Sunday, 18 November 2012

Fw: RE: [wanabidii] MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA

R.I.P Makweta Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake litukuzwe.

KITILUJM

--- On Sun, 11/18/12, Mwaipungu, Grace <grace.mwaipungu@ttcl.co.tz> wrote:

From: Mwaipungu, Grace <grace.mwaipungu@ttcl.co.tz>
Subject: RE: [wanabidii] MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, November 18, 2012, 12:20 PM

RIP MZEE MAKWETA  

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Edgar Mbegu
Sent: Sunday, November 18, 2012 1:08 PM
To: Wanabidii Mawazo
Subject: RE: [wanabidii] MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA

RIP Makweta!
Nadhani Mzee huyu ndiye aliyeanzisha utaratibu wa kuwa na mtihani kwa wanafunzi wa kidato cha pili kabla yakuingia cha tatu kwa lengo la kuboresha elimu.

Date: Sun, 18 Nov 2012 00:06:53 -0800
From: carlosmagoyo@yahoo.com
Subject: RE: [wanabidii] MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA
To: wanabidii@googlegroups.com

naomba nichukue fursa hii kumtakia mapumziko mema mzee Makweta lakini zaidi kumpongeza kwa ujasiri, juhudi na msimamo wake katika ujenzi na ustawi wa taifa hili. naamini bila sifa hizo na nyingine nyingi ulizokuwa nazo pengine watu leo hii wasingediriki kukukumbuka kwa chochote. . . . Mwl Lwaitama amenena na kakumbuka hata kufananishwa naye lakini yote aliyonena kukuhusu ni uzuri ambao ulikuwa ukiupigania mbele ya wapenda mabaya. . . .

--- On Sun, 11/18/12, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:

From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, November 18, 2012, 7:39 AM

Ulale Panapostahili Mzee Makweta,
Labda sasa watu watasoma Ripoti ya Makweta ya 1982 iliyopendekeza kutumia Lugha ya Kiswahili kama  Lugha ya Kufundishia masomo yote  tangu elimu ya wali hadi chuo kikuu huku Kiingereza kikifundishwa vizuri kama somo kwenye Taasisi ya Lugha za Kigeni ( Institute of Foreign Languages) na matawi yake nchi nzima...Ripoti ilipuuzwa na leo tunavuna matunda ya ukaidi huu dhidi ya kazi nzuri ya utafiti wa miaka miwili uliyoisimamia vizuri. Mimi nitakukumbuka pia kwa sura yangu kufaninishawa na  ya kwako!!!Ulale Panapostahili Mzee Makweta!! Nabubujikwa na machozi nikiona jinsi mfumo  wa elimu wa enzi zako  ulivyovurugwa na wanasisa wenye kutojali matokeo ya kutowekeza vyakutosha katika elimu  na kung'ang'ania  sera ya lugha ya kufundishia  ya kimamuluki inayofuatwa sasa ya kudhani eti eleimu ni kujua Kiingereza  tu basi....matokeo  ambayo kati ya viashiria vyake ni wahitimu mbumbu mzungu wa reli wa amabo  yote ya kisayansi wenye imani potovu za kishirikina kama zilivyojitokeza  katika  matukio ya Mbangala  yaliyozaa kuchomwa moto  makanisa...Mfumo  wa  elimu  unaozidi kuwagawa Watanzania kitabaka, kikanda,  kikabila,  na kidini. Mungu hatunusuru na matokeo mengine  hasi mbele ya safari...Kifo chako kizinduie Watanzania zaidi na zaidi wenye dhamira ya kuthubutu kupigania utekelezaji wa Ripoti ya Makweta  katika mazingira ya sasa kwa kuunda Tume ya Makweta ya miaka hii.
Ulale Panapostahili Mzee Makweta,
Mwl. Lwaitama

Date: Sun, 18 Nov 2012 09:46:25 +0300
Subject: Re: [wanabidii] MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA
From: smkina@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ulale Panapostahili Mzee Makweta,

Nakumbuka mara ya mwisho ulinialika kwako kwa chakula cha mchana pamoja na mtoto wako wa kike aliyekuja nyumbani Njombe kumtambulisha mumewe, Mchina pamoja na watoto wenu.

Tulizungumza mengi juu ya maendeleo ya nchi na hasa suala zima la elimu.

Nitakukumbuka sana Mzee Makweta

Lala salama.

Simon

2012/11/17 sharon sauwa <antisharo@yahoo.co.uk>

Ninakumbuka mzee huyu mara nyingi nilikuwa nikipanda naye daladala za kutoka Mwenge kwenda Posta. Huyu ni mfano wa wazee wachache ambao waliitumikia nchi hii kwa uaminifu na uadilifu wakiamini katika siasa za ujamaa na kujitegemea ambazo kwa sasa tumeziweka hazijulikani kama zipo. Mungu akupokee kwenye ufalme wake.

From: Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA
To: "Deogratias Kawonga" <deogratias.kawonga@gmail.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 17 November, 2012, 21:27

Aaah Sorry ni Mzee Makweta, Kumradhi

Sent wirelessly from my iPhone device on the Airtel Network

On Nov 17, 2012, at 22:24, Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com> wrote:

RIP mzee Mangula

Sent wirelessly from my iPhone device on the Airtel Network

On Nov 17, 2012, at 21:48, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:

Oh! R.I.P mzee. Mwendo umeumaliza.

Vin

2012/11/17 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MHE. MAKWETTA AFARIKI DUNIA

SERIKALI inasikitika kutangaza kifo cha Bw. Jackson Makwetta
kilichotokea leo saa 11 jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ya
jijini Dar es Salaam ambako alikuwa amelazwa.

Msiba uko nyumbani kwake Boko kwa Wagogo. Taarifa zaidi kuhusu mipango
ya mazishi zitatolewa baadaye.

Bw. Makweta aliwahi kuwa Waziri katika wizara mbalimbali zikiwemo
Ofisi ya Waziri Mkuu kama Waziri wa Nchi, Elimu, Kilimo na Utumishi.

Pia amekuwa Mbunge kwa zaidi ya miaka 35.

 (mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
DODOMA.
JUMAMOSI, NOVEMBA 17, 2012.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Simon Martha Mkina
Executive Chairman  & Founder
Tanzania Journalists Alliance (Tajoa)
Author/Columnist/Editor/Publisher
Tanzania

0 comments:

Post a Comment