Tuesday, 17 July 2012

Re: [wanabidii] Sheria ya mifuko ya jamii kubadilishwa, ni kweli?

Denis
Bila shaka umeisha ipata hiyo, angalia attachment

2012/7/13 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Wapendwa,
 
Kwa wiki chache zilizopita kumekuwa na fununu kuwa kuna mpango wa kubadilisha sheria ya mifuko ya jamii ili pamoja na mambo mengine basi iharamishe huu utaratibu wa sasa ambapo watu wengi tulio kwenye sekta binafsi tumekuwa tukijichukulia vimichango vyetu pale tunapobadilisha waajiri. Kwa mwenye taarifa kamili, anaweza kuthibitisha kama hili lina ukweli wowte na akama lina ukweli, je anaweza kutupatia details zaidi ya nini kinachopangwa kufanywa?
 
Kama ni kweli hili nio janga kwa sisi tulio kwenye sekta binafsi!!!!!!!
 
--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment