| Ajabu kumzushia Askofu lakini ni mazoea. Mfano, gazeti linathibitisha watu kunasana Temeke DSM lakini linaweka picha ya kutoka mtandaoni ya walionasana Kenya (Gazeti la Kisiwa) maana yake nini? Kichwa cha habari kingine na maelezo wa baadhi ya magazeti wakati mwingine havioani kwa nini huwa wanafanya hivyo? Tamaa ya hela? Mtu unapata nafasi ya kusilikiza hotuba ya kiongozi kupitia Television au radio yote unaisikia. Kisha magazeti kesho yanaeleza vingine na kuongeza chumvi huu udaku utaisha lini? Mbona hupata mafunzo wenzetu hawa kulikoni? Ingefaa uandishi usielekee upande mmoja aidha wa kukashifu au kusifu sana uwe pia wa kuhoji sio kubeba yanayolaumu tu au kupotosha ukweli. Ukata upo wa kutaka kitu kinunuliwe hela iingie lakini kuivunja jamii na kuleta mfarakano ni impact kubwa ya vyombo vya habari. Tubadilike, tupende ukweli wenye evidence sio uzushi.. Ms Hildegarda Lucian Kiwasila, Institute of Resource Assessment, P.O BOx 35097 Dar Es Salaam, Tanzania. Email: khildegarda@yahoo.co.uk lphildegarda2009@googlemail.com +255-22-2410144 Ext2422 +255762544553/754763803 --- On Sat, 17/11/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment