Askofu ameandika mwenyewe hiyo habari au ni propaganda!
Kumbe ni raha kuwabana watu mnapohoji nyinyi ila mkibananishwa nyinyi majibu mepesi tu eti " aende mahakaman" badala ya kujibu hoja za msingi
Kweli kazi ipo
Taratibu tutafika
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Mon, 19 Nov 2012 05:47:39 -0500ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - MwanzoMbuba,
Mtoi yuko safi kabisa kwenye hili. Msome tena.
Matinyi.
T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
----- Reply message -----
From: "weston mbuba" <matutetz@yahoo.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Mon, Nov 19, 2012 4:10 am
Mtoi,
Matinyi atakuambia una hoja dhaifu. Shauri yako.
--- On Sun, 11/18/12, Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> wrote:
From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, November 18, 2012, 11:16 PM
Hivi askofu Kilaini jina lake sahihi la mwanzo ni nani?
1. Methodius, au Method? (Au yote mawili ni majina yake sahihi?)
2. Na utaratibu wa maaskofu kukanusha habari wanazo ona hazija watendea haki ukoje? Kwa maana nani msemaji wa askofu? Ni Mpiga picha wa ikulu (Ikulu ndio msemaji?) Au ni yeyote aliyekuwa kwenye system kama anataka ku-polish maneno ya askofu?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: nevilletz@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 19 Nov 2012 07:07:38 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Kiuthibitisha nini? Siyo kazi yangu hiyo maana sitafutwi kulalamikiwa!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Lutgard Kagaruki <
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Neville C. Meena,
Secretary General,
Tanzania Editors Forum - TEF,
Dar es Salaam - Tanzania.
Cell: +255 - 787 - 675555
+255 - 753 - 555556

0 comments:
Post a Comment