Bwana Mganga,
Kiswahili chako hakijapitwa, kwa "usanifu" uliosomeshwa.
Lakini kumbuka, kabla ya "kusanifishwa", Kiswahili kilikua na "wenyewe",
yaani Waswahili.
Sijapata kujigamba kua ninachosema ni "kisanifu". Mimi ni Mswahili wa
mila na temedeni. Lugha ninayotumia ni ya muundo wa lahaja za
Waswahili wenyewe, yaani watu wa kingo za Pwani ya Afrika Mashariki
(tokea Benadir/Somalia hadi Sofala/Mozambique) na makundi ya visiwa
vyake.
-------
Na kwa kanuni za muundo-sauti ("morphophonology") wa lugha hii,
SUNGURA wawili ... huweza pia kuhesabiwa kwa kalima la MASUNGURA
WAWILI, kama ilivyo kwa RAIA na MARAIA, ASKARI na MAASKARI n.k.
Lakini, kama usemavyo, kusema hivyo si "kisanifu", na mimi si "msanifu"!
Upo hapo?
Bwanatosha
Paris, France.
Date: Tue, 10 Jul 2012 04:54:07 -0700
From: kitiluj@yahoo.com
Subject: RE: KIMBEMBE CHA SENSA NA WOGA WA KANISA/2-3-4-5-6

| Mheshimiwa mataalam wetu, Salim himid. Kwa kiswahili sanifu hakuna wingi wa neno raia kwa kadri ya ufahamu mdogo nilio nao kuna maneno ambayo huwa hayana wingi moja wapo ni raia.. Mheshimiwa labda kama kiswahili changu kimepitwa na wakati kwa kuwa kiswahili kinakua. Nakutakia siku njema JMKF Japan. --- On Tue, 7/10/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
|
0 comments:
Post a Comment